The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

.
MMKJJ, hii TV ya Prof. Mkandala hakuna 'live' yoyote, kila kitu ni recorded and for CCM. Kama ilivyo Redet na opinion polls zake.

Nilimuhurumia sana Dambaya ambaye ndiye aliyekuwa akimhoji Mrema. You could see how embarrased he was kutokana na maneno ya Mrema ambayo bila shaka hakutegemea kabisa kusikia yakitoka kwenye kinywa cha aliyetegemewa kuwa 'kiongozi shupavu na jasiri'. Mrema kesha jamani!
 
mi nafikiri aliposema hivyo alimean kwamba lowasa alipojiuzuri alibadilisha mawaziri ndani ya baraza kwenye hali nyingine angeweza kuchakua tuu waziri mkuu mpya na waziri wa kumplace karamanji lakini hakufanya hivyo....

Hakuna cha hali nyingine. Katiba inasema waziri mkuu akijiuzulu basi baraza la mawaziri lina vunjwa full stop. Hakuna alternative la hilo. Kinyume cha hicho ingekua kwenda kinyume cha katiba.
 
Katiba hairuhusu hivyo. Inapofika mahali Waziri Mkuu anajiuzuru ni kwamba baraza lote la Mawaziri linajiuzuru na Rais inabidi aunde Baraza jipya. ndicho kilichotokea kulikuwa hakuna alternative ya kuchagua Waziri Mkuu mpya na mawaziri kureplace wale waliowajibika. Hapo hakuchukua uamuzi wowote mgumu ama bora alikuwa anatekeleza wajibu na hilo lilijulikana.

just out of curiosity, je katiba inasema waziri mkuu akijiuzuru na baraza kuvunjwa hairuhusiwi watu waliokuwepo kwenye baraza lililovyunjwa kuwa kwenye baraza jipya la mawaziri?
 
Tusiwe kama "stupid thinkers" na kuchagua vijimaneno vya kumponda Mrema.Hatua JK alichokuwa na baadhi ya vigogo kufikishwa mahakamani ni hatua ambazo hata hapa JF tulizifagilia ila cautiously,kwamba isije kuwa ni usanii.Kuna ambae ameshajua if haya yote yalikuwa usanii at its best?Yeye muungwana kama rais angeweza kuzima issue yote na baraza la kifisadi lingekuwa intact.Kama ni kweli hizi hatua za mwanzo za kupingana na ufisadi ni za kweli na si usanii,then ni kweli kafanya something,je hiyo ina constitute yeye kuendelea kuwa rais?Jibu ni kama kweli si usanii basi wananchi watapima.
Na kama kweli si usanii,nyie mnaosema JK hajaonewa mnataka kusema mafisadi ndio wameonewa?
 
Naombeni namba ya hawa TV ya mlimani sijui kama huwa wanapokea simu "live" maana naona wanaanza kuwa wabebaji ya sumu kali ya ulaghai wa kifikra..

.
MMKJJ, hii TV ya Prof. Mkandala hakuna 'live' yoyote, kila kitu ni recorded and for CCM. Kama ilivyo Redet na opinion polls zake.

Mna hakika na hicho mnachosema? Kama shida yako ni kujua kama kipindi ni LIVE au siyo LIVE uliza kistaarabu kwa lengo la kutaka kujua kabla ya kukimbilia Conclusion yako kichwani.

Kipindi hicho ni LIVE na namba huwa zinatolewa na ni 2700239 siku za alhamisi saa mbili unusu usiku.

Je Mrema hana haki ya kualikwa?
 
Ukisoma vizuri between the line ya hii habari utakuta kuna message nzuri sana mrema ametoa kwa wajiitio wapiganaji ndani ya CCM... mimi nadhani kunawatu wanasoma kichwa cha habari tu na wanacomment their facts based on that..... someni vizuri maneno aliyoyatoa especial last bit aliyosema yeye "Wakati nilipokuwa serikalini mara tu nilipogundua kuwa sipewi ushirikiano wa kutosha na wenzangu katika kupamba na vitendo viovu, nilijiengua na kujiunga na upizani", alisema Mrema. Alisema kwamba anachokifanya Rais Kikwete kwa sasa ndicho alichokuwa akikifanya yeye wakati alipokuwa serikalini. "Binafsi ninafarijika na jinsi utawala wa Rais Kikwete unavyopamba na vitendo vya ufisadi kwa kuwa sasa ni ajenda ya serikali na ya wananchi na haya ni muendelezo wa mapambano niliyokuwa nimeyaanzisha nilipokuwa serikalini," alisema.
 
