REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #1,381
That was great Zurri
Ila issue pia ni vipi unapima ile information kama ni valid or invalid,kuwe na measures,evidence,akili yako binafsi inaonaje(hypothetical thinking),value of information is it worthy to balance the argument and make it off the table ,kutoka wapi as you said is it a valid source n.k
Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo ya kulipua sio ya msingi.
Mathalani mimi nijuavyo na hili lisiwe mjadala kwa sasa. Marekani na Irani wamoja. Hapa wakubwa tunasema tunaweka kiporo.
Tatizo sio kufatilia tatizo ni kuthibitisha, je ushawahi kuhoji lolote pindi ulipokuwa unafatilia na kaka ulihoji, ulihoji nini na ulitumia nguvu kiasi kupata majibu ya kile unacho hoji na je ulipata majibu ? Kaka leo hii watu wanafatilia mangapi lakini hawapati ukweli jui ya hayo wanayoyafatilia ? Ukweli uko wazi sababu tu wao wanataka muone kile wanachotaka wao muone na wanajua wanapenda kuona basi mnaonyeshwa.
Jambo lingine, nilifundishwa nikiwa nafatilia jambo fulani kitu cha kwanza kufatilia na kukijua na kukitilia mkazo ujue ni wapi unachukua habari za kweli juu ya kile unachokifatilia. Usipojua wapi pakuchukua hili ndio tatizo kubwa kuliko ufatiliaji wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app