The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
The way ninavyomjua huyu mkulu, nilitegemea kuwa by now angekua upinzani siku nyingi sana, nashangaa mpaka leo bado yupo CCM?

FM ES kama Shibuda ni rafiki yako or unamfahamu mwambie tu asipoteze fedha yake kugombea uongozi wa aina yoyote 2010. Uongozi ni karama na si kwa maslahi binafsi. Hana skills za uongozi. I rather say ni mlalamishi sana. After rall mihela waliosaidiwa 2005 haitakuwepo tena!!!!! Naye pia alifaidika na hela ya .......Tena kabisa asijiunge na upinzani kule atadoda na atafilisika kisiasa na kiuchumi maana kule upinzani si mchezo!!!! Ajifunze toka kwa kaka Lyatonga Mrema Augustine!!!!!!

Mshauri ajitafutie shughuli ya kuzalisha aendelee nayo awe sobber tu kwenye siasa. Abaki ssm kama mwanachama asiye mkereketwa. Philip Mangula yuko kijijini katulia tuli!!!!!!!! Usicheze na SSM!!!!! Asije akafungwa kufuli la milele!!! Huo ndo ushauri wangu!!!
 
Shibuda anaishi Upanga. Anapaki gari yake ofisi ya CCM Upanga. Nasikia,from ususally relable sources, anafika pale usiku wa manane amelewa chakari,analala ndani ya gari mpaka asubuhi. Siyo vizuri mtu kama huyu aseme kwamba anataka kugombea Urais,kwa sababu watu wa kazi nyingi za kufanya,hawataki kusikia mtu anaongea mambo tu yasiyokuwa na maana. Kwa hiyo,nadhani nimewaokoa wale waliokuwa wanataka kumfadhili huyu. Sasa sijui jambo gani litafuatia,nitapelekwa mahakani kwa kashfa. Kwanza niseme huyu Shibuda simfahamu,akipita mbele yangu sasa hivi,simfahamu.

Lete habari yenye mshiko/data na sio kusikia sikia, na pia nakushauri umjue kwanza
 
Natanguliza shukrani kwa wanajf wote mliochangia kwenye thread hii,mimi naheshimu michango yenu kwa sababu hapa tupo kubadilishana mawazo ya jinsi ya kukuza na kuendeleza mijadala bila kufarakana.

Mimi kwa upande wangu naunga mkono tangazo la shibuda la kuelezea nia yake ya kutumikia nchi katika cheo cha juu katika utumishi wa nchi yetu.Mimi nampa moyo atengeneze team nzuri kwa uwazi ili sisi wapiga kura tuweze kujua uwezo wake binafsi na watu walio nyuma yake ili kuepuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kutangaza nia yake mapema, sisi wapiga kura tunaweza kupima mapema uwezo wake na kutupa fursa ya kufanya maamuzi yaliyo sahihi si kwa kukurupuka na kurubuniwa kwa njia za ujanja.

Nimefarijika sana na wasomaji wa gazeti la majira ambalo limewanukuu wasomaji ambao wanaombea kufanywe mabadiliko ya jinsi ya kupata wagombea kupitia vyama vya siasa.Wengi wao wanataka mfumo wa kimarekani wa 'primaries' utumike katika mfumo wetu wa uchaguzi ili tuweze kupata viongozi bora.Naomba sana wenzetu mlioko huko ughaibuni mtufundishe jinsi mfumo huo unavyofanya kazi.

Nashauri sana wanajf msijiingize kuwa wasemaji wa watu,bali mjikite kwenye uchambuzi wa kutambua umahiri na sifa bora za uongozi.
 