Njaa mbaya sana!! au ni ugonjwa maana rumors has that he is diabetic! amwendee makamba atamsaidia maana makamba ni kokoro linabeba na kusifia taka zote!
 
Kama Mlimani TV na Mrema wote wamepikwa na CCM, na Mkandala anayo Control na influence juu ya Mlimani TV, ni wazi ni midomo ya JK!!. Hapo hakuna ubishi anayebishia ni mbishi tu!

Kwenye kipindi hiki alishahojiwa, Maalim Seif wa CUF, Dr. Slaa wa Chadema. Kama Mlimani TV ni mdomo wa JK kama unavyotaka watu waamini na hawa wako kwenye list ya midomo ya JK?
Na je ni kazi ya TV kuwalisha maneno watu wanaokuja kwenye vipindi?
 
Tusiwe kama "stupid thinkers" na kuchagua vijimaneno vya kumponda Mrema.Hatua JK alichokuwa na baadhi ya vigogo kufikishwa mahakamani ni hatua ambazo hata hapa JF tulizifagilia ila cautiously,kwamba isije kuwa ni usanii.Kuna ambae ameshajua if haya yote yalikuwa usanii at its best?Yeye muungwana kama rais angeweza kuzima issue yote na baraza la kifisadi lingekuwa intact.Kama ni kweli hizi hatua za mwanzo za kupingana na ufisadi ni za kweli na si usanii,then ni kweli kafanya something,je hiyo ina constitute yeye kuendelea kuwa rais?Jibu ni kama kweli si usanii basi wananchi watapima.
Na kama kweli si usanii,nyie mnaosema JK hajaonewa mnataka kusema mafisadi ndio wameonewa?

Jmushi1:

Ingawa tulipingana kuhusu suala la Mrema lakini aliyosema sasa yupo sahihi. Kwa sababu anawauliza makada: Kama JK afanyi vizuri kwanini basi wasijiondoe na kuanzisha chama kingine au kujiunga na upinzani?

Nyerere alisema CCM sio Mama yake na anaweza kwenda chama kingine. Kwanini hawa wanapiga kelele tu?
 
Mlitaka Mrema (SHUSHUSHU) aseme nini zaidi ya aliyoyasema??
muoneeni huruma kwa kuwatumikia mabwana wawili (upinzania na chama tawala)

You are damn right.
Nilimuondolea credibility Mrema siku nyingi sana, hasa alipoanza kuwandanamiza kuwafukuza uanachama wenzake ambao wana mtazamo unaokinzana na wa kwake, tangu akiwa NCCR Mageuzi. Kumbuka alivyowafanya akina Leo Lwekamwa, Tomas Ngawaiya, Benedicto Mutungirehi na wenzake.
Nakubaliana na wanaodai kuwa Mrema kawekwa mahsusi kwa ajili ya kuua upinzani.
Very hopeless leader!
 
Naam ni maoni yake na kila mwananchi anayo haki ya kutoa maoni iwe ni ya kuunga mkono au kukosoa.

- Mkuu tujifunze kutofautisha viongozi na wanachi, Mrema ni kiongozi maoni yake yana uzito tofauti na sisi wananchi wa kawaida!

Respect.

FMEs!
 
Jmushi1:

Ingawa tulipingana kuhusu suala la Mrema lakini aliyosema sasa yupo sahihi. Kwa sababu anawauliza makada: Kama JK afanyi vizuri kwanini basi wasijiondoe na kuanzisha chama kingine au kujiunga na upinzani?

Nyerere alisema CCM sio Mama yake na anaweza kwenda chama kingine. Kwanini hawa wanapiga kelele tu?

Ni kweli,Mrema is smart on this one kwasababu hataki kuwapa hao CCM amani wanayoitaka kwa kuwafanya wananchi ni wajinga,ni changamoto kwa wanaojiita "wapiganaji" Hawatakiwi kuwa "vugu vugu" All in all its a smart move from Mrema....Kwasababu anajuwa kuwa kama kweli wapiganaji wana nia nzuri na wananchi,basi wajitoe....Jambo ambalo wanaweza kulifanya kama kweli wao si wasanii na wabinafsi,kwasababu kama Mrema angekuwa CCM kama wengi wanavyodai hapa na kwamba anaitakia mema zaidi ya upinzani,je ni kivipi awatake wana ccm hao waondoke ccm na kwenda upinzani?
 
