Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
nitaipataje cheche?
angalia kwenye post ya kwanza kuna attachment. Ukitaka kufikia kwenye email yako fuata email address kwenye kijarida na omba utumiwe kwenye email.
nitaipataje cheche?
Msimu ule wa uchaguzi mkuu unakaribia tena Tanzania. Tutaanza kusikia mambo mengi kutoka kwa wahusika na tumeshaanza kusikia. Swali ni je unaona Kikwete apewe 2010? Na kama jibu ni hapana je muda huu nani unaona anafaa kuliongoza taifa?
Mimi naona tusikimbilie kusema Kikwete asipewe tena kabla hatuja tafakari nani anafaa kumpokea. Na hapa siongelea ndani ya CCM naongelea kwenye uchaguzi mkuu msije mkazani mimi ndiyo wale wanaotaka kumpindua JK asigombee tena hilo shauli yao wahusika. Hapa tuongelee uchaguzi mkuu na tuassume JK ndiyo mgombea wa CCM. Je apewe tena? Na kama siyo yeye basi iwe nani?
Mimi naona Tz tunaluck options za viongozi. Hatuchagui nani aliye BORA kati ya walio BORA bali tunachagua asiye OVYO kupita wote walio OVYO. Mazingira yalivyo sasa ni vigumukumpata kiongozi aliye bora kwa sababu kiongozi aliyebora kwa Tz basi siyo tajiri wa kuji limbikizia lakini bila utajiri huo mtu kushinda inakuwa ngumu. Ukiangalia upande wa upinzani ndiyo sifuri kabisa. Upinzani hauna hoja wala sera zao wenyewe bali wanasubiria CCM ifanye kosa basi ndiyo wao wapate cha kusema. Pia wapinzani ni malimbukeni. Mbowe alikuwa anaponda sana mafisadi ila tokea skendo yake ya NSSF hana ubavu wa kusema chochote na hata akisema anaonekana ni wale wale tu.
JK ana mapungufu yake lakini jamani JK siyo mwizi. Ndiyo maana alihitaji wenye fedha kupata uraisi kwa sababu siasa za bongo NO CASH NO CHEO. Sasa ilibidi awalipe hao waliomfazili, matokeo yake ndiyo hivyo marafiki zake kutuhumiwa kwa ufisadi. Kwangu mimi JK is a descent president lakini ukiji zunguusha na mataoeli utaonekana tapeli. Jk anaangushwa na washikaji zake aliyo wapa vyeo mbali mbali. Tungekuwa katika mazingira tofauti nadhani JK angeonekana kiongozi mzuri tu tatizo ukiwa rais hakuna excuses. IF THE GOVENMENT FAILS THE PRESIDENT HAS FAILED WHETHER ITS BY HIS OWN FAULT OR THE FAULT OF HIS SUBORDINATES.
Lakini nasema bora zimwi ulijualo kuliko usilijualo. Katika choices za viongozi ambao tunao kwa sasa Tz na wana chance ya kuwa maraisi JK is our best options. Unaweza ukatae au ukubali lakini hauwezi kumtaja mtu yoyote who would do any better than JK has done. Jk aliridhi uozo wote huu unao onekana sasa. All this things are not the fault of JK but uraisi kautaka mwenyewe kwa hiyo lazima akubali kuwajibika. Ahadi ni deni na katika uchaguzi uliopita alitoa ahadi mbali mbali, watu wenyewe mtamhukumu kama katimiza au la.
INA SIKITISHA MAFISADI KUENDESHA NCHI lakini habari ndiyo hiyo. Who do we choose? What options do we as Tanzanians have when it comes to choosing the head of our country?
