The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Basi inaonyesha hata wao hawana nia na maendeleo ya nchi hii, labda na wao wana njaa vile vile, kwa nini kila mmoja wao anataka kuwa Rais? labda na wenyewe wana cysts za ufisadi na mara waingiapo madarakani hizo cysts zitagrow na yatakuwa yale yale. Kazi ipo ya kumtafuta mtu hasa mwenye uchungu na Tanzania..vijana hasa, hawa wazee basi sasa kwani wote ni products za CCM.
Mnamo tarehe 5 Mei,2007,akihutubia wananchi mjini Morogoro,Mhe.Mrema alisema yatosha hatagombea tena urais,atamuunga mkono mgombea mmoja atakayesimamishwa na CHADEMA,CUF,NCCR na TLP
 
Mnamo tarehe 5 Mei,2007,akihutubia wananchi mjini Morogoro,Mhe.Mrema alisema yatosha hatagombea tena urais,atamuunga mkono mgombea mmoja atakayesimamishwa na CHADEMA,CUF,NCCR na TLP

Hongera kwa bwana Mrema. Dr Slaa nadhani akiendelea kuwa mbunge tu itapendeza kwani ni mtu wa changamoto sana, akiwa akigombea urais si rahisi kuupata kwani kwa upinzani kupata urais bado miaka kama 5 au 10 ya kujiandaa, as a consequence atakuwa ameukosa ubunge.
 
Jamani Jamani mweee mbona hii nzito sana!...
Dr. Slaa kuwa rais kwa tiketi ya chama gani?..na hizi habari za kumpa nguvu zimeanzia wapi ama ndio shamrashamra zimeanza!..

Nitakubaliana na wazo hili tu ikiwa yeye mwenyewe yupo radhi kushindana na wengine ndani ya chama chake ama Umoja wa vyama vya Upinzani. Nje ya hapo binafsi siwezi kusimama hapa na kumpigia debe Dr. Slaa ambaye simfahamu nje ya hizi habari za Ufisadi na ndio maana hadi leo hii siwezi kuchukulia for granted maswala haya ya Ufisadi kuwa ndio picha ya kiongozi bora.

Zaidi ya hapo Dr. Slaa ni mwakilishi wa Karatu na Chadema Bungeni hivyo yawezekana kabisa kuwa yote aliyoyasema yaliisha pangwa toka china la chama chake na sio mawazo yake binafsi..

Pamoja na yote hayo mkuu Geeque, inawezekana msukumizo huu ni pamoja na kuanzisha vurugu ndani ya chama cha Chadema kuwa huyu ndiye pekee anayefaa kusimama kama kiongozi uchaguzi ujao, jambo ambalo linaweza kuwarudi na kuanzisha mtafaruku.

Mapendekezo ni mazuri na labda niongezee tu kwamba nchi zetu za Kiafrika RAIS ndio kila kitu, hili wala msije jidanganya kabisa!. Hakuna cha Bunge wala mjomba wake kwani tumeyaona Zimbabwe ambako MDC wamechukua Bunge lakini hawana nguvu kabisa hadi mshindi wa kiti cha UTAWALA ajulikane... Mugabe kama asingekuwa rais asingeweza kusimamisha kitu.

Kenya ambako kina Raila wamechukua viti vyote lakini hawakuwa na nguvu kabisa hadi Mwai Kibaki alipokubali kuweka sahihi ya Muafaka na msukumo haukutoka bungeni bali kwa wananchi..Kwa hiyo hapa tunazungumzia mabadiliko, na ili Changes zitokee ktk tawala zetu kiti cha rais ndio kila kitu kwani Tunatawaliwa hakuna mpango wa Leadership hata kidogo.

Hivyo basi nguvu ya serikali za kiafrika ni UTAWALA na pingamizi mkubwa wa UTAWALA ni wananchi wenyewe hakuna cha Bunge wala Mahakama kwani hawa wote hawana kifua mbele ya mtawala.

