Pacbig
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 1,095
- 2,090
Uko sawa. Kwamba mission za NASA ni hoax, hazina ukweli.Flat earth kama nimewaelewa vizuri maana yake ni kwamba dunia ipo flat kama sinia, duh hii kali.
Halafu hilo sinia mwishoni pembeni limefunikwa na glass juu. Kwamba tangia dunia iiumbwe hakuna mtu, wala chombo chochote kimewahi kutoka nje ya hiyo glass.
Sasa zile mission za NASA to Jupiter, Pluto N.k sijui zilifanyajwe.
Na maelezo yenu ni kwamba zinatengenezwa silaha kali za nuclear ili kupasua hilo glass.
Sasa sijui likipasuliwa hakuna hewa chafu, au miozi hatari itaingia duniani tufe wote.
Haya Pia hilo sinia haliei kwenye mvutano wa jua, bali hilo sinia limekaa kwenye msingi (pillars) kwamba haliwezi kumove.
Kwamba jua lipo ndani ya glass, jua ndio linaizunguka dunia pembeni pembeni. Sasa sijajua sisi Tanzania ndio tupo pembeni pembeni kwenye hilo sinia maana jua ni kali kwetu.
Hiyo ndio flat earth.
Sent using Cash Money Wings
Ukishakubali dunia ni mpira ina maanisha umekubali theory ya big bang kuwa vitu vimetoka at random ikiwemo dunia ambayo wao wanaita sayari(planet),ukikubali ni planet basi huna budi kukubali evolution ,kuwa tumeevolve kutoka simple cells mpaka kuwa nyani na kuhamia binadamu mpaka hapo ushamwacha MUNGU kilometre zote na ushaamini hakuna uwepo wake kwahiyo tafsiri ni kuwa upo kwasababu ulitokea kwa bila sababu just random,kwahiyo huwezi kujua asili yako na hatima yako ,sasa utafanyaje ushapotea ,utabidi utafute msaada kumbuka hapo dini haiwezi kuhusika maana ushakataa dunia haijaumbwa ila imetokea kwa mlipuko usiojulikana chanzo,itabidi umsikilize sasa yule anayejiita mwenye maarifa akusaidie kwa kutumia kigezo kinacho itwa sayansi,akupe teknologia ya kuishi,akupunguze mawazo kwa vilevi,akuburudishe kwa mziki,movie na anasa,akuchangamshe kwa michezo,akupe elimu yake,uitumikie umfanyie kazi zake mpaka kifo halafu ukifa ,uko wewe kama wewe maana ushakosea toka mwanzo.JESUITS ni watawala wa dunia ndio wanamkono wa haya yote kuna project fishbowl na dominic zilifanywa kupiga makombora kwenda juu kuangalia ukomo wa anga wakafanikiwa kugundua dome au kioo cha juu cha dunia ,wakafanya project high jump kule antarctic wakagundua kumbe dunia inaendelea nje ya kuta za barafu ,wakasema sawa wakakutana mataifa makubwa wakasign mkataba unaoitwa Antarctica treaty kuwa hakuna shughuli zote au makazi yanatakiwa yawepo southpole wakafanikiwa,kilichofata baada ya kugundua juu hapapitiki yani dome,wakajua hawataweza watawala walimwengu maana watafata imani zao na kuwa karibu na MUNGU WAO,kwakuwa ni mkono wa ibilisi na mkuu wa dunia wakabadilisha ramani kutoka duara tambarare kuwa mpira ama tufe halikadhalika na umbo la dunia,je umbo watabadilishaje na haiwezekani ikawa ni rahisi ni mahesabu na ushawishi,mnamo 1958 wakazindua NASA chombo cha anga kwasababu juu hapapitiki,ili dunia iwe mpira lazima watu waende juu na kupiga picha kuthibitisha umma kuwa ni mpira kazi ikaanza ila inafanyika ardhini sio angani,ukisoma vitabu vya imani dunia nzima vinasema aliumba dunia akaitenganisha na mbingu na ndani yake kuwa na jua na mwezi pamoja nyota sio nje ni ndani ,kwahiyo ndani ya dome kuna jua na mwezi na nyota na nje kuna mbingu yani celestial levels hata kwa macho si unajionea tu,sasa kuhusu hizi sayari zingine nazo ni jua na mwezi kwa dunia zingine mbele ya antarctica.
