The Interview: mshana Jr.

Ni kweli kabisa wao wanaopotea na wanaibuka wapya wanotumia ibada za kuzimu
 
Hivi kwa mfano mimi huwa naota ndoto ambazo zote nathibitisha ni ukweli na uhalisia. Je na mimi nina chembe za Uchawi!? Karibu mshana Jr
 
Hapana ni mojawapo ya vitabu wanavyoogopa mno

Really? mbona asubuhi utawaona wako wameshika biblia wakikimbi uwahi misa, usiku wanaruka? Kuna hawa wachungaji wa Kinigeria na hawa wa kwetu, wanashika biblia huku wakisali kwa mkazo ila usiku wanawanga, inakuwaje? Kwani zile si biblia wanazoshika na kudanganya waumini wao?
 
Wanazishika wakiwa machoni pa watu nje ya shughuli zao...wakiwa kule Biblia huwekwa mbali kabisa
Btw sometimes ni viini macho unaweza ona wameshika Biblia lakini kumbe ni kitu kingine kabisa
 
Mshana nasikia kuwa kupitia meditation Unaweza hata kuja Mawazo ya MTU au vitu vitavyotokea mbelen, HIV kuna ukweli wowote na kama kweli inawezekanaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…