Hivi kweli mnafikiri JK na Bunge walikuwa na nguvu gani haswa kabla hajawa rais?..Mkapa was the man!.. toka amechukua kiti pamoja na kuwa karibu na mafisadi akina bwana shemeji hakuna kiongozi hata mmoja bungeni ama nje anayeweza kuinua kidole chake.

Hivyo basi, tukitaka mageuzi ya kweli kwanza ni kumwondoa CCM kwa Popular vote za rais, electral vote haziwezi kuleta mabadiliko yoyote katika nchi inayotawaliwa na Masultan weusi.. we are not Democratic Republic hata kidogo, hizo kura tunazopiga ni utaratibu tuliopewa wakati hali halisi ya mazingira yetu ni tofauti.

Tukumbuke kitu kimoja, wakati wenzetu wazungu wanaposikia - Mvua imemnyeshea mtu, basi wao husema mambo ni mabaya - sisi waafrika na mazingira yetu Mvua ni neema, Ukinyeshewa mvua ina maanamabo ni super, kuna mavuno tofauti na mazingira ya wenzetu...
 
Mabadiliko ya katiba yatakuja pale tu tutakapokuwa na Rais ambaye yuko tayari kufanya mabadiliko hayo. Kwa sababu hawa watu wana njia zao za kuchelewesha maamuzi mbambali hata kama yametolewa na mahakama. Kwa hiyo ni muhimu sana kuhakikisha pamoja na kuing'oa CCM kwenye viti vya ubunge ni muhimu pia kuwang'oa kwenye Urais.

Nyani mimi sijamsoma/kumsikia John Mashaka kwa hiyo ndio maana inaniwia vigumu kujua uwezo wake katika utendaji na yapi ana uwezo wa kuyatekeleza akiwa kama kiongozi.

Mazee hiyo ya John Mashaka ilikuwa chombeza tu....mi mwenyewe simjui ila kuna watu wanadai eti ndio Mwanakijiji...Lol

Mimi binafsi ningependa Kitila Mkumbo agombee. Mtazamo wake wa mambo uko pragmatic na nadhani tayari anajulikana kiutendaji/ uongozi ukichukulia alikuwa raisi wa DARUSO.
 
Bwana Kitila uko tayari? Kama uko tayari tukupiganie mwanangu. Unasimama 2010 ukikosa basi hakika 2015 utapata.
 
Jamani Jamani mweee mbona hii nzito sana!...
Dr. Slaa kuwa rais kwa tiketi ya chama gani?..na hizi habari za kumpa nguvu zimeanzia wapi ama ndio shamrashamra zimeanza!..
Nitakubaliana na wazo hili tu ikiwa yeye mwenyewe yupo radhi kushindana na wengine ndani ya chama chake ama Umoja wa vyama vya Upinzani. Nje ya hapo binafsi siwezi kusimama hapa na kumpigia debe Dr. Slaa ambaye simfahamu nje ya hizi habari za Ufisadi na ndio maana hadi leo hii siwezi kuchukulia for granted maswala haya ya Ufisadi kuwa ndio picha ya kiongozi bora... tu...
Ulivyosema huna habari zake nikaingia kwenye google search kwa kuangika maneno dr Wlbroad Slaa, angalia ana blogspot lakini hajapost kitu,http://www.chadema.net/blogu/slaa/
Google search yangu nimeieneleza kwa jina la manaJF aliyenikuna kwa itikadi yake aliyoipost humu JF,nimesearch kwa jina la kahangwa,nikagundua yawezekana ndio George Kahangwa,naona naye ana blogspot kwa jina hilo hilo.samahani kama sio yeye,but I see something in this JF member by that name
 
Lo! heri nisingesearch kwenye google,maana nimekuta machafu,yana ukweli haya jamani? Huu utakuwa uzushi,ila lisemwalo...
yanapatikana hapa http://watanzaniaoslo.blogspot.com/2007_10_25_archive.html

MJUE DR.WILBROAD SLAA KAMA ANAVYOCHAMBULIWA KUPITIA UJUMBE UNAOSAMBAZWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE NA ZITTO KABWE.

