Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,322
- 69
Kijana mdogo una habari kuwa wakati unamtetea ni majuzi tu ameihamishia Richimonduli/Dowans kwa Manji? Sasa Manji anaendelea kukusanya hela za Tanesco kwa niaba ya Rostam! je unayajua haya kuwa sasa Manji na Rostam, wameamua kuinunua hata Ze Comedy, ili kuipunguza makali ya kuwasema mafisadi kwenye comedy zao? Sasa wakati mafisadi wanafanya haya wewe unafanya nini mwananchi wewe? Eti unawaogopa? Kwa visingizio vya viwango? Sasa unataka wote tuwe hivyo? kama wewe?
Sidhani habari nzima ni kweli. Polisi wa Uingireza hawezi ku execute search Warrant ya Kitanzania na Rais wa Tanzania hawezi ku sign Search Warrant ya Kiingereza. Tumeambiwa "Dataz" zimesema Kikwete aliandika na ku sign Search Warrant. Stori imepinda!
Right! Unatofautiana na mwenzio, Mkuu mwenye "dataz." Tumeonyesha sheria ya hicho unachokisema hapo (pitia pitia matundiko ya nyuma kidogo). Tatizo la "dataz" ni kwamba zimesema Chenge alileta ubishi akaonyeshwa Search Warrant iliyoandikwa na ku sainiwa na Kikwete (na ni kichekesho kusema mtu anaandika na ku sign warrant yeye mwenyewe - inakuonyesha mtoa "dataz" alivyo pitwa na vitu kidogo - just to put it mildly. Unaanza ku doubt kama anajua anacho kisema. Kwa hiyo, ongea na mtoa "dataz" wako mrekebishane.
Hatujabisha hilo, ila wengine wakauliza, very trenchantly, nini ni newsy kuhusu Chenge kwenda London? Mkasema, ooooh, kaonekana na Pingu. Wait a minute now, Chenge sio target wa Investigation, how come akamatwe? Ndio ikaonekana maswali haya hayana dataz ila yana logic, na hatuendi na logic hapa JF (yet another kituko)! Kwani sisi ndio tumeleta "dataz" au tunaswalisha veracity ya hizo "dataz" alizo zileta Mkuu kuona kama kuna mantiki?
"Vijisenti" na Mafisadi wenzake watamalizwa, Tanzania - if at all - sio UK. Huko wao sio target wa wrongdoing. Vyanzo vya habari vyenu hatujavikataa, tumeviswalisha. Vyombo vingine vinasema, sio tu kwamba Chenge sio target, ila pia hajashitakiwa mtu bado, sasa atakamatwaje mtu?
Sasa hapa tunafanya stringent vetting kuliko MwanaHALISI na Tanzania Daima kwa sababu tumewaalika waandishi wa Bongo waje kujifunza Journalism hapa. Tuta maintain viwango vya juu kuliko Nyegezi na UDSM tulipo waomba wa drop out! Hapata geuka MwanaHALISI hapa kama mchangiaji mmoja alivyo onya.
BAE corruption investigation switches to Tanzania
· Focus on £28m radar deal with East African state
* The Guardian, April 12 2008.
* David Leigh and Rob Evans
Following the uproar over its halted Saudi investigation, the Serious Fraud Office is expected to decide whether to bring fresh corruption charges against arms manufacturer BAE within six weeks, over a second arms deal, this time with Tanzania.
A minister from the east African state has denied that more than $1m (£507,500) in his offshore accounts came from BAE.
Investigators involved in a three-year inquiry after the controversial deal to sell Tanzania a £28m radar system identified the money in Jersey accounts controlled by the poverty-striken country's infrastructure minister, Andrew Chenge.
Investigators say Chenge could be a valuable witness. The target of their investigation is not him but BAE. The arms company made the commission payments to a local agent in Tanzania to promote the £28m radar sale, through an elaborate chain of offshore companies and a Swiss bank.
The agent has now left the country and is wanted by Interpol.
...The Guardian subsequently disclosed that £1bn had been paid into accounts controlled by Prince Bandar during the deal. Bandar says the payments were not improper.
