gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,174
- 6,813
Ukubwa wa jua hilo ni jambo jingine ila ndio dunia inazunguka na hili linaweza kuthibitika kwa akili na fact za kawaida bila kifaa chochote kwasababu matojeo ya kuzunguka uko yanaonekana na kuelezeka kirahisi. swala la kutosikika kwa mzunguko wa dunia hilo sasa linategemeana na muumbaji mwenyewe kwasababu sidhani kama ni vitu vyote duniani tunaweza kuvisikia au kuhisi.Mfano mdogo hebu mchukue sisimizi alafu muweke mkononi kisha zungusha zungusha mkono uone kama atahisi huo mzunguko.Au kwa akili za kawaida unadhani tungekua tunahisi huo mzunguko wa dunia kwa spidi hiyo unadhani maisha yangekuaje kama sio kizunguzungu tupu.
Unauhakika we jua unaliona kubwa dogo?
Ukiwa hapo ulipo unahisi dunia inazunguka?
Tumia uwezo wako wa kufikiri sio vitabu ndo unijibu maana unaukata uhalisi unakimbilia vitu vya kusukwa.
Sent using Jamii Forums mobile app