Mpaka sasa Slaa hana nyumba huko Karatu na badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa kuwa ni shoga.

Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho.Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988.

Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.

Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu.

Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na mwizi wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.

Dr. SLAA anasumbuliwa na Ugonjwa mkubwa Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa ugonjwa moja hatari sana.

Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani.Ushahidi upo kama atafanya ubishi.

Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu alishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la Uimbosh .

Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.
 
Waridi, hebu sema tena, ni nani mleata habari hiyo inayomhusu Slaa?

Inaelekea kampeni ilishaanza siku nyingi basi, maanake ni mtu ambaye nia yake ni kumpinga Slaa ndiye anayeweza kuleta habari kama hiyo ya upande mmoja tu.

Sasa kama Slaa kweli angekuwa na nia ya kugombea urais 2010, inambidi naye atengeneze upande wake wa kujiuza, na kusafisha baadhi ya hayo yaliyosemwa hapo juu kama yana ukweli, hata chembe ndogo. Sidhani kuwa waTanzania wanahitaji kiongozi ambaye ni malaika. Lakini, kiongozi yeyote mwenye msimamo tofauti na huu wa Kikwete atafaa tuu.
 
Hata mimi nakubaliana nawe katika hili ... Hawa wengine mpaka tuwajue kwa majina yao halisi ili tufanye upembuzi wa kina katika hili

Katika hiyo orodha wapo wawili ambao wamejitaja kwa majina yao halisi- Mkandara na Mnyika. Na wote hawa ni wa CHADEMA. Kwa maoni yangu hawafai kabisa kuwa sembuse makatibu kata.

Sasa kwa Urais, CHADEMA kazi kwenu. Sasa mnakwenda kuvunjika. Sheria inasema wagombea wawe na miaka 40 au zaidi. Mpaka sasa wafuatao wanaelekea kutaka kiti hicho 2010:
-Freeman Mbowe(huyu anataka pia Ubunge wa Hai)
-Dr Slaa(Huyu anataka pia Ubunge Karatu)
-Prof Baregu(Huyu anataka pia Ubunge kwa Karamagi)
-Kitila Mkumbo(huyu anataka pia Ubunge wa Singida)
-Dr Kapwani(Huyu anataka pia Ubunge Ismani Iringa)
-Tundu Lissu(Huyu anataka pia Ubunge wa Singida)
-Chacha Wangwe(huyu anataka pia Ubunge wa Tarime na ndiye atayewamaliza.

Zitto na Mnyika nao lazima wangejitutumua lakini hawatakuwa na miaka 40. Hawa waendelee kunyonya tu mpaka 2020. Na kwa kweli hawa hata bungeni hawaingii 2010; Zitto atakimbia Kigoma Kaskazini na Mnyika ndio huyu tena.....

Na Rostam Aziz lazima atatumia fursa hiyo kuwakoroga kwa kuwapenyezea makanyaboya, tutaona mengi.
 
Lo! heri nisingesearch kwenye google,maana nimekuta machafu,yana ukweli haya jamani? Huu utakuwa uzushi,ila lisemwalo...
yanapatikana hapa http://watanzaniaoslo.blogspot.com/2007_10_25_archive.html

MJUE DR.WILBROAD SLAA KAMA ANAVYOCHAMBULIWA KUPITIA UJUMBE UNAOSAMBAZWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE NA ZITTO KABWE.

Mpaka sasa Slaa hana nyumba huko Karatu na badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa kuwa ni shoga.

Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho.Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988.

Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.

Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu.

Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na mwizi wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.