The Tanzania deal, although smaller in cash terms than the Saudi deals, is equally controversial: Tanzania is one of the world's poorest countries, and the UK government is paying more than £100m this year to help the heavily-indebted country's budget.
It was Blair again who forced the radar deal through the British cabinet, despite protests from the then international development secretary, Clare Short. She said the sale, for which Tanzania had to borrow yet more from a commercial bank, was corrupt and "stank".
A lengthy SFO investigation in the UK subsequently discovered that 31% of the deal's contract price had been diverted via Switzerland.
BAE transferred the money to a subsidiary, Red Diamond Trading, registered anonymously in the British Virgin Islands.
Red Diamond then moved the cash to a Swiss account in the name of a Panama company, Envers Trading Corporation. This entity had two Panamanian nominee directors. But it was secretly controlled by a Tanzanian middleman, Shailesh Vithlani, according to Dar es Salaam court papers.
Investigators are now checking whether Vithlani arranged to pass any money in turn to Tanzanian politicians and officials.
Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.
Vithlani, who is of Indian extraction but holds a British passport, is listed as wanted by Interpol.
Mchelea Mwana,
"Vijisenti" hawezi kuwa na kosa la kujibu UK. Hajawatenda UK kosa. Na Uingereza haina nguvu ya kisheria, haina jurisdiction, juu ya Chenge. Wana dili la watu wao BAE kwa sababu ni kampuni iliyo sajiliwa UK, inabanwa na Sheria za UK. Chenge kama raia wa TZ habanwi na Sheria ya UK isipokuwa kama ametia mguu UK, au amewatenda kosa UK.
Na hela za Chenge hazija freeziwa na Wachunguzi. Hela zime freeziwa na Benki ya Jersey baada ya Uchunguzi wa Tanzania kuanza, na sio kufuatia uchunguzi wa UK. Benki huwa zina taratibu za kushirikiana na vyombo ya dola kudhibiti uhalifu ili kujijengea sura, kama sio kwa kwa shuruti ya sheria ya nchi iliyo sajiliwa.
Ile taarifa niliyo post imesema:
Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.
Kwa hiyo, Chenge inabidi tummalize sisi wenyewe. Prosecutors wa UK hawataki kutusaidia sisi katika hili. Wanatafuta samaki wakubwa, BAE. Na wasingeweza - hata wangetaka- kutusaidia kwa sababu ya mipaka ya dola na sheria.
Simply superb Kuhani Mkuu! Its been long coming to finally hear a genuine voice of reason and rationality instead of the usual gossip, half truths and cheap sensationalizations peddled by individuals basking in their own self glory.
The Following 35 Users Say Thank You to Field Marshall ES For This Useful Post:
Augustoons (17th May 2008), Azimio Jipya (17th May 2008), Belo (Yesterday), Bowbow (17th May 2008), Bubu ataka kusema (17th May 2008), Bubu Msemaovyo (Today), Dua (17th May 2008), freetown (17th May 2008), Halisi (17th May 2008), ibambasi (Today), Indume Yene (17th May 2008), injinia (17th May 2008), Kakalende (17th May 2008), kakindomaster (17th May 2008), Kamende (17th May 2008), Kasheshe (Yesterday), Kinyamana (17th May 2008), Kocha (Yesterday), Kuntakinte (17th May 2008), mfwatiliaji (17th May 2008), Mkandara (17th May 2008), Mpita Njia (17th May 2008), Mtanzania (17th May 2008), Mtu wa Pwani (17th May 2008), Mwakilishi (Today), Mzee Mwanakijiji (17th May 2008), Nurujamii (17th May 2008), Nyangumi (Yesterday), Omutwale (Today), phillemon mikael (17th May 2008), power to the people (Today), Rev. Kishoka (17th May 2008), Richard (17th May 2008), SteveD (17th May 2008), wambandwa (Yesterday)
Maneno yako hapo juu sio sahihi kabisa. Hapa kosa ni la BAE na kweli wanachunguzwa na UK kwasababu ni kampuni iliyosajiliwa UK. Ila wanaochunguzwa ni raia wa dunia nzima, ndio maana Chenge yumo, watu wa SA wamo, Saudi wamo.
