Katika Nyuzi Zote Zinazoanzishwa na Flatearthier, REARITY kautendea haki uzi huu. Hasa katika kuyajibu maswali kwa namna yalivyoulizwa au kwa namna yakumjibu muulizaji. Tupo Pamoja.
Wachangiaji wengi wanaokupinga wewe juu ya Utambarare wa dunia duara ni MAMBUMBUMBU NA KAMA WANAAMINI KATIKA USOMI WAO BASI NI WAJINGA WAKUTUPWA.
Hivi kwa aliyeenda shule ni nani hajasoma kuwa Dunia ni Duara Mviringo kama vile mpira.? Hakuna.
Ila wengi tulilijua hilo kupitia shule au kwa waliofundishwa hivyo shuleni, je kabla ya hapo tuliishi tukiamini vipi na hasa juu ya jua kutembea.?
Hapa tunatumia mtandao wa jamiiforums akija mtu akakwambia huu mtandao unauona ni jamiiforums ila sio huu ni mtandao wa facebook, nani atakua muongo?
Je ana tofauti na anayekuambia jua limesimama?
Sisi tunaoamini katika flat ni kwasababu tulifundishwa mviringo ila baada ya kuhoji uthibitisho haujawahi kuthibitika juu ya hiyo shape.
Hujawahi kufika hata jangwa la libya leo ukivalishwa manguo ya NASA na mahelment yao ukapigishwa misele angani miezi kazaa ukashushwa Libya uambiwe upo Mars utambishia nani na unaambia ukivua tuu kofia umekufa. UNAWEZAKUCHEKA UJUE.
KUBWA KULIKO ETI KUNASAFARI ZINAANDALIWA NA WATU WATAKUA WANASAFIRI KWENDA HUKO MARS... TUJIULIZE KWANINI WANATANGAZA KABISA KUWA NI SAFARI YA KWENDA TUU HAKUNA KURUDI, HAPO HAMZANI UKISHAJUA KULE UMEDANGANYWA UKIRUDI SI UTATOA SIRI.
GRAVITATION GORCE MBONA HAIBADIRISHI MITIRIRIKO YA MAJI YA MITO PALE DUNIA INAPOKUA INAZUNGUKA?
NAAMINI KATIKA UKWELI WA ELIMU ILINIDANGANYA JUU YA UMBO LA DUNIA,
NAKUPITIA UZI HUU NAENDELEA KUZIJUA SABABU ZA UONGO HUO.
Sent using
Jamii Forums mobile app