Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #321
Mkuu Jasmoni Tegga , siasa sio utabiri ni ubashiri, utabiri unafanywa na watabiri, ubashiri unafanywa na mtu yoyote. Baada ya Chadema kupata kipigo cha mbwa mwizi kwa kukataliwa na wananchi, manusura ya Chadema kuendelea ku survive na sauti zao kusikika ni kupitia viti 19 vyake vya wabunge maalum, wakiendelea kususa, hata 2025 itakuwa mbali, Chadema wanakwenda 6ft under sooner than expected, and that will be the end of it na biashara yake inaishia hapo!.Pascal Mayalla Watabirie tena hawa Ufipa kuhusu miaka 5 ijayo, na hasa hatima yao ya 2025, kama zile posti za "wakiambulia hata mbunge mmoja wapongezwe!" Au ndiyo hawako kwenye ramani ya siasa kabisa mazima???
P