Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,411
- 857,683
Nitafute[emoji85] [emoji85] [emoji779] [emoji781] [emoji6]Ulisema huna la kuficha lakini, naomba uvue hiyo miwani
Nitafute[emoji85] [emoji85] [emoji779] [emoji781] [emoji6]Ulisema huna la kuficha lakini, naomba uvue hiyo miwani
Baaba![emoji12]Shkamo
Nadhani ni aya inayotema moto kiroho kwa watu wabayakwa nini mchawi ukimsomea ayatul kursiy asema anaungua?
Basi takutafuta mimi[emoji6][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
Kwenye ulimwengu wa roho vitu vimegawanywa kwa makundi rasmi..paka ana roho ngumu sana roho saba? Fisi ni hayawani asiye na utashiKwanini wachawi hutumia sana paka au fisi na isiwe viumbe wengine kama ng'ombe,nk
Huko kuache kama kulivyo.. Yaliyoko huko tuyaache yasiingie hapaNi kweli kwamba mchawi hawezi kuingia ikulu?rais aliyepo madarakani halogeki ama hiz nazo tetes mkuu?
1. Ni watuhumiwa tu sometimes sio kweli na kwa sehemu kubwa ni mambo ya kufikirika zaidiMshana Jr kwanini wanaotuhumiwa kuwa wachawi huwa wahudhuriaji wazuri wa ibada makanisani?
[emoji15] [emoji15] [emoji87]Unayatakia nini macho yake!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mshana hili Mimi naweza kukataa mkuu,kuna bibi mmoja Hapa jirani yetu katika kutolewa uchawi,lakini ilikuwa muhudhuriaji mzuri sana wa ibada Rc.1. Ni watuhumiwa tu sometimes sio kweli na kwa sehemu kubwa ni mambo ya kufikirika zaidi
hii imevutia!Ndio ni Mimi halisi.. Naingia meditation nitarejea