The Radar Scandal: Investigation & Progress

Asante Mwalimu Kithuku,

Wakati mwingine watu kama hawa inabidi wapati dozier yao hapa hapa kabla jogoo hajawika mara tatu.

Please, you've jumped from claiming the man is a fraudster to accusing him of murder! Did he kill someone close to you nini? You believe chenge was merely a civil servant,for 30+ years? I highly doubt that.
 
Wouldnt be suprised,he has a lot of time to spare now,and probably no usingizi at all

There is a lot of guys out here who will stand by him. Wale ambao tumechoka na dhana yha ujinga huu wa umaskini. Huhitaji kuwa chenge kujua haya unahitaji kusoma japo kidogo tu na kuacha ushabiki.
 
Please, you've jumped from claiming the man is a fraudster to accusing him of murder! Did he kill someone close to you nini? You believe chenge was merely a civil servant,for 30+ years? I highly doubt that.

Do you problems with that?
 
Aiseee kumbe mamilionea yanaongeaga hivyo? Ngoja niriwaindi riwaindi labda nitaamka asubuhi na vijisenti chini ya mto....

Mkjj nae........'ehee basi mimi nilitaka...' Hiyo ehee ilivyoingia, kama gia ya Scania.
 
There is a lot of guys out here who will stand by him. Wale ambao tumechoka na dhana yha ujinga huu wa umaskini. Huhitaji kuwa chenge kujua haya unahitaji kusoma japo kidogo tu na kuacha ushabiki.

Inaonekana wewe ndio unahitaji kusoma maana unatia kinyaa!
 
Please, you've jumped from claiming the man is a fraudster to accusing him of murder! Did he kill someone close to you nini? You believe chenge was merely a civil servant,for 30+ years? I highly doubt that.

Napata faraja kuwa bado kuna watu makini tanzania wanaohangaika kuboresha maisha. Ni wapi tuliambiwa kuwa mtanzania mfanyakazi hapaswi kuwa na biashara au kuwekeza? Swali ni kuwa wapi anawekeza na je hapo anapowekeza kuna faida?
 
Na unaita hiki ulichoandika hapa hoja?!
 
Ama kweli nyie ni auditors wa account za huyu bwana. Huko jersey baba zenu ndio wahasibu au hizi data mnazitoa wapi kwa kina paparazi ambao leo tumeshuhudia uongo wao, shame on you guts
 
Ama kweli nyie ni auditors wa account za huyu bwana. Huko jersey baba zenu ndio wahasibu au hizi data mnazitoa wapi kwa kina paparazi ambao leo tumeshuhudia uongo wao, shame on you guts

Ukiambiwa ukapimwe akili unadhani dakitari kakosea!
 
This will be your home work for this weekend!
your homework is due before your history class on Tuesday!

Coming from the woman who can't perceive someone can work hard beyond their civil duties? mama africa kweli ndio maana africa ni maskini
 
Wewe unachojibu hapa ni nini kama kuna uchunguzi unafanyika?

read between the lines. Umetaka ajibu tuhuma ndio maana nakuuliza kuwa ajibu nini wakati uchunguzi unafanyika. Ever heard of the 5th ammendment? huwa kisheria unasubiri kwanza matokeo ndio unajibu , sasa utajibu nini wakati uchunguzi unaendlea. Utasema ni kweli au si kweli Rudi darasani
 
Bebeh ngosha, vipi tena... mbona unakubali uBongo wako halafu unakuwa kama umekunywa chang'aa kwa kutumia sinia vile na kujing'atua kwa ghafla?! ......kinehe egeteh?!!!
 
Coming from the woman who can't perceive someone can work hard beyond their civil duties?

They dont teach this kind of english at Harvard.
You can always swahili if you have problems with english!

mama africa kweli ndio maana africa ni maskini

Africa ni masikini coz killers and thieves like Chenge are in power!
 
Ha ha ha ha ha,

5th ammendment? Tell me about it! Is this another friday stunt?
 
They dont teach this kind of english at Harvard.
You can always swahili if you have problems with english!

Africa ni masikini coz killers and thieves like Chenge are in power!

no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…