Uchaguzi wa mwakani ndiyo utakuwa wakwanza tangu nitimiza umri wa kupiga kura. Tanzania tuna viongozi wanaowea kuwa maraisi wazuri/viongozi wazuri lakini wapo wapi na wana nafasi gani ya kkushinda? Ninacho taka kujua ni kama nilivyo uliza mwanzo. DO YOU THINK JK SHOULD BE GIVEN A SECOND TERM BY TANZANIANS? IF YES WHY? IF NO, WHO WOULDE BE A BETTER PRESIDENT AND WHY?
Mwanafalsafa1,karibu ukumbini.
Nimeipenda makala yako,maybe kwasababu wewe ni mgeni na kwa jinsi ulivyoingia na gia,nimeonelea nikupe pongezi,lakini tarajia mjadala mkali kuhusiana na mapendekezo yako,la kushangaza ni kwamba umeshasema hakuna anayefaa na hapo hapo unataka tumtaje anayefaa?!
Shida tuliyonayo ni kwamba options za kiongozi haziwezi kwenda nje ya tabaka lile lile kutokana na system na katiba....Panga pangua,Rais atatoka kwenye tabaka lile lile unless kuna mabadiliko ya kimsingi,la sivyo tunataendeleza gap between matabaka, Na kwa mantiki hiyo,sintoshangaa kuona thread hii ikiunganishwa na zile nyingine zinazohusu option ya either JK apewe tena ama la.
Kuhusiana na upinzani,bado tunaendelea kusikiliza hoja zao,watakapozitoa tutazijadili,lakini ni wazi kabisa kuwa wanastahili nafasi kwenye jamii kutokana na kazi zao..Tusubiri tuone,cha msingi ni kwamba kinachohitajika ni mabadiliko constructive....Otherwise ni politics as usuall,sana sana ni humo ndani ya chama.
Mimi naona Tz tunaluck options za viongozi. Hatuchagui nani aliye BORA kati ya walio BORA bali tunachagua asiye OVYO kupita wote walio OVYO.
Upinzani hauna hoja wala sera zao wenyewe bali wanasubiria CCM ifanye kosa basi ndiyo wao wapate cha kusema. Pia wapinzani ni malimbukeni. Mbowe alikuwa anaponda sana mafisadi ila tokea skendo yake ya NSSF hana ubavu wa kusema chochote na hata akisema anaonekana ni wale wale tu.
JK ana mapungufu yake lakini jamani JK siyo mwizi.
Kwangu mimi JK is a descent president lakini ukiji zunguusha na mataoeli utaonekana tapeli.
Mimi sikubaliani na hili...... lets try new things. We need change.Lakini nasema bora zimwi ulijualo kuliko usilijualo.
wana chance ya kuwa maraisi JK is our best options ......
Ningejua hili kabla then labda ninge badili mwelekeo wangu juu ya kujibu hoja zako.Uchaguzi wa mwakani ndiyo utakuwa wakwanza tangu nitimiza umri wa kupiga kura.
DO YOU THINK JK SHOULD BE GIVEN A SECOND TERM BY TANZANIANS?
Hapo tupo pamoja.
Hapo umechemsha BIG TIME, umeweza kuharibu tulipokuwa pamoja.
Umejuaje sio mwizi?
Na hapa chini unataka sema nini hasa ukizingatia hapo juu?
Mimi sikubaliani na hili...... lets try new things. We need change.
Kama ndo msimamo wako basi karibu sana JF utajifunza mengi na hatimae utaKUA.
Ningejua hili kabla then labda ninge badili mwelekeo wangu juu ya kujibu hoja zako.
NO BIG NO.
Kuhusu hilo wacha aendelehe na urais maana aliyo fanya mengi juu ya nchi yetu na fahamu mengine amekosea kama vipi tuaangaliye mabaya yake mangapi? na mazuri maangapi?.
Ukiangalia it look simple but the Guy he show how is capable to run the country because what i see we can give to other person he will tell you i have to rebuild the country that mean five years.
Let him finish his duty
sio swali mkuu!! mbona inaeleweka kabisa..tatizo wanaiba sana kura!!