Shibuda anaishi Upanga. Anapaki gari yake ofisi ya CCM Upanga. Nasikia,from ususally relable sources, anafika pale usiku wa manane amelewa chakari,analala ndani ya gari mpaka asubuhi. Siyo vizuri mtu kama huyu aseme kwamba anataka kugombea Urais,kwa sababu watu wa kazi nyingi za kufanya,hawataki kusikia mtu anaongea mambo tu yasiyokuwa na maana. Kwa hiyo,nadhani nimewaokoa wale waliokuwa wanataka kumfadhili huyu. Sasa sijui jambo gani litafuatia,nitapelekwa mahakani kwa kashfa. Kwanza niseme huyu Shibuda simfahamu,akipita mbele yangu sasa hivi,simfahamu.
Kwa kweli kinachotakiwa kufuatia kwako ni kupelekwa mahakani kwa kutoa taarifa za uongo na hufai kabisa
 
Huyu Mzanzibara-mtanganyika huyu ni muigizaji na wala sio msanii wa aina yake. Na anapenda magazeti na vyombo vya habari kweli kumuandika na kumripoti. Kwa hiyo tusingae kuwa na watu kama hawa. Lakini beware not a serious type to consider for such a post.

We in the media have done a lot of damage by agreeing to be fooled and led to where the nation is today. We should never, never, never risk the future of the nation because of cheap cars and cheap pocket money!
 
Kwa kweli nimeona nitoe hii habari hasa kwa hao viongozi wa chama huyu bwana kawafanyia nini jamani!!!ndugu john shibuda amesikika akilalamika jinsi anavyoishi kama mfungwa katik chama chake anachokipenda,habari zaidi ziansema shibuda alilalamika hayo baada ya kuondlewa katika kamati!!alipotaka kugombea kwenye jumuiya ya wazazi!!!
Ni kweli niko chamani nahisi kama mfungwa wa kisiasa kila nilnalotaka kufanya kukitumikia chama changu nakumbana na vizingiti toka kwenye kamati,hizi NAJUA tatizo langu ni kugombania urais,lakini si tatizo na nwatangazia kabisa wajitayarishe 2010 niko kwenye uchaguzi wa rais tena naomba niwatangazie mapema,,ebu angalieni kila ukigombea mtu unakumbana na vijikamati kamati,what is kamati??????
ni basi tu nakipenda chama changu,ila kimejaa majungu tupu,,
SRC:MWANACHI
POLE NDUGU YANGU:::SOLN UNAIJUA

Mdomo uliponza kichwa...............sasa kaa kwanza Benchi baadae labda utafikiriwa
 
Ninamfahamu Shibuda kwa kiasi fulani. Ile sehemu alipokuwa anapaki gari lake limevunjwa kupisha ujenzi wa appartments.

Shibuda atakuwa ametumwa na watu ku test water, Je akitokea mtu kumpinga JK itakuaje na kujua reaction ya wapambe. Unahitaji kujiandaa mapema kama unataka kugombea Urais.
 
napenda sana wanasiasa wanaojiamini kama huyu muheshimiwa, na inaonyesha jamaa ni msafi, maana angekuwa mchafu asingesubutu kutamka kuhusu uraisi 2010. nadhani angekuwa mchafu angeshaunganishwa na kashfa yoyote hile,hili tu hawe na kijidoa hiyo 2010.
nakuomba tu muheshimiwa usije na story za sijui obama wa tz,wewe njoo kama Shibuda anayetaka kuboresha maisha ya watanzania tutakuelewa.
 
FM ES kama Shibuda ni rafiki yako or unamfahamu mwambie tu asipoteze fedha yake kugombea uongozi wa aina yoyote 2010. Uongozi ni karama na si kwa maslahi binafsi. Hana skills za uongozi. I rather say ni mlalamishi sana. After rall mihela waliosaidiwa 2005 haitakuwepo tena!!!!! Naye pia alifaidika na hela ya .......Tena kabisa asijiunge na upinzani kule atadoda na atafilisika kisiasa na kiuchumi maana kule upinzani si mchezo!!!! Ajifunze toka kwa kaka Lyatonga Mrema Augustine!!!!!!

Mshauri ajitafutie shughuli ya kuzalisha aendelee nayo awe sobber tu kwenye siasa. Abaki ssm kama mwanachama asiye mkereketwa. Philip Mangula yuko kijijini katulia tuli!!!!!!!! Usicheze na SSM!!!!! Asije akafungwa kufuli la milele!!! Huo ndo ushauri wangu!!!

