let the government perform its duty!. people are critcising, criticizing and criticizing , the inertia of blind criticism is consuming the ability of people to turn and look on the otherside of the coin.
The strange thing is, people are even criticizing good moves by the government.
The minister has said Chenge is under investigation!. but our good criticizers dont see this as a positive move, they want to criticize!.just finding the loophole for critcism why?
I don't know if anyone can logically and frankly answer your 'why' above, but let me throw in this for a thought.
Sidhani kama kuna anayekataa na ku-criticize blindly, ninadhani na kuamini ni kutokana na historia ya 'past investigations' inayofanya watu wakiguswa na unyasi wanashituka.
Remember PCCB investigations of:
1. Sumaye ( hakuna ukweli kuhusu tuhuma hizo baada ya kupewa faili na Mtikila). Wala hawakuhangaika hata kusema tuhuma zipi na uchunguzi walifanya lini!
2. IPTL. Hakuna dalili zo zote za rushwa katika mkataba huo.
3. Buzwagi. Si kweli kuwa mkataba ulisainiwa hotelini (which turned out to be a lie) na kuwa mkataba huo hauna harufu ya rushwa (the jury is still out).
4. Richmond/Dowans. Hakuna dalili za rushwa na ni mkataba safi (wakati hata kampuni hai-exist, go figure).
5. Shekilango Road. Uchunguzi bado unaendelea mwaka wa tatu huu.
6. Kiwira. They didn't even know there is a place called Kiwira ambapo Mkapa na Yona wameweka mayai.
7. EPA - BOT. Wao hawahusiki, hilo suala liko Ikulu. (Meaning, no investigation).
8. Manji, Quality Group na NSSF. Hakuna rushwa ni ushindani wa ki-biashara. Uchunguzi ulifanyika lini? Utajaza.
9. Tangold/Meremeta/Mererani/Deep Green, n.k. - hawajui wachunguze nini!!!
10. Chenge - PCCB hawana uchunguzi, wanawasaidia tu SFO.
DCI Manumba na vyombo vya polisi:
1. Madawa ya kulevya. Uchunguzi tayari na majina kapewa Rais (mwaka wa pili huu sasa).
2. Wala Rushwa wakubwa. Uchunguzi tayari majina kapewa Raisi.
3. Chitalilo - hayo ni makosa ya ki-siasa hakuna jinai katika forgery, chama chake kitamshughulikia.
4. BOT - EPA. DCI hatujahusishwa, ila tunafuatilia.
5. Chenge - DCI kasema hata wao wanasoma kwenye magazeti, ila watafuatilia.
Na hivi ndiyo vyombo vikuu vya uchunguzi wa makosa makubwa ya jinai Tanzania.
Waziri hajasema nani anafanya uchunguzi (na inaweza isiwe PCCB au DCI), na bado unapenda watu wawe na imani na uchunguzi huo? 'Serikali inamchunguza' is not enough, na inamchunguza nini?
Sometimes criticism is based on what you haven't done BEFORE and not necessarily what you are doing now.