Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! msekwa he is right kikwete amefanya mambo mazuri sana sana bila yeye nchi hii pangekuwa hapakaliki hebu fikiria angeruhusu Mkapa ashitakiwe au angesema mifisadi yote iende mahakamani na isipewe hata dhamana kwa sababu wameihujumu nchi unafikiri ni nini kingeendelea???????????????????
Amefanya mazuri kwa watu matajiri wenye pesa zao na kwasababu nchi hii inamilikiwa na wenye fweza msekwa yuko right....., naamini mimi na wewe hatujaona mazuri yake kwa sababu sio makada wa CCM, sio majambazi, sio wauza madawa ya kulevya, sio mafisadi hata tukifa kikwete hata kuja kwenye msiba wetu.. yani tupotupo tuuu.
Nchi isingekarika kivipi?
Unataka uniambie hawa mapapa pamoja na Ben ndo wenye wafuasi wengi wanao waunga mkono?