Anyway wakatafuta wanasayansi kama kina somebody cornepicus waliocheza mchezo wa rotation na revolution ,huku wakiwa na hofu kuwa sasa mbona dunia haitafeel hizi effect,wakaongezwa wengine and so .....ni project ndefu sana kwahiyo ili kudhibitisha uwezo wa NASA wakaanzisha project ya mwezini ambayo nayo game imechezwa ardhni,kuna kitabu cha moon landing hoax kinaelezea vizuri,kwahiyo wakafanikiwa kumanipulate ulimwengu kwa asilimia kubwa kwakuwa hawana uthibitisho na wao ni taasisi ya sayansi ya anga,hata ukisema wakupe records hawana,documents za utafiti wa chochote watakuambia classified au confidential ,kwakuwa sasa dunia imekubali vyote hivi imekuwa ni jela ya watumwa na ni mengi yanakuja na MWISHO WAKE NI MBAYA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Mkuu sababu Wewe unachanganya na mambo ya theology naomba unieleweshe kitu hapo! Ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo kuna sehemu inasema kulikuwa na Vita huko Mbinguni Kati ya Mikaeli na Yule Joka na Malaika zake,mwisho yule Joka na Malaika zake walishindwa na kutupwa Duniani! Mkuu hapo huoni hiyo Dome ya kioo tayari ilishaga vunjika kitambo?!Ukishakubali dunia ni mpira ina maanisha umekubali theory ya big bang kuwa vitu vimetoka at random ikiwemo dunia ambayo wao wanaita sayari(planet),ukikubali ni planet basi huna budi kukubali evolution ,kuwa tumeevolve kutoka simple cells mpaka kuwa nyani na kuhamia binadamu mpaka hapo ushamwacha MUNGU kilometre zote na ushaamini hakuna uwepo wake kwahiyo tafsiri ni kuwa upo kwasababu ulitokea kwa bila sababu just random,kwahiyo huwezi kujua asili yako na hatima yako ,sasa utafanyaje ushapotea ,utabidi utafute msaada kumbuka hapo dini haiwezi kuhusika maana ushakataa dunia haijaumbwa ila imetokea kwa mlipuko usiojulikana chanzo,itabidi umsikilize sasa yule anayejiita mwenye maarifa akusaidie kwa kutumia kigezo kinacho itwa sayansi,akupe teknologia ya kuishi,akupunguze mawazo kwa vilevi,akuburudishe kwa mziki,movie na anasa,akuchangamshe kwa michezo,akupe elimu yake,uitumikie umfanyie kazi zake mpaka kifo halafu ukifa ,uko wewe kama wewe maana ushakosea toka mwanzo.JESUITS ni watawala wa dunia ndio wanamkono wa haya yote kuna project fishbowl na dominic zilifanywa kupiga makombora kwenda juu kuangalia ukomo wa anga wakafanikiwa kugundua dome au kioo cha juu cha dunia ,wakafanya project high jump kule antarctic wakagundua kumbe dunia inaendelea nje ya kuta za barafu ,wakasema sawa wakakutana mataifa makubwa wakasign mkataba unaoitwa Antarctica treaty kuwa hakuna shughuli zote au makazi yanatakiwa yawepo southpole wakafanikiwa,kilichofata baada ya kugundua juu hapapitiki yani dome,wakajua hawataweza watawala walimwengu maana watafata imani zao na kuwa karibu na MUNGU WAO,kwakuwa ni mkono wa ibilisi na mkuu wa dunia wakabadilisha ramani kutoka duara tambarare kuwa mpira ama tufe halikadhalika na umbo la dunia,je umbo watabadilishaje na haiwezekani ikawa ni rahisi ni mahesabu na ushawishi,mnamo 1958 wakazindua NASA chombo cha anga kwasababu juu hapapitiki,ili dunia iwe mpira lazima watu waende juu na kupiga picha kuthibitisha umma kuwa ni mpira kazi ikaanza ila inafanyika ardhini sio angani,ukisoma vitabu vya imani dunia nzima vinasema aliumba dunia akaitenganisha na mbingu na ndani yake kuwa na jua na mwezi pamoja nyota sio nje ni ndani ,kwahiyo ndani ya dome kuna jua na mwezi na nyota na nje kuna mbingu yani celestial levels hata kwa macho si unajionea tu,sasa kuhusu hizi sayari zingine nazo ni jua na mwezi kwa dunia zingine mbele ya antarctica.