Na amwambie mwaka 2010 hakutakuwa na msaada wowote kutoka kwa mafisadi maana wameshaamu bora dhiki kuliko fedhea na mkulu amashavunja ile promise waliowekeana kwamba hakuna litakalo haribika,

Mwambie akikaa na kikwete amwambie 2010 tutakuwa wakali kama hatutaruhusu magari ya serikali ambayo yanaendeshwa na kodi zetu yafanye kampeni waanze kuwekeza mabasi ya kupeleka malukuki wakwenda kupiga kampeni, maana hatutakuwa na mchezo, mwambie vikao vyake hatutaruhusu afanyie ikulu kwa hiyo waanze kuandaa pesa ya kukodisha ukumbi as ameonekana promiseless, naaongee na EWURA wahakikishe mafuta yanapungua bei maana hawatapata mafuta ya bure ni ubabe tu.Na mwambie wanaomwambia wako nyuma yake sisi tunawaambia tutakuwa pembeni yake tu kila hatua atakayopiga na sisi tuko sambambaaaaa
 
Mhe. John Maghale Shibuda namfahamu sana kisiasa na kijamii. Nakiri simfahamu kiuchumi. Nikianzia kijamii ni Msukuma, baadhi ya Wasukuma wengi ni mabishoo katika kupenda kuonyesha uwezo wao kisiasa kiuchumi na kijamii.

Ni watu flamboyant tafadhali sana tena sana simaanishi wasukuma wote ni flamboyant lakini wengi ndio hivyo na utawatambua kwa jinsi wanavyopiga pamba. Shibuda anapiga pamba kiukweli. Hupenda kujichanganya sana na watu wa aina zote. Hivyo Shibuda ni mmoja wao. Ni mkarimu kama walivyo wasukuma na nia ni mgonjwa kwa warembo ila sio mdhaifu. Ni mlevi mbwa wa konyagi kwa kukaa counter ya bar mpaka inafungwa.

Niliyashuhudia haya Dodoma hotel kipindi cha Bunge. Nadhani itakuwa ni counter hii alipotofautiana na Mhe. Chenge sijui kwenye jambo gani.lakini uzuri wa nyagi asubuhi anaamka mapema na anachapa kazii kama kawaida.

Kisiasa jamaa anapenda uongozi infact tayari ni kiongozi. Alishindana na Iddi Simba wazazi mara kibao akashindwa mpaka alipoibuka Malegesi. Sasa ametaka kushindana na Mkono. Jamaa ni mshindani mzuri kwa sababu anakubali kushindwa.

Hata huo urais wa 2010 jamaa ntachukua form ili tuuu aonekane na yeye aligombea urais hivyo status yake inakuwa presidential. Uwezo wa kupiga siasa anao lakini uwezo wa uongozi hana. Naomba tusimshutumu kulalamika ni kawaida yake. Kwa vile anapenda publicty anatangaza kuwania 2010 ili kuthibitisha kauli ya Kubenea na Mwana Halisi yake kwamba Kikwete ni kipindi kimoja tuu.

Bahati yake mtindo wa kitoa alama katika vikao vya chini umesitishwa na mchujo wa urais unafanywa na NEC vinginevyo angepewa alamaa ya F tangu Tawini, Tarafani, Wilayani mpaka Mkoani.

Nakiri wazi JK is no the best that we have as a president but he is the one who is The President. Wapo waCCM wenye uwezo zaidi ya JK ambao wangegombea 2010 wangeweza kuinusuru nchi hapa tulipo lakini hawatathubutu kuchukua form kugombea 2010 kwa sababu wataonekana wasaliti.
Watakaochukua form 2010 ni makapi tuu na pumba ili wakati wa kupepeta mchele uonekane kwamba mwanzo ulikuwa mpunga hivyo kulithihirishia taifa na ulimwengu kwa ujumla kuwa CCM ni chama chenye demokrasia ndani ya chama.

Kwenye urais Shibuda anajua hawezi ila mlimradi tuu ataandikwa na kutangazwa kuwa alikuwa mgombea hiyo inamtosha katika CV yake.
 
shibuda hawezi uongozi..ila ana hotuba tamu zilizosheheni misemo na methali...ukipiga kura kwa kuangalia longo longo..kweli shibuda angewashinda wengi!!!

kimsingi shibuda akiwa rais haingekuwa tofauti na kikwete ..wanafanana kwa usanii...niseme ...kama kikwete ameweza kuwa rais basi hata shibuda anaweza...so tuwaache wagombee wote 2010 ..wanachama wataamua..
 
