S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 88
Gazeti La Mwanahalisi Linastahili Pongezi Kwa Kuweka Wazi Haya Mambo Bila Kumungunya Mungunya Kama Yalivyo Magazeti Mengine Tanzania.
Niliwahi Kusema Huko Nyuma Kuwa Katika Huu Mtandao Wa Ufisadi Wananchi Wengi Wenye Elimu Wanamlaumu Sana Jk. Hilo Sio Kosa Lao Wana Haki Ya Kulaumu Sababu Ni Raisi Wetu, Nasita Kidogo Kumlaumu Moja Kwa Moja Sababu Ni Dhahiri Kabisa Kuwa Haya Maji Ni Mazito Kwa Kiongozi Yoyote Yule Wa Siasa Hasa Siasa Zetu Za Afrika.
Huu Mtandao Ni Mkubwa Ni Muhimu Raisi Asikurupuke, Ni Lazima Ajue Who Is Who, Who Did What, When Etc...kabla Hajatoa Maamuzi Yatakayo Mtafuna Yeye Mwenyewe Kisiasa Au Kuiweka Nchi Mahali Pabaya. Wapo Mtakaosema Nchi Ni Kubwa/muhimu Kuliko Malengo Binafsi Ya Kisiasa. Nakubaliana Na Hilo, Wakati Huo Nakubaliana Na Ukweli Kuwa Sio Kila Raisi Wetu Ni Jeuri Kama Alivyokuwa Nyerere, Hata Yeye Mwenyewe Historia Inatuambia Wajanja Wengine Walishataka Kumpindua Akaponea Chupu Chupu..!!! Nani Alijua Kuwa Dr Rashid Angehusika Moja Kwa Moja Na Rushwa Ya Rada??? Na Ni Wangapi Wengine Wenye Mvuto Mkubwa Kisiasa Ambao Hatujajua Siri Zao, Angalia Basil Mramba Alnavyopendwa Jimboni Kwake Rombo; Pamoja na Kuwa na Kiburi, Kuhusika na Kashfa Zote Kubwa Tanzania Lakini Mramba Alishinda Ubunge Kwa Kura Nyingi Kuliko Mbunge Mwingine Yoyote Tanzania 2005...Tujiuliuze Hiyo Inatoa Picha Gani Kwenye Siasa Yetu Tanzania??
Nakumbuka Dr Rashid Alivyoteuliwa Ceo Wa Tanesco Alimwagiwa Sifa Kibao Na Wana Jambo Forum Hapa; Leo Hii Tunajua Kumbe Na Yeye Alipewa 1 Mil Usd Kama Chenge Tu. Leo Hii Dr Rashid, Chenge, Karamagi, Lowassa, Mramba Wote Lao Ni Moja Na Wote Ni Mafisadi Wakubwa.
Ni Muhimu Huyu Naye Asogee Kutoka Tanesco Uchunguzi Uendelee.