The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
It is about time wanaJF na watanzania, we should dare to fight openly!
 
Hii ni nzuri na mimi ni kama niliisha igundua maana hii nimeianza na inaweza kufanikiwa. Wengine tuige hili ni muhimu maana kwa hesabu ndogo hata hao wa familia nao wana rafiki na wapendwa wao ambao nao watakuwa conviced! unadhani mwisho ni nini?
 
Been visiting JF religiously since 2007, it definately changed my outlook on life and my love for Tanzania. Scandal after Scandal leading me to question what can a person like me who is not a politician nor in any position of influence in government or affliated with any political party do to change the situation instead of coming here everyday and posting my anger towards UFISADI.

I took the following steps...called my family in Tanzania... 3 brothers 2 sisters plus my father/mother and luckily i had 3 cousins over making 10 individuals. Explained my stance to them with emotional blackmail of coz and they agreed not to vote ccm for mbunge wa eneo tunaloishi and raisi!! The purpose of this is to change the dynamics kwenye bunge letu ili upinzani uwe na sauti ambayo sio tu inasikika bali kuheshimika!

NOW I TURN TO YOU MY FELLOW BROTHERS AND SISTERS IN JF!! AS YOU ARE NOT POLITICIANS OR IN POSITIONS OF INFLUENCE!! What steps are you willing to take ??? I believe kama members zaidi ya 3000 wa JF wakiconvince watu kumi tu...impact yake ni kubwa sana!!!

Wazo zuri sana mkuu,
Na pia ni kweli kwamba kama kura zimepishana sana, kuiba inakuwa ngumu, halafu kumbuka uchaguzi itakuwa ni nchi nzima, hivyo vikosi vya polisi vya kutishia watu vitakuwa havitoshi, wananchi wakiamua wizi unadhibitika, tofauti na nguvu yote ya wezi inapokuwa imeekezwa kwenye eneo moja, mfano kama sasa hivi huko Busanda!, but well Tarime did it, bado inawezekana ni swala la kuwa aggressive!
 
Mawazo mazuri
Mawazo matakatifu
Mawazo matamu

Lakini pamoja na mpango huu nashauri pia tuanze mapema kabisa kujiandaa kuchangia kifedha kampeni za wagombea ubunge makini wa upinzani. Hasa hasa wa CHADEMA.

Pia tufikirie kuanzisha website maalum kwa ajili ya kuhamasisha na kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwasaidia wagombea wa upinzani. Hakika tutaweza kuwamobilize watu wengi wanaochukia bureaucracy na political monopoly ya CCM hapa Tanzania.

Asanteni sana na Mungu awabariki
 
Iwe cuf, tlp , chadema huo ni huamuzi wa mtu binafsi as long as namba bungeni zinaongezeka!!
 
Mimi na familia yangu tumepigia upinzani tangu 1995 ila hamna CCM walitangazwa washindi!

Afrika kuna tofauti kubwa sana kati ya kupiga kura na matokeo yanayotangazwa!

Mnakumbuka Cheyo siku akilalamika kupata kura 1? Yaani hata Mke wake hakumchagua?
 
Tofauti kubwa ya kipindi 1995-2000 ni kwamba kulikuwa hamna force kama JF na magazeti hakuwa kama yalivyo sasa...Its a different ball game this is the age of information. I think u shudnt give up, tuko wengi sasa. I personaly was extremely excited when i went and voted for ccm and kikwete! Knowing what i know now im very embarrased as i realised like many millions of tanzanians that i did not make an informed vote. Issues of campaign funding and their consenquences i did not knw.
 
Mimi na familia yangu tumepigia upinzani tangu 1995 ila hamna CCM walitangazwa washindi!

Afrika kuna tofauti kubwa sana kati ya kupiga kura na matokeo yanayotangazwa!

Mnakumbuka Cheyo siku akilalamika kupata kura 1? Yaani hata Mke wake hakumchagua?

mimi nafikiri swala siyo kupigia chama fulani swala lilenge kumchangua mtu anaye faa,Tukiliweza hilo tutaua dhamiraza watu kutukuza vyama, na kutumikia vyama maana wakiteuliwa na vyama kwa upendeleo sisi hatutachagua chama tutachagua mtu anayefaa.
 