How much it will cost the country

2008-11-16 12:00:00
By The Guardian on Sunday Team

The newly proposed parliament size that will increase the number of MPs from the current 232 to 360 in 2010 will cost the taxpayers an extra stunning Sh43.94billion, should the proposal by the ruling party be approved.

The amount includes salaries and allowances for five years, interest- free car loan and gratuity for the lawmakers.

This amount can fully funds 5000 university students for four years or can build 380km of tarmac roads.

If the proposal submitted by the ruling party sail through, the taxpayers will have to pay Sh15.984billion as annual salaries and allowances to their law makers.

This amount is 55percent extra cost to what taxpayers who are reeling with war against poverty in a country where half of the 38million plus population still survive in a less than a dollar per day, pay their current 232 MPs.

With the current size of the parliament, the nation is paying a heft pay amounting to Sh10.3billion per year, apart from interest free loans granted to the legislators as well as the annually sitting allowances.

The interest free loans for the MP posh cars will cost Sh7.2billion if after 2010 election will adopt the proposed 360 lawmakers.

Not only that but also, taxpayers will have to dig deeper into their pockets to pay the gratuity amounting to Sh9billion to proposed 360MPs when their five year term expires.

This is a 55 percent extra to what the current legislators will pocket in 2010 when their term expires.

But this cost is subject to increase, depending on how the lawmakers would review their heft pays after the 2010 election as well as the country`s economic trend.

Currently, the MP receives Sh1.5million as basic salary, Sh700,000 as constituency allowance, Sh500,000 as fuel allowance, plus another Sh 500,000 as driver/ car maintenance allowance, per month.

The lawmakers also receive another Sh500,000 for personal assistants per month.

During parliamentary sessions a legislator earns Sh80,000 per day as sitting allowance.

The longest session is the budget session which takes more than 70 days from mid-June to August compared to three other sessions lasting a fortnight each in January, April and October each year.

The MPs also are entitled to receive a gratuity amounting to Sh25million after the end of their five years term.

In terms of size, the Tanzania parliament will be bigger than highly developed African countries like South Africa, according to the available online information.

South Africa with an estimated population of over 45million plus annual Gross Domestic Product valued at $170billion owns the quarter of Africa�s economy, according to the World Bank report of 2007.

In East Africa, the proposed parliament will be leading in terms of size, being followed by Uganda which has 332 MPs, while Kenya will be the third with 213 MPs.

SOURCE: Sunday Observer
 
Mambo ya kufikiria kijima wakati wa enzi za technohama...!!!!

Surely with improved infrastructure in terms of telecommunications and road and aviation you won't expect one to think of adding more constituents.
 
Inatakiwa wapunguze idadi ya wabunge badala ya kuongeza. Hivi hao wabunge kweli
wana personal assistants? Kule tunakotoka wengine, kumwona mbunge au mwakilishi wake ni kazi nzito, wanawaficha wapi hao personal assistants?
 
mambo ya kufikiria kijima wakati wa enzi za technohama...!!!!

Surely with improved infrastructure in terms of telecommunications and road and aviation you won't expect one to think of adding more constituents.

tungewaona wamaana kama wangefikiria kupunguza bunge kwani ni kubwa mno lipo karibu nusu ya usa ambayo ni nchi kubwa sana na tajiri sana . tuseme kwa pamoja hapana na ikibidi tuandamane, upinzani mko wapi kukemea hili?????????
 
Another CCM tactic to become a majority party!They are now starting to change the constitution to suit their supremacy!

One should ask the Government, what are we trying to achieve by expanding its size by adding more seats in the parliament?

Jee hii ni dalili kuwa wameshindwa kazi na wanafikiri kuongeza Wabunge kutakuwa ni suluhisho kutatua matatizo ya Tanzania kutokana na kuongezeka kwa Uwakilishi?

Give me a break!
 
1.

