Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!
Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.
All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).
On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.
Mkuu huyu yuko bongo tu hakuna cha lecture wala tution
Angekuwa na vijisenti vya halali kusingekuwa na sababu yoyote ya yeye kukaa kimya muda wote huu bila kutetea upatikanaji halali wa hivyo vijisenti. Huyu ni fisadi na kapata vijisenti hivyo kwa njia za haramu ndio maana akaamua kwenda kuvificha nje ya nchi. Na hao makachero wa SFO wameshasema kwamba kulikuwa na suspicious activities katika bank account hiyo ama ya kuweka ama kutoa pesa au vyote viwili. Hana la kujibu huyu ni fisadi tu!
Chenge hakusoma Harvard law school kama inavyodaiwa. Alisoma mjini Washington DC na Harvard iko Massachussets. Malipo ya $200K kwa kila mikataba mibovu na uuzaji wa madawa ya kulevya ndivyo vilivyompatia utajiri huo haramu.
Ndio maana akaita 'vijisenti', nina uhakika kama akili yake inachemka, usije shangaa atakavyo-justify hiyo pesa.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!
Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.
All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).
On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.
Nzoka... unapoangalia benki statement unaweza kuona cash flow.. jinsi hela inavyoingia na kutoka. Sasa kwa miaka 30 ukiangalia akaunti moja basi unaweza kuona kwa urahisi jinsi gani mtu ameweza kuaccumulate fedha over time.
Tatizo la linakuja hapa; unapofungua akaunti 2001 na ndani ya miezi michache unaweza kuingiza dola karibu milioni moja.. inabidi ueleze zimetoka wapi? Aidha tuamini kuwa alikuwa anazifukia ardhini nyumbani kwa muda wote huo na akaamua kuzipeleka benki ya Jersey au zilitoka mahali fulani. Sasa uzuri wa kiasi kikubwa cha fedha it always leave tracks...
there's something called the money market peopla or the stock market...it can do wonders!!! even with a few hundred dollars
Wakuu,
Mtu akiwa na pesa halali hahitaji kwenda kuzificha kwenye kisiwa kinachosifika kwa uwekaji wa pesa haramu kama kule Jersey, UK. Ingekuwa pesa yake halali angeiweka London au miji mingine ya wastaarabu.