VIJISENTI PESA ZA WALALA HOI????
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.
According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, Muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!
Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.
Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.
Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.
....More Dataz to Come Soon....
Niliiona mapema nikaonelea ni vyema niziunganishe ili mwenyewe ajue hii kitu imeongeleka hapa siku nyingi tuAliipata katika mailing list inaonyesha
Aliipata katika mailing list inaonyesha
Ha ha ha ha mkuu kwa mkwala tu siku wezi!ila naona kuna anyejaribu kunichafua, asiwe na wasi wasi maana na mimi nikiamua kumchafua hapa asilie
Chenge yumo njiani kwenda kwenye sheria kama kina Mgonja, na order ya kuwataka wote waliohusika kuondolewa CCM ipo mezani kwa mwenyekiti wa CCM, mara ya mwisho ilipigiwa kelele na Msuya kwenye NEC, kwamba waondolewe,
Chenge alisachiwa na kukutwa na billioni moja ndani ya nyumba, otherwise Lowassa na Karamagi nao pia walipelekwa London kwenye huu uchunguzi,
Kwa hiyo hizi dataz ziko current, ila naona kuna anyejaribu kunichafua, asiwe na wasi wasi maana na mimi nikiamua kumchafua hapa asilie. Maana this is a cheap shot naomba atafute real ishus kama antaka vita na mimi za kihoja.
mkuu bubu among all the people hapa nilifikiri tunaheshimiana sana lakini karibu sana mkuu!
Niliiona mapema nikaonelea ni vyema niziunganishe ili mwenyewe ajue hii kitu imeongeleka hapa siku nyingi tu
Invisible,
Hivi JF ina sheria za copyright? Huyu Piemu Esquire inatakiwa amlipe FMES kwa kutumia makala yake bila hata kubadili neno.
Tina usibabaishwe mbona Yanga wanakula hela za manji .Endelea mwana pengine atakuonyesha mali zake nyingine utuarifuJFDuh sasa Tina unatutisha sasa unataka umpe raha gani FISADI huyo??unataka mle wote za RICHMOND?mmh wabongo bwana unakimelea cha ufisadi nini??mfatilie anaweza kukukonyeza.
Chenge yumo njiani kwenda kwenye sheria kama kina Mgonja, na order ya kuwataka wote waliohusika kuondolewa CCM ipo mezani kwa mwenyekiti wa CCM, mara ya mwisho ilipigiwa kelele na Msuya kwenye NEC, kwamba waondolewe,
Chenge alisachiwa na kukutwa na billioni moja ndani ya nyumba, otherwise Lowassa na Karamagi nao pia walipelekwa London kwenye huu uchunguzi,
Kwa hiyo hizi dataz ziko current, ila naona kuna anyejaribu kunichafua, asiwe na wasi wasi maana na mimi nikiamua kumchafua hapa asilie. Maana this is a cheap shot naomba atafute real ishus kama antaka vita na mimi za kihoja.
mkuu bubu among all the people hapa nilifikiri tunaheshimiana sana lakini karibu sana mkuu!
Mbogela,
E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.
Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. I mean, Chenge is no dummy, itakuwaje awe na lawyer mzungu? Strategically inaweza kuwa sio move nzuri sababu majaji wanaweza kuona huyu mgeni anakuja hapa kutufundisha sheria zetu. Ana mpango gani hapa Chenge? (kwenye chess/draft lazima ufikirie adui anafikiria nini, halafu umpe benefit of assumption kwamba he is the most skilled strategist).
Mimi nikatafuta info za huyu lawyer mitandaoni nikapata namba ya simu. Kwa sababu hakuna mwandishi yeyote aliye uliza kama huyu Mmarekani amesajiliwa ku-practice Bongo, nikaona, u know what, we are not going to wait for a Press that does not exist.
Nikampigia lawyer wa Chenge Ohio. Nikaona nikimwambia mimi mwandishi wa habari jamaa naye ataleta u lawyer. Nikaamua kumtengeneza (if u know what I mean). Nikamwambia, nimekusikia jina lako kwenye Media hivi majuzi, nahitaji huduma yako. Kaniuliza we nani, nikampa mi ID ya kutengeneza. Shida yako, nikamwambia Baba yangu kakamatwa na Kesi ya Rushwa. Wapi, ye nani, nikamwambia alikuwa meneja Mkuu wa Kampuni ya Taifa ya Sigara, sasa hivi yuko dhamana. Mzungu hajui chochote kuhusu wakuu wa makampuni ya Bongo chochote ninachomwambia cha mbele. Alipo maliza maswali yake, nikaanza yakwangu. Nikamwambia, unaweza kumpresent babangu akasema, tutaangalia, mwambie anipigie simu. Unaweza ku-practice Bongo, umesajiliwa, akasema ndio, mimi ni Mmarekani peke yake ninaye weza ku-practice in the commonwealth. Sijui ana maana gani, manake kama ni nchi za commonwealth zote, basi nadhani hawezi kuwa peke yake.