Anyway wakatafuta wanasayansi kama kina somebody cornepicus waliocheza mchezo wa rotation na revolution ,huku wakiwa na hofu kuwa sasa mbona dunia haitafeel hizi effect,wakaongezwa wengine and so .....ni project ndefu sana kwahiyo ili kudhibitisha uwezo wa NASA wakaanzisha project ya mwezini ambayo nayo game imechezwa ardhni,kuna kitabu cha moon landing hoax kinaelezea vizuri,kwahiyo wakafanikiwa kumanipulate ulimwengu kwa asilimia kubwa kwakuwa hawana uthibitisho na wao ni taasisi ya sayansi ya anga,hata ukisema wakupe records hawana,documents za utafiti wa chochote watakuambia classified au confidential ,kwakuwa sasa dunia imekubali vyote hivi imekuwa ni jela ya watumwa na ni mengi yanakuja na MWISHO WAKE NI MBAYA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Hakuna aliekufa akarudi akiwa mtu tena, kama wanarudi ningekuwa namfahamu babu yangu upande wa baba(huyu alikufa sijazaliwa)sawa mkuu. Lakini sasa kuna paradox kidogo. Kwani kifo ni nini? na kwa nini unasema au una evidence gani aliyekufa asiweze kurudi na kuwa mtu tena?
Umesema kweli mkuu, kuna haja kutafiti zaidiKama NASA wamefanya project za mabilioni ya dollar miaka yote kumbe wanatuongopea walaaniwe. Na kwanini watuongope kwa faida gani sasa?
Kwani sisi tukijua dunia ipo flat inatuongezea nini au inatupunguzia nini?
Mimi sasa hivi nikitangaziwa dunia ni flat nitafanya nini kwani nitajiua? Au kwani nitakwenda huko mwisho wa ncha ya dunia na sururu au shoka nianze kupasua kioo nitoke nje ya dunia?
Na kwanini Russia, Japan, Korea, China wapo kimya ilihali kila mara wanarusha vyombo vyao huko nje ya dunia?
Ila hii la dunia flat linamaswali mengi sana
Hizi habari za dunia ipo flat sio za kupuuzwa otherwise lifanyike jambo la kuprove dunia ni spherical shape.
Swali kuprove dunia ni flat nini kifanyike?
Sent using Cash Money Wings
Kuna ulimwengu wa mwili na wa roho. Ni hilo tuMkuu sababu Wewe unachanganya na mambo ya theology naomba unieleweshe kitu hapo! Ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo kuna sehemu inasema kulikuwa na Vita huko Mbinguni Kati ya Mikaeli na Yule Joka na Malaika zake,mwisho yule Joka na Malaika zake walishindwa na kutupwa Duniani! Mkuu hapo huoni hiyo Dome ya kioo tayari ilishaga vunjika kitambo?!
Sasa kila utakapokuwa ukisogea kupima unaona utambalale kwa hio mkunjo wa uduara wa dunia utauona lini..!!? Sasa huoni kama unajijibu mwenyewe kwamba our earth is flat.Kaka ndio maana nasema hivi, unacho kiona wewe ni ule ukomo wa hicho kifaa, ila kifaa hakionyeshi kwamba hapo ndio mwisho. Sijui kama unanielewa.
Ukiangalia hizo picha kwa umakini, ni kuwa inaonyesha matokeo ya utambarare kulingana na upeo yaani ukomo wa kifaa hicho. Maana ukisema usogee kutoka hapo ulipo ukaenda umbali wa mile kadhaa ukapima tena lazima utaona ukomo wa tambarare.
Mkuu umeongea kibinadamu zaidi. Na ujue kisichowezekana kwa binadamu kwa Mungu kinawezekana! Hadi leo tunasema tu kifo au kafa lakini wala hatujui kifo ni nini hasa!?1.Hakuna aliekufa akarudi akiwa mtu tena, kama wanarudi ningekuwa namfahamu babu yangu upande wa baba(huyu alikufa sijazaliwa)
2. Mti tukiung'oa kuua,tukauchoma moto ukawa jivu, na tukachoma jivu kuna point tunafika hata jivu linaishia kuwa jivu au kuwa kitu kingine, sio mti tu na vitu vingine vingi lakini hauwezi tena kuurudisha kuwa mti,kadhalika binadamu pia akifa,akaoza,akawa fosils n.k hata akiwa katika form nyingine duniani au mbinguni huyo sio mtu tena ni something else. Najua wakristo hapa wanaweza kuleta case ya Yesu,hili sasa ni suala jingine nyeti katika mambo ya imani.Kama ndugu Reality anavyosema Antarctica kuna viumbe wana macho ya blue, hii sio fact ni belief
Kutokuuona kwako ndio ukamilifu wake wa uduara hilo.Sasa kila utakapokuwa ukisogea kupima unaona utambalale kwa hio mkunjo wa uduara wa dunia utauona lini..!!? Sasa huoni kama unajijibu mwenyewe kwamba our earth is flat.