Kubadilisha chama ndio mwanzo wa kuwajua viongozi wetu wa baadaye..CCM kwa sasa hata wanaosemwa wasafi wamebanwa kila angle ni vigumu kujua umwamini nani...wacha tuchague walio nje tuanze upya, they can keep uraisi wao! Tatizo letu kubwa tanzania tulikuwa tunamwona mbunge wa kila eneo kama anamwakilisha raisi! Kwaiyo ukiona chadema wakati wewe ni kikwete fan unajikuta unamtupia kura who ever was the ccm candidate hii tabia inabidi iishe.
 
mimi naona uelewa wa wapiga kura wengi bado ni mdogo sana. Asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura wako vijijini, na hao ndiyo wanaohitaji sana kupewa elimu ya uraia. Mimi siamini kuwa wanaipigia kura ccm kwavile wanaipenda sana, baadhi ya sehemu viongozi wa vijiji/kata wamewajaza ujinga kuwa anayepigia kura mpinzani hana tofauti na mhaini. Pamoja na kuwa elimu ya uraia inazidi kukua miongoni wa jamii ya Tanzania, bado tunahitaji watu/vyama vya upinzani kuanza kwenda vijijini kuelezea umma faida za kupiga kura, na kuwa kura ni siri,hivyo hata ukipewa kanga, bado piga kura kwa mtu unayefikiri atakusaidia.

chadema wameanza na op sangara, keep it up. Matunda hamtayaona kwenye chaguzi ndogo bali 2010.
 
Mimi na familia yangu tumepigia upinzani tangu 1995 ila hamna CCM walitangazwa washindi!

Afrika kuna tofauti kubwa sana kati ya kupiga kura na matokeo yanayotangazwa!

Mnakumbuka Cheyo siku akilalamika kupata kura 1? Yaani hata Mke wake hakumchagua?

We can not let them put us done. The reason they still is because most of the votes in those places are a tight race. If we can gather a large vote power by 2010 if they still it will be easily noticeable. we can not let their antics keep us down. Its time to put up or shut up. Lets gather the troops & fight a peaceful war. each of us alone is impossible but together we are a million + strong!!!!!!!!! I believe though that it is more important to vote for the right person rather than a party. It shouldn't matter which party, race, religion or gender a person is as long as they are the right choice for the people.
 
mimi naona uelewa wa wapiga kura wengi bado ni mdogo sana. Asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura wako vijijini, na hao ndiyo wanaohitaji sana kupewa elimu ya uraia. Mimi siamini kuwa wanaipigia kura ccm kwavile wanaipenda sana, baadhi ya sehemu viongozi wa vijiji/kata wamewajaza ujinga kuwa anayepigia kura mpinzani hana tofauti na mhaini. Pamoja na kuwa elimu ya uraia inazidi kukua miongoni wa jamii ya Tanzania, bado tunahitaji watu/vyama vya upinzani kuanza kwenda vijijini kuelezea umma faida za kupiga kura, na kuwa kura ni siri,hivyo hata ukipewa kanga, bado piga kura kwa mtu unayefikiri atakusaidia.

chadema wameanza na op sangara, keep it up. Matunda hamtayaona kwenye chaguzi ndogo bali 2010.

Its true. The majority of the voters wapo vijijini na ndiyo huko ambapo ni janja ya mafisadi. Watu wanabidi waelimishwe & the right people to do that are the oposition parties themselves. Tatizo vijijini wana sahaulika sana. If the war is to be won we need as many troops as possible & the majority of them wapo sehemu tukizo zisahau kuleeeeeee kwa babu na bibi.
 
Na Exuper Kachenje (mwananchi)

UCHAGUZI Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais unaotarajiwa kufanyika mwakani, utagharimu Sh60 bilioni, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema.

Mwenyekiti Jaji Lewis Makame aliliambia gazeti hili hivi katika mahojiano maalumu kuwa, fedha hizo ni ongezeko la Sh7bilioni kutoka Sh53 bilioni zilizotumika katika uchaguzi mkuu mwaka 2005.

Alisema katika uchaguzi mkuu ujao, serikali itapunguza utegemezi wa bajeti yake hadi asilimia 20 tofauti na mwaka 2005 ilipotegemea misaada ya wafadhili katika uchaguzi huo kwa asilimia 65.

Jaji Luis Makame alisema tofauti na mwaka 2005, NEC imedhamiria kupunguza utegemezi katika bajeti ya uchaguzi mkuu ujao mwaka 2010.

"Kiasi kikubwa cha bajeti katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2005 kilitokana na msaada ya wahisani, ulizidi asilimia 65, lakini sasa NEC na serikali inajitahidi kuweka mikakati kuhusu msaada wa wahisani uwe chini ya asilimia 20," alisema Jaji Makame.

Alifafanua kuwa katika uchaguzi huo inakadiriwa kutumika zaidi ya Sh.60 bilioni ikiwa ni ongezeko la zaidi ya Sh.7 bilioni kwa kulinganisha na Sh.52 bilioni zilizotumika katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2005 kabla ya marudio.

Alibainisha kuwa ongezeko hilo linatokana na mabadiliko ya mfumo wa utendaji kazi wa tume hiyo, hali halisi ya kupanda kwa bei za vitu na matumizi ya teknolojia ya kompyuta.