Sawa sawa nimekusikia mkuu, naomba kuweka sawa kama ifuatavyo:-

1. Suala la Somaiya kutoa sh. Mill 400, kwangu sijaliona kua ni tatizo kwa sababu so far Tanzania hatuna sheria ya kukataza misaada ya wananchi kwa vyama vyetu vya siasa, nijuavyo mimi ni kwamba vyama vyetu vyote kuanzia upinzani mpaka CCM hupokea misaada mbali mbali toka nje na ndani ya nchi yetu, Mrema for the record alipewa hela nyingi sana na Scandnavians, pamoja na chama kimoja cha South Africa, hakukuwa na ubaya wowote, nitakuwa na tatizo kama tungekua na sheria, lakini ya kupewa misaada inafanyika kila siku na tunajua sana ila haisemwi tu hadharani na hatusemi kwa sababu haivunjwi sheria ya jamhuri na hiyo misaada.

- Mimi sikumtetea mtoaji wa msaada, siwezi kumtetea mtu ambaye sifahamu vizuri habari zake, sidhani kama kuna asiyeelewa hilo lakini siwezi kukataa msaaada wa mwananchi bila sababu ya msingi kama sheria inaruhusu, sasa labda wewe uniambie kosa la huyu mwananchi aliyetoa msaada ni lipi kwa sababu siamini kwamba kuwa Mhindi ukatoa msaada kwa chama cha siasa ni kosa.

2.

- Kupokea msaada kwangu sio kuwa mtumwa, tatizo ni kama ni mtumwa siku zote, maana msaada wa siku moja hauwezi kukugeuza ukawa mtumwa mwananchi ambaye hujawahi kuwa mtumwa. Obama ameshinda kwa kusaidiwa sana na misaaada sasa unasema kwamba atakuwa mtumwa kwa waliompa misaaada? Unafikiri FBI itamuacha? Hapana bro hapa tatizo hakuna kabisa ila tunajaribu kulazimisha kwa sababu hatuaminiani, na tatizo ni kwamba hatuna sheria na hata kama ingekuwepo haifuatwi, sasa hilo lisiwazuie wananchi kutoa misaada kwa sekta muhimu za taifa zinazohitaji misaada. Mimi siwezi kukataa msaada kama nina shida, ila sitakubali masharti ya msaada maana ni afadhali nikachukue mkopo if that is the case, lakini mifano ya njaaa za binafsi haiwezi kuhusishwa na siasa za taifa.

- Mimi ningeelewa kwamba huyu Mhindi ni proven fisadi, au ana kesi tayari, lakini the man is clean as mwananchi, sasa what is the beef? Unless kuna something hamukisemi!

- Ndugu yangu Mkwawa has nothing to do na this, hivi unajua kuwa akifufuka leo atajiua tena kukuta wananchi weusi wameoa wazungu, licha ya hayo unayoyasema?

3.

- Hapa sijakuelewa kabisa, una maana watu wanaotoa michango mikubwa kwenye harusi za wengine basi ni haki yao kuwaomba wake wa harusi? Is that so? Hivi unajua Mengi hutoa hela nyingi sana kusaidia harusi za wananchi, sasa unasema nini exactly?

- Pinda na Hosea wanaweza kusema anything they want, sisi tutawahukumu kwa matendo yao, kwenye ufisadi Hosea hana credibility kabisa, angalau kidogo Pinda hatujamsikia, lakini na yeye ni muoga, anawaogopa mafisadi, sasa what this has to do na Somaiya kutoa msaada kwa CCM?

4.

- Hii point ingekua na nguvu sana kama Somaiya ni proven mwizi au jambazi, lakini huyu amehojiwa na wazungu hawakumshitaki lakini wamemshitaki patner wake, I mean ninaelewa kwamba kuna some hisia, sasa in absence of sheria ya kubana hii misaada as a nation tunafanya nini? Hatuwezi kushambulia chama cha siasa kwa kupokea msaada legally na pia hatuwezi kumshambulia mtoa msaada eti kwa sababu ni Mhindi!