Sent using Jamii Forums mobile app
15. Plane direction ni North East, kwanini?Mkuu nimekusoma, nadhani hizo domes ni imaginary kutokana na ancient beloefs kwa sababu elimu ya globe earth imekuja hivi majuzi tu. Kwa sasa nafuatilia expeditions mbalimbali huko Antarctica, inaonyesha kuna jambo limefichwa kabisa.
Mpaka sasa nimeweza kuzikubali facts kadhaa mfano:
1. Hakuna carveture ya dunia kwa kutumia vitu hakisia zaidi ya kwamba ipo kimahesabu (theory) tu
2. Hoja ya meli kutokeza ni perception tu
3. Hakuna mwanadamu ama chombo kilichovuka parking orbit mpaka sasa (maneno ya mwanasayansi wa NASA akiwa ISS)
4. Kwa kuzingatia hilo ina maana safari ya mwezini ni hoax
5. Dunia ina centre ambayo ndio NORTH POLE ndio maana sumaku zote zinaelekea huko.
6. Kila nikitazama mwenendo wa jua nashawishika kuwa haliwezi kuwa na ukubwa unaosemwa wala huo umbali wa km milioni 150
7. Mwezi unaweza usiwe mchanga kwa sababu kuna kioindi unafifia na tunaweza kuona upande wa pili kupitia huo huo mwezi
8. Kwa nini ndege hazirekebishi uelekeo kufuata umbo la dunia?
9. Nakubaliana na hoja kuwa picha zote za dunia ni CGI
10. Kama umbali uliochimbwa kwenda chini ni 12.3 km pekee, tunajuaje yaliyopo huko?
11. Kwamba dunia inazunguka haiingii akilini hata kidogo, yako mengi yanayokataa logic hii.
12. Kwa nini land navigation (Topographical maps) haizingatii umbo la dunia?
13. Kwa nini meli zinatumia flat earth model?
14. Gravitatinal force ni halisi?
Etc, etc. Nahitaji mwanasayansi wa globe earth anisaidie kwenye hayo ili nisipotee.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Unsmssnidhs udusra wa mpira au sinia?Kutokuuona kwako ndio ukamilifu wake wa uduara hilo.
Ndio maana pakawa na ishara zinaonyesha uduara wa Dunia, ishara ambazo umbile lingine halikubali, suala la kuona hapa kuna mipaka, kama vile macho yalivyo kuwa na mipaka katika kuona.
Mkuu hata Majirani zetu wa Kenya mwaka juzi walisema wamerusha Satellite.Lakini hapa wanasema hakuna kitu kama hicho ni minara mirefu tu.Na bado wanao ingia kenya hawajaona huo mnara mrefu uliotundikiwa hiyo satellite!Dunia ni duara kama tufe. Msidanganywe na conspiracy theories.
Wataalamu wa kurusha long range rockets au ballistics missiles wana formula moja ambayo lazima upate Earth Curvature at a certain point,ili kudondosha kombora lako unapotaka. Earth curvature ni mpindo au mduara wa dunia ulivyo. Sasa kama dunia si duara formula hiyo ya nini!?
tukibaki hukohuko katika Biblia utakutana na Madirisha ya Mbingu (katika habari za Safina ya Nuhu na Gharika Kuu) labda kuna na Milango au Mlango wa Mbingu....Mkuu sababu Wewe unachanganya na mambo ya theology naomba unieleweshe kitu hapo! Ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo kuna sehemu inasema kulikuwa na Vita huko Mbinguni Kati ya Mikaeli na Yule Joka na Malaika zake,mwisho yule Joka na Malaika zake walishindwa na kutupwa Duniani! Mkuu hapo huoni hiyo Dome ya kioo tayari ilishaga vunjika kitambo?!
Uzushi kwamba wewe sio "Mrembo wa nguvu" au nimetoa maana ya uongo juu ya tamko "Kani" ?Haha hii ni uzushi Zurri.