Tusiwe kama "stupid thinkers" na kuchagua vijimaneno vya kumponda Mrema.Hatua JK alichokuwa na baadhi ya vigogo kufikishwa mahakamani ni hatua ambazo hata hapa JF tulizifagilia ila cautiously,kwamba isije kuwa ni usanii.Kuna ambae ameshajua if haya yote yalikuwa usanii at its best?Yeye muungwana kama rais angeweza kuzima issue yote na baraza la kifisadi lingekuwa intact.Kama ni kweli hizi hatua za mwanzo za kupingana na ufisadi ni za kweli na si usanii,then ni kweli kafanya something,je hiyo ina constitute yeye kuendelea kuwa rais?Jibu ni kama kweli si usanii basi wananchi watapima.
Na kama kweli si usanii,nyie mnaosema JK hajaonewa mnataka kusema mafisadi ndio wameonewa?

Heshima kwako JMushi,

Kuna baadhi ya wanajamvi wananishangaza sana kwa jinsi wanavyopenda kukimbilia hoja dhaifu.A L Mrema ana haki ya kutoa maoni yake kama ambavyo wananchi au viongozi wengine wanavyofanya.Kwani kuna tatizo gani Bwana Mrema kusema Kikwete anaonewa ?.Kusema hivyo tu tayari yeye ni CCM.

Watu wanafikiri upinzani ni kupinga kila jambo, kama J K kafanya mambo mazuri kuna ubaya gani watu kumpatia sifa.Binafsi kuna baadhi ya mambo Muungwana kajitahidi ingawa mara nyingi nampinga sana lakini kwenye ukweli tuseme tuache siasa za chuki.Kuna kundi la viongozi ndani ya CCM ambao wamejitokeza kupiga kelele kwa maslahi yao hasa kipindi hiki cha uchaguzi,kama kweli wanauchungu na Tanzania ni kwanini bado wapo CCM.

Kitendo cha kukubali kujiuzulu waziri mkuu na baadhi ya mawaziri waliohusika kwenye kashfa ya Richmond na kuvunja baraza la mawaziri si kidogo.Enzi za Mzee wa utandawazi angeweza kulizima bunge na angeendelea na serekali yake.Tusiwe wasahaulifu Muungwana ana madhaifu yake kibao tena mara nyingi nimemkosoa sana bila kutafuana tafuna maneno.

Tusimshambulie Bwana Mrema kwasababu binafsi bali tukichambue hoja alizosema.
 
Tusiwe kama "stupid thinkers" na kuchagua vijimaneno vya kumponda Mrema.Hatua JK alichokuwa na baadhi ya vigogo kufikishwa mahakamani ni hatua ambazo hata hapa JF tulizifagilia ila cautiously,kwamba isije kuwa ni usanii.Kuna ambae ameshajua if haya yote yalikuwa usanii at its best?Yeye muungwana kama rais angeweza kuzima issue yote na baraza la kifisadi lingekuwa intact.Kama ni kweli hizi hatua za mwanzo za kupingana na ufisadi ni za kweli na si usanii,then ni kweli kafanya something,je hiyo ina constitute yeye kuendelea kuwa rais?Jibu ni kama kweli si usanii basi wananchi watapima.
Na kama kweli si usanii,nyie mnaosema JK hajaonewa mnataka kusema mafisadi ndio wameonewa?

Mkuu jmushi1, najua ulivyo msitari wa mbele kumtetea mzee wa Kiraracha lakini hapa sasa unavuka mpaka - Kwani unapofikia hatua ya kutuita wengine stupid thinkers kwa vile tu tunamkosoa shujaa wako, hakika hututendei haki. Yawezekana kwako Lyatonga hakosei lakini heshimu wanaompima katika mizani tofauti, kwani kwa wengine ni kama mchumia tumbo tu na huu utetezi wake kwa JK ni mfano hai. Usanii wa JK kama kuna ambaye hajauona kwa miaka hii minne, basi huyo ama ni kipofu au ana lake jambo na kwa Mrema sifa zote hizi anazo. Ni huyu huyu Agostino amewahi kuuponda utawala huu kwa nyakati tofauti, sasa ni kitu gani kipya kimepelekea amfagilie ? Katika ile list of shame, JK alikuwamo na naamini mpaka sasa bado yuko humo - je, Mrema anajaribu kumsafisha ?
 
- Mkuu tujifunze kutofautisha viongozi na wanachi, Mrema ni kiongozi maoni yake yana uzito tofauti na sisi wananchi wa kawaida!

Respect.