- I mean with all due respect na mifano ya binafsi, lakini haina uhusiano wowote na national politics zetu, ni kwamba kuna ishu moja wengi hamtaki kuiona hapa ni kwamba Tanzania hatuna sheria inayokataza wananchi kutoa misaada kwa vyama vyetu vya siasa, na hakuna sheria inayokataza vyama kupokea msaada, na hii misaada inapokewa na vyama vyote nchini,

Kwa hiyo kwangu tatizo ni sheria, kwa sababu sio siri kwamba Mtandao walipewa hela na Iran za kampeni, lakini still bado hawakuvunja sheria zetu kwa kupokea misaada hiyo, katiba mbovu ndiyo inayotuletea matatizo, maana in the absence of respect kwa rule of law ndio hivi sasa tunashitukiana, na hatuaminiani sasa badala ya kugusa panapotakiwa tunalaumu kila mtu bila sababu, tatizo mkuu wangu ni kwamba hatuna sheria ya kubana misaada!

Kumtetea fisadi hata siku moja, lakini pia siwezi kumchukia mwananchi bila ya sababu, au kwa sababu ana hela nyingi za kutoa msaaada hapana, lakini pia ninakuelewa sana, ingawa sikubaliani na mawazo yako ambayo ninayaona ni model ya kuhisi na kuhukumu, bila sababu ya msingi.

Kaka nimekuelewa vizuri kwenye mahitimisho yako. Pia utakubaliana na mimi kuwa we as Tanzanian pindi mtu anapokusaidia popote pale unakuwa mtumwa kwa namna moja hata nyingine.

Ni nadra sana kuona mtu amemsadia mtu then yule aliesaidiwa akawa na confidence ya kutofautiana na mfadhili. Go back to JK and his team.
 
How much it will cost the country

2008-11-16 12:00:00
By The Guardian on Sunday Team

The newly proposed parliament size that will increase the number of MPs from the current 232 to 360 in 2010 will cost the taxpayers an extra stunning Sh43.94billion, should the proposal by the ruling party be approved.

The amount includes salaries and allowances for five years, interest- free car loan and gratuity for the lawmakers.

This amount can fully funds 5000 university students for four years or can build 380km of tarmac roads.

If the proposal submitted by the ruling party sail through, the taxpayers will have to pay Sh15.984billion as annual salaries and allowances to their law makers.

This amount is 55percent extra cost to what taxpayers who are reeling with war against poverty in a country where half of the 38million plus population still survive in a less than a dollar per day, pay their current 232 MPs.

With the current size of the parliament, the nation is paying a heft pay amounting to Sh10.3billion per year, apart from interest free loans granted to the legislators as well as the annually sitting allowances.

The interest free loans for the MPs? posh cars will cost Sh7.2billion if after 2010 election will adopt the proposed 360 lawmakers.

Not only that but also, taxpayers will have to dig deeper into their pockets to pay the gratuity amounting to Sh9billion to proposed 360MPs when their five year term expires.

This is a 55 percent extra to what the current legislators will pocket in 2010 when their term expires.

But this cost is subject to increase, depending on how the lawmakers would review their heft pays after the 2010 election as well as the country`s economic trend.

Currently, the MP receives Sh1.5million as basic salary, Sh700,000 as constituency allowance, Sh500,000 as fuel allowance, plus another Sh 500,000 as driver/ car maintenance allowance, per month.

The lawmakers also receive another Sh500,000 for personal assistants per month.

During parliamentary sessions a legislator earns Sh80,000 per day as sitting allowance.

The longest session is the budget session which takes more than 70 days from mid-June to August compared to three other sessions lasting a fortnight each in January, April and October each year.

The MPs also are entitled to receive a gratuity amounting to Sh25million after the end of their five years term.

In terms of size, the Tanzania parliament will be bigger than highly developed African countries like South Africa, according to the available online information.

South Africa with an estimated population of over 45million plus annual Gross Domestic Product valued at $170billion owns the quarter of Africa?s economy, according to the World Bank report of 2007.

In East Africa, the proposed parliament will be leading in terms of size, being followed by Uganda which has 332 MPs, while Kenya will be the third with 213 MPs.

SOURCE: Sunday Observer

Comment on this article
 
Back
Top Bottom