Tupange Siku Twende TukaibeBank zinaibiwa sana na baadhi ya wachawi Lakini hawatangazi kwakuwa hakuna palipovunjwa na pia kuwaaminisha wateja kuwa pesa yao iko salama

Hapa muone Mzizi MkavuNILIKUWA NAKUTAFUTA SANA KAKA,SWALI LANGU KWAKO NI, NYOTA YA PUNDA INAENDANA NA NYOTA ZP.
Niko pahala kidogo nitarejea na kujibu maswali yote kadiri ya ufahamu wangu lakini niwie radhi si yote nitajibu kwa uamuzi binafsi na sababu za waziKaka mbn unachagua watu wakuwajb
Nitarejea naomba uvumilivu wenuKwako mshana, nina maswali kadhaa hapa.
1. Ni kitu gani haswa unajutia maishani.?
2. Elimu yako ya mambo ya kiroho imekusaidiaje wewe binafsi na watu wanaokuzunguka.?
3. Je ushawahi kupata woga.? Ilikuwa ni wakati gani na nini kilipelekea wewe kuogopa.?
4. Haya unayoshare nasi jukwaani, je familia yako inajua kuwa unajua.? Wanakuchukuliaje juu ya hilo.?
5. Umeshawahi kuona visivyooneka kwa macho ya kawaida.? Vipoje.?
6. Nakumbuka katika thread mojawapo inayozungumzia budhist college, ulsema kuwa ushawahi shuhudia kafara ya mtu toka kwa waabudu shetani, na ulipewa offer ya kujiunga nao. Je ulifikia nao wapi.?
Tuanze na hayo kisha nitarejea na mengine ninayohitaji kujua toka kwako.
Mkuu mshana hivi uchawi una nafasi gani katika maendeleo ya mwanadamu?(Asilimia kubwa ya watu wanaamini, Mali & Utajiri unapatikana kwa njia zisizo halali,mfano utapeli,uchawai n.k) Na hata matapeli,Majambazi n.k wanatumia sana uchawi hili kutimiza Malengo yao.
Je kuna ukweli upi kuhusu hili jambo mkuu.
Kuhusu mabangili ya shaba:kuna mtu alinambia kuwa yanazuia mapepo pia ni kinga kwa mfano kutochukuliwa pesa na wazee wa chuma ulete,hii imekaaje?Gamboshi ipo ni kijiji cha kawaida machoni pa wengi ila kwenye dunia ya giza ni habari nyingine
Vyeo vya wachawi vipo kutegemeana na makafara lakini kuna ranks zinazotambulishwa na bangili ya shaba mkononi
Sawa tunakusubiriNiko pahala kidogo nitarejea na kujibu maswali yote kadiri ya ufahamu wangu lakini niwie radhi si yote nitajibu kwa uamuzi binafsi na sababu za wazi
Nitarejea........
naomba kuelewa kuhusu uhusiano wa wachawi na majini,je hawa watu ni maadui au ni marafiki sana,je binadamu anaweza kuwa mchawi halafu muda huo huo ana mapepo au majiniAsaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host.
Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake alichojaliwa na bila kupepesa macho majibu atakayotoa angalau Yatatufungua macho tujue ulozi, uganga, uchawi umekaa vipi.
Naomba mshiriki kwa kusoma tu. Narudi tena kwa kusoma tu hadi pale muda wa kuuliza maswali utakaporuhusiwa. Karibuni.
Hahah ninao ndugu na marafiki wengi sana na ninaye best yangu anaitwa Angel NylonMshana Jr Kwann Ww Husalimiani Na Watu Wala Kubebishana Na Watu Katika Nyuzi Je Inamaanisha Huna Ndugu Wala Mpenzi Humu Jf?!
Jibu ni refu nitakuwekea link yakenaomba kuelewa kuhusu uhusiano wa wachawi na majini,je hawa watu ni maadui au ni marafiki sana,je binadamu anaweza kuwa mchawi halafu muda huo huo ana mapepo au majini
Baadhi nilisoma mengine ni usoefu binafsi, kujisomea kudadisi kutafiti na kusafiri sana sehemu mbalimbali kumenisaidia kuongeza maarifaIlikuaje ukaanza kuwa na uelewa na haya mambo? Umerithishwa au umesoma shule?
Mara nyingi tunaskia uchawi ulozi na uganga watu wanarithishwa. Je mtu anaweza kusomea akawa kabisa mbobezi wa hayo mambo?Baadhi nilisoma mengine ni usoefu binafsi, kujisomea kudadisi kutafiti na kusafiri sana sehemu mbalimbali kumenisaidia kuongeza maarifa