Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Wakuu,
Kwa kifupi ATCL haikopesheki wala haiminiki kutokana na financials zake mbovu. Mi navyofahau mpaka mwaka jana walikua na accummulated loss of Tzs. 15 Billion.Tetesi zinasema they make more money kwenye kukodisha majengo kuliko kwenye mauzo ya air tickets.
Sasa hii kampuni haiwezi kuipa hiyo ndege bila kuwa na guarantee ya serikali ya Tanzania maana wanaogopa kuwa ATC wanaweza kushindwa kulipa hizo dola laki 5 kila mwezi. Kama ATCL ingekuwa ina cashflow nzuri na good financials, mibenki kibao ya bongo ingeweza kuwapa hiyo line of credit au Standby Letters of Credit(SBLC) ili kumpa aliyekodisha comfort.
Utamu unakuja pale ambapo BOT ndio wanatakiwa kuissue hiyo guarantee, na sasa hivi Prof. Ndullu anaangalia duka liko vipi maana Don Ballali alikuwa anazitoa kama nyungu hizo guarantees na nyingi zimetolewa kwenye project feki(ie Star Apparrel,Kagera Sugar,Mtibwa Sugar, Mzindakaya Meat Farm etc)

Wauze tuu hiyo kampuni ya ATCL kama walivyofanya ya Bia,haina faida yeyote zaidi ya kutia hasara walipa kodi na kutuletea usafiri mbovu na hatari.
mkuu hapa tuko wote. Kwa nini ATC isivunjwe tu??
Tuna kampuni kama Precision Air ambazo zinafanya vizuri tu na hapa labda tumuombe yule mtaalamu waziri Ngeleja mawazo ili wapeleke muswada wa kuleta investors tsk tsk tsk
Samahani, Mkuu lakini sisi wengine macho yetu sio kama yalivyokuwa zamani, naomba ubadili hiyo font na huo uzito( bold)! Samahani lakini!
mkuu ule carrot kwa wingi na ule mchezo upunguze punguze swhiba
Kama mtu mmoja alivyouliza hapo juu inawezekana vipi kwenda kutia sahihi mkataba wa kununua dege hili wakati serikali haijawahakikishia udhamini wake?
Pole pole mmeanza kuzungumzia mambo ya Carrott, chapati, na samaki wa kupwaza.. halafu mtamsahu Chenge!
Kikwete anamwogopa Chenge big tyme na usishangae mabilioni yakatumika hapa kama kawa huku Chenge akicheka all the way to the bank!
Hapa mimi sijakupata vizuri,who is Chenge kiasi cha kumfanya Rais wa nchi amwogope, ni kwamba kuna siri kali hapo? Ni siri gani hiyo inayoyatisha mamlaka makubwa kabisa ndani ya nchi?

Kahangwa, naona itakubidi usome na thread ifuatayo:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=10676&highlight=mighty
SteveD.
Kwa hiyo mnataka kusema kuwa yawezekana huyu bwana siye mwenye bomu lakini yawezekana ndiyo mwenye pin?