Chenge amepekuliwa na wazungu kuanzia ofisini kwake mpaka nyumbani kwake, na amekutwa na shillingi billioni moja cash, safari ya UK ilikuwa siri je imatangazwa anywhere zaidi ya hapa JF?
Je Chenge yupo UK au hayupo, Chenge alionyeshwa kibali kilichosainiwa na rais kabla hajaenda India, na alipotaka uthibitisho akapewa kuwa kimetoka kwa rais, akasachiwa baada ya kuachiwa akakimbilia Kwa Mkono, Butiama ndio kwa mara ya kwanza mkono anawafahamisha wakulu wengine kuwa Chenge, amesachiwa na anauhitaji msaada wake lakini hawezi kumsaidia, I can go on and on ila siwezi kwa sababu ya kumridhisha mtu mmoja mwenye majina mia humu, wewe huna dataz na utaendela kusubiri za wengine tu hapa JF na kubaki na logic zako za chooni,
sisi tunasonga mbele, na tutakapozipata zaidi tutaziomwaga, mkuu tumekuambia kuwa umaarufu hapa huletwa na hoja na dataz, sio logic maana kila member anazo hapa, ila hoja na dataz sio kila mtu anazo hapa, kuna wengi hapa kama Lunyungu wameenda kuzitafuta zaidi sisi tumewapa lead tu, ila kuna the zero wa logic ndio kazi kujifanya kujua kumbe hujui nothing, ila ni ujuha tu anytime write, ni pure nonesense!
I stand for kila nilichosema, unless useme ukweli tofauti, logic hata mtoto wangu anazo, ila hoja na dataz hana, kama na wewe ulivyo huna, dawa ni kukaa pembeni upewe dataz hapa tunazo all the time, from day one tulipoingia hapa na tunaendele, hazikusaidiii wewe lakini kuna wengi zinawasaidia, sasa kaaa pembeni!