Ni ngumu kujua kwa hakika lakini ni almost roho chafu zote na hata malaikaKwko mshana, Ukiacha masuala ya uchawi mtoto mchanga/mdogo anayoweza kuona, ni vitu gani viingine
Ambavyo anaviona??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwakweli mimi sio mahiri sana upande huomkuu hv unajua mambo ya astral projection(OBE),je una practise na kama unajua kama mtu yupo interested, je unaweza kuwa mentor wake?(ni mm mwenyewe)

Uchawi wa macho pia hutumiwa sana na Wajaluo wa Shirati mkoa wa Mara. Huu unaambiwa ni hatari kuliko wa kuvunja nazi na sindanoHakuna uchawi mbaya kama macho ya mtu, watu wa Tanga wana hii tech ya zongo ni uchawi unaokaa machoni
Mchawi wa kawaida anaweza kukudhuru tu kwa kukuwekea kitu kwenye chakula ama kinywaji, wanaotumia wireless ni level ya juu Sana
Ni kweli kabisa na ndio maana kuna practice za meditation nk, wengine wanazo kiasiliSawa Mkuu ila niliwahi kusoma humu humu JF kuwa binadamu tuna nguvu za ziada ambazo tunazitumia aidha tukiwa macho au tukiwa tumelala usiku.
Kuna ukweli kwenye hili?
Meditation iko kwenye kila kitu ufanyacho lakini kwa beginners ni mara moja au mbili kwa siku
Nimecheki mbona ni sijakuona? Kama hutajali niulize tena hapaKaka Mshana. Kwanza nikupongeze kwa uwezo wako mkubwa saana wa kujieleza.
Kiu yangu itatulia kama ungejibu post 93 kwa kirefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheeee kheeeeeee unawahofia watu wasiojulikana na Nissan yao nyeupe 😵😵😵