Sasa cheki basi. Nikamuuliza, sasa utakuja Tanzania kumrepresent Babangu, akasema, well, tutaangalia kwa sababu nina ma partner Bongo. Na kama kawaida ya Wazungu wanapenda sana kuongea vitu ambavyo hawajaulizwa. Basi akaanza kutoa mi "dataz" (no pun). Akaendelea, "hivi ninavyoongea nimetoka kuwasiliana na "Nima Radi Makono" ameondoka sasa hivi kurudi Tanzania." (Na kweli wakati ule Mkono alikuwa USA, alitokea kwenye media reports siku chache earlier akikanusha madili yake ya BOT kwa njia ya simu kutoka USA.) Sikutaka kumbana sana kuhusu Mkono kwa sababu nilitaka kujifanya sijui kitu, wala simjui "Nima Radi Makono."
Akanirudisha kwenye kesi ya Babangu wa "Kampuni ya Taifa ya Sigara," nikamtengeneza tena. Halafu tukaagana, nikamwacha anasubiri simu.
Kwa hiyo Mkono ni partner wa lawyer wa Chenge Tanzania. Na huyu lawyer anasua sua kuja Bongo. Anahitaji sana ushauri huyu lawyer wa kigeni. Inawezekana kabisa Mkono anatoa ushauri. Ni partner.[/QUOTE
Nashangaa kwanini lawyer ashindwe ku pronounce "Nimrod" when it is a common english word..see below from Webster
Nim·rod
Pronunciation:
\ˈnim-ˌräd\
Function:
noun
Etymology:
Hebrew Nimrōdh
Date:
15th century
1: a descendant of Ham represented in Genesis as a mighty hunter and a king of Shinar
2not capitalized : hunter
3not capitalized slang : idiot , jerk
Just curious but good work Messr Poirot!!
Chenge yumo njiani kwenda kwenye sheria kama kina Mgonja, na order ya kuwataka wote waliohusika kuondolewa CCM ipo mezani kwa mwenyekiti wa CCM, mara ya mwisho ilipigiwa kelele na Msuya kwenye NEC, kwamba waondolewe,
Chenge alisachiwa na kukutwa na billioni moja ndani ya nyumba, otherwise Lowassa na Karamagi nao pia walipelekwa London kwenye huu uchunguzi,
Kwa hiyo hizi dataz ziko current, ila naona kuna anyejaribu kunichafua, asiwe na wasi wasi maana na mimi nikiamua kumchafua hapa asilie. Maana this is a cheap shot naomba atafute real ishus kama antaka vita na mimi za kihoja.
mkuu bubu among all the people hapa nilifikiri tunaheshimiana sana lakini karibu sana mkuu!
Chenge yumo njiani kwenda kwenye sheria kama kina Mgonja, na order ya kuwataka wote waliohusika kuondolewa CCM ipo mezani kwa mwenyekiti wa CCM, mara ya mwisho ilipigiwa kelele na Msuya kwenye NEC, kwamba waondolewe,
Chenge alisachiwa na kukutwa na billioni moja ndani ya nyumba, otherwise Lowassa na Karamagi nao pia walipelekwa London kwenye huu uchunguzi,
Kwa hiyo hizi dataz ziko current, ila naona kuna anyejaribu kunichafua, asiwe na wasi wasi maana na mimi nikiamua kumchafua hapa asilie. Maana this is a cheap shot naomba atafute real ishus kama antaka vita na mimi za kihoja.
mkuu bubu among all the people hapa nilifikiri tunaheshimiana sana lakini karibu sana mkuu!
Ha ha ha Wakuu hao wa Taifa kama kweli huwa wanakusikia unachowaambia ni bora uwaambie kazi imewashinda wajiuzulu kazi ili tufanye uchaguzi mwingine hatuna haja ya kusubiri 2010. Tunataka viongozi wenye kujali na kuweka mbele maslahi ya Taifa siyo hawa walioweka mbele maslahi yao, usanii na vitisho kila kukicha.