The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Toka nianze research mbalimbali baadhi nimekuwa nikishare humu JF lakini wengi nimeona wameshindwa kunielewa kwa nini!

Sababu kubwa ni kuwaprove wrong Spherical/Round Earthers, Einstein na Newton worshippers.

Soma between the lines!

The earth and others planets ni Flat. Picha ya Vesta mnayo japo nimetoa siri.
 
Hii topic nimeiona kwa muda sasa unaweza kuiona ni yakupoteza muda tu ila kuna mambo machache yakujiuliza hapa kwa pande zote mbili

Kwanza kwanini hawa wanasayansi wadanganye kuwa dunia ni mduara? Itakuwa na faida gani kwao? kweli na mambo yote tuliyojifunza shule/chuo yawe hayana maana? Muda wote iwe tumepoteza?

Vipi kuhusu maelfu na maelfu ya ramani ambazo explorers waliokuwa wakizunguka dunia kuzichora na ku document visiwa vidogo vidogo kuvijumuisha kwenye ramani ya dunia hata kabla ya kuwepo kwa satellite images toka karne ya 15 huko?

Maelfu ya meli zikazama na kupotea bahari za mbali huko, watu wakapoteza maisha yao kwa ajili ya kudanganya kuwa dunia ni mduara?

Aya tukija kwenye motion ambayo dunia ni mduara basi kwanini hajawai kutokea mtu yoyote yule aliewahi kwenda Antarctica kupitia northern part ya dunia either Canada, Scandinavia au Russia? Kwanini route iwe ni moja kupitia southern part of earth yani Argentina, Chile, South Africa, New Zealand au Australia?

Jamani mtu asije hapa na point ya karafu na baridi kubwa maana tayari kuna ndege inatoka Argentina hadi Australia kupitia Antarctica






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuamini uwepo wa hayo 'mataifa' wakati walosema hayo ndo walosema dunia duara ambayo huamini ni kukosa mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashiko gani?! Kama unafuatilia threads zangu ndio utajua nani anamashiko mimi au Newton na Einstein....Picha ya Vesta mnayo, Nibiru napafahamu inside in and out.

Mars hata house proposal ni same niliyotoa yenye kuakisi ukweli wa planets na terraspace they know about that.

Nisome between the lines ndio utanifahamu without that sina nguvu za kipropaganda kama Physics Worshippers hapa.
 
Mkuu umeongea kibinadamu zaidi.
Mkuu yote yako katika level za kibinadamu zaidi, body,mind and soul. Kama ambavyo hatuwezi kufikiria kama mamba au ng'ombe anavyofikiri pia hakuna mtu anaweza kufikiri kama Mungu/mungu anavyofikiri.Kwa hiyo hilo la kuongea kibinadamu uko sawa kabisa, na wala hatuko weak kiasi hicho ila watu wanazidiana maarifa na ujuzi.
Kifo ni hali ya mwili kuacha kuacha kufanya kazi zinazoufanya uwe hai kama vile kusimama kwa damu, kutopumua n.k(scientific) pia ni kutengana kwa mwili na roho (this is spiritual).
Hata Mitume na Manabii hakuna aliefikiri kama Mungu wali convey messages.
Kuhusu kurudi tena kama mtu hapana mkuu hii haipo, japo unaweza kufanana vitu na waliopita kwa sababu katika kuumbwa kwa mwili wako informations kupitia baba na mama zinaendelea kusafiri na kurithiwa mithili ya DNA.
Au unajiuliza kwa Yesu ilikuwaje?Nakubaliana Alikufa na kufufuka...ila mi sio mkristo😃, so sivutii kamba.
 
Picha ya Vesta mnayo, Nibiru napafahamu inside in and out.
Eeh mkuu taratibu mkuu.Serious question unapafahamu vipi?Yani una findings zako ambazo zimeenda mbali ya "literature review" like uliingia field hapo Nibiru?Vinginevyo mkuu "inside and out" sio kweli
 
Eeh mkuu taratibu mkuu.Serious question unapafahamu vipi?Yani una findings zako ambazo zimeenda mbali ya "literature review" like uliingia field hapo Nibiru?Vinginevyo mkuu "inside and out" sio kweli
Yes.
 
Wameulizwa swali kwanini meli ikiondoka bandarini kadri inavyokwenda umbali mrefu ndani ya bahari unaiona kama inazama, ukipanda juu ya mnara mrefu unaiona meli ile baadae inavyozidi kwenda mbali unaiona inazama tena. Kama dunia ingekuwa flat hichi kisingetokea. Wanashindwa kutoa majibu wanadema dema. Ovyo kabisa

Sent using Cash Money Wings
Earth Horizon.
 
Ukiwa mfuatiliaji wa mambo na kisha ukaufuatilia huu mjadala kwa muda mrefu na kwa kina utagundua kuwa;

1. Hoja kuhusu dunia kuwa tambarare bado ni dhaifu sana.

2. Hazijitoshelezi na zina maswali mengi zaidi yasiyo na majibu.
 
REALITY,

Hatuhitaji kwenda anga za juu ili kuthibitisha hivyo vitu viwili bali tutumie mifano ya kawaida tu.

Umekwisha wahi kuitazama meli inapoelekea mbali na mahali uliposimamia. Kwanini meli uonekana kama kuzama pale inapozidi kuelekea mbali zaidi na mahali ulipo?

Unafahamu kitu gani kuhusu 'Gravity'?

Unawezaje kuelezea jinsi 'Gravity' inavyofanya kazi katika hiyo dunia ya "flat"?
 
Hujibiwi sababu maswali yako ya uongo. Kwanza hakikisha maswali yako na uyafanya yawe kweli. Maswali yako mfano wake ni sawa mtu aseme au uambiwa "Mungu ana nguvu kuliko chochote, halafu uulize je Mungu huyo anaweza kuumba kitu ambacho kina nguvu kuzidi yeye? " Hili sio swali bali ni wasi wasi ni matumizi mabaya ya akili.

Hakiki kwanza uwepo wa hicho unacho kidai kisha uulize swali la kweli.

Pili, hatusemi Jua lina zunguka bali jua linatembea katika njia zake.


Pili, marejeo ya urefu wa siku nani akikwambia ni masaa 24 haya ni makubaliano ya watu,makubaliano ambayo hayabadilishi maumbile wala nidhamu ya jua. Usahihi wa mahesabu ni kucha na kuchwa kwa jua.

Kwahiyo swali lako hili pia ni la uongo. Uliza maswali ya kweli.
Aiseeeee sijawahi kuona mtu poyoyo kama wewe. Yaani wewe ni poyoyo wa kiwango cha standard gauge.

I rest my case.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba zetu zamani tulikuwa tunajenga kama DOME like. Mpk hawa wahuni walipotuletea mfumo wa majengo ya uongo wa mabati. Aka pyramids. Wazee wetu walijua umbo la dunia yao ndo maana walijenga like DOME sio style yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba zetu zamani tulikuwa tunajenga kama DOME like. Mpk hawa wahuni walipotuletea mfumo wa majengo ya uongo wa mabati. Aka pyramids. Wazee wetu walijua umbo la dunia yao ndo maana walijenga like DOME sio style yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo walijua dunia IPO kana Dome,,,,While nyumba zao ziliundw Kwa stratified soil (utope) Kama biscuits ,,,je? Dome ipo Kama biscuits ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom