Ukishakubali dunia ni mpira ina maanisha umekubali theory ya big bang kuwa vitu vimetoka at random ikiwemo dunia ambayo wao wanaita sayari(planet),ukikubali ni planet basi huna budi kukubali evolution ,kuwa tumeevolve kutoka simple cells mpaka kuwa nyani na kuhamia binadamu mpaka hapo ushamwacha MUNGU kilometre zote na ushaamini hakuna uwepo wake kwahiyo tafsiri ni kuwa upo kwasababu ulitokea kwa bila sababu just random,kwahiyo huwezi kujua asili yako na hatima yako ,sasa utafanyaje ushapotea ,utabidi utafute msaada kumbuka hapo dini haiwezi kuhusika maana ushakataa dunia haijaumbwa ila imetokea kwa mlipuko usiojulikana chanzo,itabidi umsikilize sasa yule anayejiita mwenye maarifa akusaidie kwa kutumia kigezo kinacho itwa sayansi,akupe teknologia ya kuishi,akupunguze mawazo kwa vilevi,akuburudishe kwa mziki,movie na anasa,akuchangamshe kwa michezo,akupe elimu yake,uitumikie umfanyie kazi zake mpaka kifo halafu ukifa ,uko wewe kama wewe maana ushakosea toka mwanzo.JESUITS ni watawala wa dunia ndio wanamkono wa haya yote kuna project fishbowl na dominic zilifanywa kupiga makombora kwenda juu kuangalia ukomo wa anga wakafanikiwa kugundua dome au kioo cha juu cha dunia ,wakafanya project high jump kule antarctic wakagundua kumbe dunia inaendelea nje ya kuta za barafu ,wakasema sawa wakakutana mataifa makubwa wakasign mkataba unaoitwa Antarctica treaty kuwa hakuna shughuli zote au makazi yanatakiwa yawepo southpole wakafanikiwa,kilichofata baada ya kugundua juu hapapitiki yani dome,wakajua hawataweza watawala walimwengu maana watafata imani zao na kuwa karibu na MUNGU WAO,kwakuwa ni mkono wa ibilisi na mkuu wa dunia wakabadilisha ramani kutoka duara tambarare kuwa mpira ama tufe halikadhalika na umbo la dunia,je umbo watabadilishaje na haiwezekani ikawa ni rahisi ni mahesabu na ushawishi,mnamo 1958 wakazindua NASA chombo cha anga kwasababu juu hapapitiki,ili dunia iwe mpira lazima watu waende juu na kupiga picha kuthibitisha umma kuwa ni mpira kazi ikaanza ila inafanyika ardhini sio angani,ukisoma vitabu vya imani dunia nzima vinasema aliumba dunia akaitenganisha na mbingu na ndani yake kuwa na jua na mwezi pamoja nyota sio nje ni ndani ,kwahiyo ndani ya dome kuna jua na mwezi na nyota na nje kuna mbingu yani celestial levels hata kwa macho si unajionea tu,sasa kuhusu hizi sayari zingine nazo ni jua na mwezi kwa dunia zingine mbele ya antarctica.
Anyway wakatafuta wanasayansi kama kina somebody cornepicus waliocheza mchezo wa rotation na revolution ,huku wakiwa na hofu kuwa sasa mbona dunia haitafeel hizi effect,wakaongezwa wengine and so .....ni project ndefu sana kwahiyo ili kudhibitisha uwezo wa NASA wakaanzisha project ya mwezini ambayo nayo game imechezwa ardhni,kuna kitabu cha moon landing hoax kinaelezea vizuri,kwahiyo wakafanikiwa kumanipulate ulimwengu kwa asilimia kubwa kwakuwa hawana uthibitisho na wao ni taasisi ya sayansi ya anga,hata ukisema wakupe records hawana,documents za utafiti wa chochote watakuambia classified au confidential ,kwakuwa sasa dunia imekubali vyote hivi imekuwa ni jela ya watumwa na ni mengi yanakuja na MWISHO WAKE NI MBAYA SANA.
Huyu Jamaa ni tatizo sana! Sijajua kama Dunia itakuwa ni flat. Wanasayansi wana tuficha kutuambia ili wapate maslahi gani! Alipaswa kutuelewesha tujue sababu!
Sent using
Jamii Forums mobile app