Dr. SLAA anasumbuliwa na Ugonjwa mkubwa Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa ugonjwa moja hatari sana.

Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani.Ushahidi upo kama atafanya ubishi.

Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu alishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la Uimbosh .

Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.

Mmerudi tena wana hiyana! Haya mliyasema sana baada ya Dr Slaa kutoa list of shame. Mkajaribu kumpaka matope naye awe kwenye shame badala yake mkampeleka kwenye fame! Sehemu ya madai haya, hata Mkono aliyasema kwenye mkutano na waandishi kwa kumuita Slaa padri muasi. Lakini kibao kikamgeuka fisadi huyu na wenzake wakina Lowassa, Rostam, Karamagi, Mramba nk.

Lakini haya yote yalishajadiliwa humu na yakapatikana majibu official toka kwa Zitto na Mnyika kwa kila tuhuma iliyotolewa hapo. WanaJF wakahitimisha kuwa ni uzushi na udaku na hatimaye ikapelekwa kunakostahili. Hebu ifuate huko utapata majibu.

Dr Slaa and Tundu Lissu are my men! Wakigombea, I will vote for them....

Asha
 
LoL,

Mnyika hapana mama! Huyu atinge tena kwenye kinyang'anyiro cha Ubungo na sasa tunamhakikishia ushindi kwa udi na uvumba...! Anahitajika Bungeni huyu

Hatuwezi kuwa na Mbunge mwenye AJENDA za kitoto kama hivi:

http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_1.html

Halafu baada ya kushindwa kutokana na ajenda hizo za kitoto akaendelea kuwatapeli wananchi wa ubungo kama hapa:
http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_4.html

Huyu hafai ubunge, aachwe akue kwanza. Labda ashauiriwe 2009 agombee uenyekiti wa serikali ya mtaa.

PM
 
Zitto na Mnyika nao lazima wangejitutumua lakini hawatakuwa na miaka 40. Hawa waendelee kunyonya tu mpaka 2020. Na kwa kweli hawa hata bungeni hawaingii 2010; Zitto atakimbia Kigoma Kaskazini na Mnyika ndio huyu tena.....

AHAAAAA AM DISAPPOINTED NAONA ZITTO HAS A LOT OF POTENTIAL YA KUWA RAIS, ANA PRESENCE KAMA YA OBAMA, KAMA UMRI HAURUHUSU BASI TENA ASUBIRI ANOTHER TEN YEARS.
 
Naamini tuna safari ndefu ya kwenda. Lakini target iwe bungeni na ruzuku na ili kufika pale tunahitaji kwenda kwenye grassroot. yaani vijijini. nilimsikia Mbowe akisema wataanzisaha mambo ya mashina, nikaona ndio mwanzo mzuri.

Mtoa hoja naomba tuchangie tutafute watu kwa karama zao waende vijijini wakaeleze kwa kikabila na kwa kutumia mifano hapa nchi ilipo ni nani kaifikisha, kwa kivipi nani wa kulaumiwa.

Nakumbuka kwenye kampeni moja Prof alivyoelezea suala la uchumi mpaka nikaelewa. Tuchangie watu waende vijijini.
 
Quote: Nyani Ngabu
Mimi binafsi ningependa Kitila Mkumbo agombee. Mtazamo wake wa mambo uko pragmatic na nadhani tayari anajulikana kiutendaji/ uongozi ukichukulia alikuwa raisi wa DARUSO.
Bwana Kitila uko tayari? Kama uko tayari tukupiganie mwanangu. Unasimama 2010 ukikosa basi hakika 2015 utapata.

Wakuu, kuna tofauti sana kati ya kusema / kuandika na kutenda. Naheshimu na kuikubali michango mingi ya Kitila lakini tukija kwenye utendaji ni jambo jingine kabisa.