Kusema UK hawana jurisdiction na Chenge ni kukosea, ingelikuwa hivyo asingelikuwa searched, wala asingejiuzulu maana hata hivyo visenti vyake visingelijulikana, leo hii asingelikuwa Churchil Hotel chini ya ulinzi.
Mkuu,
Maneno yako hapo juu sio sahihi kabisa. Hapa kosa ni la BAE na kweli wanachunguzwa na UK kwasababu ni kampuni iliyosajiliwa UK. Ila wanaochunguzwa ni raia wa dunia nzima, ndio maana Chenge yumo, watu wa SA wamo, Saudi wamo.
Kusema UK hawana jurisdiction na Chenge ni kukosea, ingelikuwa hivyo asingelikuwa searched, wala asingejiuzulu maana hata hivyo visenti vyake visingelijulikana, leo
hii asingelikuwa Churchil Hotel chini ya ulinzi.
Mnaosema kaja kwenye mambo ya kifamilia basi nendeni pale mkamwone na muone kama mtaruhusiwa kumwona.
Hili la Chenge fundisho kubwa, hata kama JK na serikali yake watazembea kushughulikia mafisadi lakini kuna vyombo vingine vya dunia vinaweza kuwaumbua.
Jambazi ni jambazi tu, eti wakoloni, leo wakoloni wanapekua mpaka chupi za mkewe, aibu gani hii jamani.
Mkuu wewe endelea kushikilia this kind of mentality, za genuine na rationality, na kubadili majina lakini kwa taarifa yako ni kwamba mafisadi hawana genuine wala rationality, wao ndio kwanza wanatuibia taifa kiroho mbaya, bila logic wala sheria:-
1. Ndio kwanza Dowans imehamishiwa kwa Manji, lakini kwa wale tulio macho na taifa letu bila ya kujali genuine wala rationality tayari tunawasiliana na wabunge ili Manji aubebe mzigo wa ufisadi ule ule wa Richimond na wabunge karibuni utawasikia wakitaka aende jela.
2. Ndio kwanza imefahamika kuwa Chnege, anazo dola millioni 13 hapa bongo, sasa mkuu hebu tumabie hizi genuine zako na rationality jinsi zinvyoweza kuwa applied hapa kwenye waziri kuwa na hela zote hizi tena kwenye benki zetu za local?
3. Sasa Rostam na Manji, wameinunua mpaka Ze Comedy ili kuipunguza makali, lakini tayari linatengenezwa kundi jipya la Comedy na wenye uchungu na nchi linakuja Ze Comedy watachekesha na mafisadi watapigwa tu kiroho mbaya bil a genuine wala rationality, maana wao wanapotufisadi taifa huwa hawatumii hizi genuine zako wala rationality,
Ndio maana tunasema kuwa kwenye kumkoma nyani huwezi kutumia genuine wala rationality, maana utaishia kumuonea huruma, wanaotuibia taifa hawatumii genuine wala rationality, ila wanatumia ufisadi tu, lugha wanayoielewa ni moja tu nayo ni ya kumkoma nyani keep your genuine na rationality, sisi ni kumkoma nyani tu tena kiroho mbaya!
Ndio maana tunataka kuweka ule mkanda wa kutoka bungeni hapa ili uone jinsi wabunge walivyomkoma nyani siku ile bila kujali genuine wala rationality, au self glorification, lakini walimkoma nyani mpaka Lowassa, Karamagi, na Msabaha wakaachia ngazi, it about time sasa ukaelewa kuwa uko kwenye the wrong side of the glass bro na majina yako mapya kila unapojaribu kupingana na forum, ni lini utakuwa kama sisi wenye jina moja tu mkuu!
Working relations with our counterparts in other countries are often formalised under a Mutual Legal Assistance Treaty. This means that authorities in different countries can call on each other's resources and powers to conduct investigations in their own jurisdictions.