Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Ukiwa mfuatiliaji wa mambo na kisha ukaufuatilia huu mjadala kwa muda mrefu na kwa kina utagundua kuwa;
1. Hoja kuhusu dunia kuwa tambarare bado ni dhaifu sana.
2. Hazijitoshelezi na zina maswali mengi zaidi yasiyo na majibu.
Hizi hoja ni entry level kwa mtafiti wa flat earth na ni hoja nyepesi zaidi kujibu KWA VITENDO tu. Nenda kando ya bahari, itazame meli mpaka pale inapopotea machoni mwako. Chukua kifaa choochote cha kuweza kusogeza umbali (zoom) mfano kamera yenye nguvu. Tazama tena uelekeo wa meli oale ilipopotea (kuzama kwenye duara) halafu ushangae utakapoiona ikichanja mbuga kama kawaida. Kwa mtindo huu unaweza kuona hata vitu vinavyopaswa kuzama zaidi ya mita mia chini ya bahari lakini vikawa vinaelea mbele yako. Hiyo inaitwa perspective, ni upeo wa macho tu, sio mbonyeo wa dunia.REALITY,
Hatuhitaji kwenda anga za juu ili kuthibitisha hivyo vitu viwili bali tutumie mifano ya kawaida tu.
Umekwisha wahi kuitazama meli inapoelekea mbali na mahali uliposimamia. Kwanini meli uonekana kama kuzama pale inapozidi kuelekea mbali zaidi na mahali ulipo?
Unafahamu kitu gani kuhusu 'Gravity'?
Unawezaje kuelezea jinsi 'Gravity' inavyofanya kazi katika hiyo dunia ya "flat"?
Gravity ni imaginary, hata wewe huwezi kuielezea. Kuanguka kwa vitu kila viendapo juu ni kutokana na kuwa denser than air. Ndivyo ilivyo kuzama pia. Gravity ni mtazamo wa wanafizikia lakini haina uhalisia
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