Wengine tulijionea tofauti kubwa kati ya kampeni zake na uongozi wake pale DARUSO.
Anyway, watu hubadilika isipokuwa kwangu uongozi wake DARUSO hauwezi kuwa kigezo cha kufaa kuwa Rais achilia mbali ukubwa wa nafasi yenyewe ukilinganisha na udhoefu wa DARUSO.
 
Hivi Tanzania kuna upinzani, kwa maana halisi ya upinzani, au ni wale wale, tuseme, niwaite CCM B?

Nauliza tu!
 
Hivi Tanzania kuna upinzani, kwa maana halisi ya upinzani, au ni wale wale, tuseme, niwaite CCM B?

Nauliza tu!

Mimi siwezi kuwaita kuwa ni CCM B, but with due respect naona kile kiapo cha chipukizi wa CCM bado kipo kwenye damu yao. Nadhani upinzani halisi utatoka kwenye kizazi cha kuanzia 80's.

Tukumbuke mapinduzi huwa yanataka maandalizi hivyo wakati huu wa transition kizazi cha 70's ni muhimu. Lakini kizazi cha kabla ya hapo hawana jipya.
 
Hatuwezi kuwa na Mbunge mwenye AJENDA za kitoto kama hivi:

http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_1.html

Halafu baada ya kushindwa kutokana na ajenda hizo za kitoto akaendelea kuwatapeli wananchi wa ubungo kama hapa:
http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_4.html

Huyu hafai ubunge, aachwe akue kwanza. Labda ashauiriwe 2009 agombee uenyekiti wa serikali ya mtaa.

PM

Nimepitia hizo hotuba sijaona huo utoto unaousema badala yake nimeona hoja.

PM na Nyani, mnaweza kutueleza kwanini Mnyika hafai kuwa Mbunge wa Ubungo? Kwanini mmesema pia Zitto anakimbia? Ina maana PM unataka kusema na Zitto naye hafai? Sasa nani anafaa kwa maoni yako?

Asha
 
...Kwa mtu aliyewahi kuumwa na nyoka, hata akiguswa na jani hudhani ni nyoka:

Dr. Slaa alipoitoa ile orodha ya Mafisadi bora 11(First eleven)taarifa zake hakuna aliyeifuatilia: leo hii mchezaji mmoja katika wale 11 (Mh. Chenge) jina lake limesomwa na Wazungu, watu ndiyo tumeona...nikirejea sasa kwenye point yangu..kwa vile tulishatawaliwa na wazungu basi hata maneno yao hutuingia kwa haraka: kuliko yale yanayotolewa na wakina Dr. Slaa

Nadhani tuendelee kusubiri wazungu waje watuendeshee Serikali yetu, wawe Mawaziri na Wabunge..hapo tutafikia tunakotaka kuwa..
 
Huoni mapambano tayari tumeshaanza majani ya kijani yanapukutika?Kwa nini ukumbuke na kuwaza habari ya Wazungu?

Tusitegemee miujiza ya papo kwa papo,ni taratibu mwishowe tutafika.Chururu si ndondondo na bandu bandu humaliza gogo.
 
Mafisadi wetu 11 naomba wana JF tuwe tunaangalia anguko lao kila kukicha, kumbukeni kuwa alikuwepo LOWASSA, Mkono-keshaondolewa kwenye kesi ya BOT,cHENGE-MKUUU WAO AMA WAKATI WAKE ALIKUWA ANAJULUIKANA KAMA MZEE WA DOLA LAKI MBILI-200,000 USD , Karamagi bado TICS huenda ikamtoa ulingoni kabisa, Rostam -huyu bado anatapatapa, Ballali-huyu anasiri nzito moyoni mwake, Mramba maji ya shingo na mapambano yanaendelea ndani ya mwezi huu mtasikia makubwa na magumu juu yake.

Mapambano haya ni hadi kiama hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.

Kuhusu 2010 tuendelee kutafakari kwa kina na kuangalia the best son of land ndio atumwe.
 
Back
Top Bottom