FMEs!

nadhani baadhi ya wadau kuna kitu wanashindwa kumuelewa mrema....

mrema is a proffessional SPY...and qualified propaganda artist...lakini pamoja na yote mara zote mrema anatofauti kubwa na wanasiasa wengi..ana nidhamu anayotakiwa kuwa nayo spy yeyote [acha hawa wa siku hizi]...kwanza kwake TAIFA ni jambo la kwanza,pili pamoja na uropokaji wa mrema huwa anachagua ya kuongea...,ndio maana hata siku moja mahakama haijaweza kumtia hatiani hata mara moja kwa uchochezi....!!

katika hilo la nidhamu ..lazima tujuwe pamoja na kukosana na utawala wa mwinyi na kujiuzulu..aliongea yote yote yaliyohusu kina chavda na wengine....lakini hata siku moja hakuwahi kumlipua bosi wake MZEE mwinyi...hata katika ile issue ya GOLD ambayo inasadikika muhusika mkuu alikuwa mama sitti.....mrema hata akiwa upinzani hadi sasa HAJAWAHI KUSEMA ZILE DHAHABU ZILIKUWA ZA NANI......

aina ya spies waliosomea russia na poland au east germany kama mrema,na kina gamma..wanaelewa namna ya kuweka ukiritimba na nidhamu za ki istitution...narejea hayo ,...kutokana na kauli ya mrema kuwa wanaompinga rais ,,wajiunge upinzani kama alivyofanya yeye....maana yake ..kwenye siasa za mrengo wa kulia Mwenyekiti ni mtu mkubwa sana ..huwezi kumpinga hadharani na bado ukabakia....kumukeni ccm enzi mwalimu..,na katika hili ndilo pia linachangia Mrema kutofanikiwa sana kwenye vyama vya upinzani ....kwani kule amekuta wanachama na viongozi wenye mfumo wa kushoto......ambao kumpinga mwenyekiti hawaoni dhambi...ndio maana mara zote amekuwa katika wimbi la KUTIMUA VIONGOZI WASIO NA NIDHAMU KWENYE CHAMA CHAKE!!!

Nadhani sqsa tuamini kuwa ccm imekuwa mseto hatuwezi tena kukiita na chama cha kulia au kushoto ...wala hatuwezi kusema hakifungamani na upande wowote .....ni vurugu mechi....

kwa kumalizia nadhani pamoja na kuwa rais kikwete anapigwa vita ...of recent ameonekana kujitahidi kujitutumua..lakini ataendelea kukwamishwa na ukosefu wa nidhamu chamani...na kikubwa hapa ni kuwa wale wagombea wenzake wanaoamini aliwatenda UHUNI mwaka 2010 ...wameamua ku HITBACK!!!!

Ningekuwa mimi ni mshauri wa kikwete ningemshauri aitishe kikao cha siri cha maridhiano na wale aliowakwaza mwaka 2005[tukubali tukatae ,kampeni za kikwete zilijaa rafu].....ni ustaarabu kukaa na kutakana radhi..najua alipata fursa ya kuwaomba wachache radhi...lakini kuna ambao ameapa kutowasiliana nao..na sasa wanaungana na hata wale aliowaona mmoja mmoja .....kwa ajili ya mwakani..ni vema kukutana!!!!

anaweza kuamua kupuuza hili na atagombea na kushinda mwakani ...lakini litawaathiri watu walio upande wake ambao bado they have a future to leave in Tanzania politics ...... itasababisha fujo kubwa mwala 2015.....ndani ya ccm kutawaka na watu watapiga kura ya chuki kwa mtandao....na atakayeshinda ATAMPA WAKATI MGUMU SANA KIKWETE KWENYE MAISHA YAKE YA USTAAFU...kwani kutakuwa na watu behind the scene wanaandaa ushahidi wa yote yanayotokea sasa ......ili wao au wafuasi wao walipize....kumbukeni hata germany bado HITLER Anao wafuasi wanaoamini kuwa watatawala tena....msifikiri wanaoumia sasa hawaongei na watoto na wafuasi wao ..ili hata wawe wazima au wafu hasira zao ziendelee!!!
 
Heshima kwako Phillemon Mikael.

Nimesoma bandiko lako mara mbili walau nimepata darasa la kutosha.
Uchambuzi wako uko juu ya viwango tulivyozoea kuviona hapa jamvini, katika siku za karibuni kuna baadhi ya wanajamvi wanataka kulazimisha mawazo yao tuyakubali hata kama hayana mashiko kabisa.