Alisema kama ilivyokuwa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, uchaguzi wa mwaka 2010, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) litaongoza wahisani watakaofadhili uchaguzi mkuu.

Habari zaidi zinaonyesha kuwa nchi wahisani kumi na moja ziliisaidia NEC kupitia mpango maalumu wa UNDP ambapo pia litatoa msaada kwa NEC katika uchaguzi ujao wa mwaka 2010.

Taarifa za ndani ya UNDP zinaonyesha kuwa, shirika hilo litaisaidia NEC kupitia mradi maalumu uliouanzisha ambapo pia utaisaidia Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika uchaguzi huo.

“Uingereza na nchi nyingine wahisani zitasaidia katika uchaguzi ujao, lakini zaidi UNDP ndio wanahusika na wataeleza zaidi kwa kuwa upo mradi wa kuzisaidia NEC na ZEC katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2010,” kilieleza chanzo cha habari kutoka ubalozi wa Uingereza nchini.

Kuhusu daftari la kudumu la wapiga kura, Jaji Makame alisema kuwa Julai mwaka huu, NEC itaanza awamu ya pili na ya mwisho ya kuliboresha.

Alisema kiasi cha Sh37 bilioni zinakadiriwa kutumika katika zoezi hilo.

Maoni:
Sitaki kabisa kusikia uchaguzi wetu unafadhiliwa na wahisani! Hivi kweli wanataka kutuambia serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukohoa shilingi bilioni 60 kuendesha uchaguzi wake? I got an idea.. delay the National ID project na tumieni hizo kwenye uchaguzi.. or even a better one.. zile bilioni 60 za kununuliwa Dowans.. tutumie kwenye uchaguzi...!

Gademu.. we can't even finance our own elections!
 
kwa wakati tuliofikia kwa mwaka huu tuwaache watumie hizo pesa za uhisani! Ila watujibu na watoe maelezo kuhusu yafuatayo.

a) wahisani hao ni kinanani na wameombwa shilingi ngapi?
b) Pesa inayotolewa na tanzania ni shilingi ngapi?
c) matumizi ya hizo pesa yanafuata utaratibu upi?
d) Tunahakiki vipi pesa zilitumiwa zipasavyo?

Mahitaji yetu kuridhia maombi kwa hisani

a) Rationality ya uombaji wetu nini? Yaani tunawaeleza nini wahisani, kwamba taifa lililohuru haliwezi kujiongoza? ni maskini? tunahitaji msaada katika kujichagulia viongozi?

b) Tunahitaji matokeo ya matumizi hayo katika magazeti, ili kumonitor spendings
 
...who cares,wakitumia za nje za ndani mafisadi watashinda tuu...nalia hapa barcelona wametufanya vibaya na ref katunyima penalty...maumivu kweli kweli!
 
msiwe na wasiwasi, atafadhili rostam na JK atapita tu,

Mkuu hako kapicha kako sijui mnakaita 'avata', nimekapenda kweli hasa na hilo jina la hako ka photo.

Nadhani tungeamka asubuhi barabara zote za bongo vimetundikwa vipicha kama hivo, pangenoga kweli!

samahani wakuu, kutoka nje kidogo!
 
Mkuu, MMKJJ, 'we are poor because we are poor', hatuwezi kufanya chochote wenyewe, hatutengenezi pini, sindano, hata toothpick, vyote tunaagiza, itakuwa hela ya uchaguzi?.Nakuunga mkono hupendi, lakini kama hauna ukiwezacho, bora pokea upewacho hswa baada ya kuomba na kukubaliwa, sio siri Mzee Mwanakijiji, sisi wenyewe, hatuwezi!.One good thing kuhusu huu ufadhili wa wahisani unaoratibiwa na UNDP, watatoa fungu kujenga uwezo kwa vyombo vya habari kuripoti uchaguzi with objectivity na impartiality ili kutoa nafasi sawa na haki sawa kwa vyama vyote likiwemo angalizo kwa vyombo vya habari vya umma kutotumika kama ngazi ama mteremko kwa chama tawala. Sijajua utaratibu gani utatumika kwa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na vyama vya siasa.Hii inamaana watanzania watapata fursa nzuri zaidi kisikia sera za vyama tatizo kuna vyama havina sera, hata vikipata hizo airtime, huishia kumwaga pumba tupu, afadhali hata ya CCM japo ni ahadi za uwongo, lakini wanachakuahidi na baada ya miaka 5, hawaangalii waliahidi nini na kushindwa kutekeleza, bali wanakuja na ilani mpya, this time hawataweka tena suala la mahakama ya kadhi.
 
ndugu zangu naona tumeanza na wabunge lakini naona muhimu nu kuanza kutimua pale juu...kama rais ni yule yule hakuna maaana
naona nianze na rais wa kuondoa 2010

JAKAYA MRISHO KIKWETE
 
Back
Top Bottom