Ukisoma vizuri between the line ya hii habari utakuta kuna message nzuri sana mrema ametoa kwa wajiitio wapiganaji ndani ya CCM... mimi nadhani kunawatu wanasoma kichwa cha habari tu na wanacomment their facts based on that..... someni vizuri maneno aliyoyatoa especial last bit aliyosema yeye "Wakati nilipokuwa serikalini mara tu nilipogundua kuwa sipewi ushirikiano wa kutosha na wenzangu katika kupamba na vitendo viovu, nilijiengua na kujiunga na upizani", alisema Mrema. Alisema kwamba anachokifanya Rais Kikwete kwa sasa ndicho alichokuwa akikifanya yeye wakati alipokuwa serikalini. "Binafsi ninafarijika na jinsi utawala wa Rais Kikwete unavyopamba na vitendo vya ufisadi kwa kuwa sasa ni ajenda ya serikali na ya wananchi na haya ni muendelezo wa mapambano niliyokuwa nimeyaanzisha nilipokuwa serikalini," alisema.

Heshima kwako Future - Tanzania,

Maneno mazito sana mkuu umejaribu kueleza kile ambacho wanaomponda Bwana Mrema wameshindwa kukijua.
 
Naombeni namba ya hawa TV ya mlimani sijui kama huwa wanapokea simu "live" maana naona wanaanza kuwa wabebaji ya sumu kali ya ulaghai wa kifikra..

MMJJ,
Don't be cocky, what will you do with the phone ##?

You are always being very unfair when you hear or read something that doesn't fall within your likings. But how does this interview make the Mlimani TV station a megaphone of villains?

If Mrema has shallow perception of issues, that is his problems, but don't blame the messenger for the distasteful message.

You should know by now that not every media will behave as your megaphone like Tanzania Daima.
 
Mkuu jmushi1, najua ulivyo msitari wa mbele kumtetea mzee wa Kiraracha lakini hapa sasa unavuka mpaka - Kwani unapofikia hatua ya kutuita wengine stupid thinkers kwa vile tu tunamkosoa shujaa wako, hakika hututendei haki. Yawezekana kwako Lyatonga hakosei lakini heshimu wanaompima katika mizani tofauti, kwani kwa wengine ni kama mchumia tumbo tu na huu utetezi wake kwa JK ni mfano hai. Usanii wa JK kama kuna ambaye hajauona kwa miaka hii minne, basi huyo ama ni kipofu au ana lake jambo na kwa Mrema sifa zote hizi anazo. Ni huyu huyu Agostino amewahi kuuponda utawala huu kwa nyakati tofauti, sasa ni kitu gani kipya kimepelekea amfagilie ? Katika ile list of shame, JK alikuwamo na naamini mpaka sasa bado yuko humo - je, Mrema anajaribu kumsafisha ?

Mag3;Naaminia uchambuzi wako,lakini hapa naona umetumia jazba kidogo,sijamwita member yeyote humu stupid thinker,na niliposema "tusiwe" sikujisingle out,you can think and reason better than that.

Pia nimezipima kauli za Mrema rather than just "kumpima kwenye mizani" ni two different issues hapo,kuwa makini....Ku conclude kwamba nimesema ama ninadhani kuwa Lyatonga hakosei ni assumptions zako ambazo ni baseless.

Na issue hapa si kuhusu huo unaouita usanii wa JK, kabla hatujaconclude kuhusu hatua ambazo keshachukua(pitia posting yangu iliyopita nilipogusia kuhusu msimamo wa wengi hapa JF kuhusu hatua alizozichukua,wengi tukisema ni hatua nzuri kama hakuna usanii)Ni tofauti na issue basic ya mjadala huu ambapo ni kuwa "JK"Hajafanya kitu" hence uoenevu....Kama tuki conclude kwamba ni full usanii,then we will be in a different page...Again ni issue mbili tofauti na hivyo kuwa makini.

Kuhusu list of shame hilo linaeleweka,lakini tumeshajua kuwa CCM ndiyo walichota pesa hizo hili warudi madarakani,hivyo basi kumkataa JK na kutegemea mwingine kutoka CCM kuwa ataendeleza sera za tofauti ni uonevu....Na hayo ni mawazo ya wengine ambayo pia uyarespect.

Mrema amesema "wale wanaosema "hajafanya kitu" na wewe umeiweka issue kwenye perception kwamba anafagilia mbaya...Nayarespect maamuzi yako lakini nikisisitiza kwamba sidhani kama ni uchambuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom