The Interview: mshana Jr.

Mkuu mshana, kuna watu wakati wakuombewa na viongozi wa dini hupoteza fahamu na baada ya hapo huanza kuongea kwa sauti tofauti tofauti sauti hizo zikijieleza kuwa sisi tumetumwa na Fulani etc je huwa ni kweli au ni sawa na ramli chonganishi?
 
Mkuu mshana, kuna watu wakati wakuombewa na viongozi wa dini hupoteza fahamu na baada ya hapo huanza kuongea kwa sauti tofauti tofauti sauti hizo zikijieleza kuwa sisi tumetumwa na Fulani etc je huwa ni kweli au ni sawa na ramli chonganishi?
Sometimes ni kweli ila kuna utapeli ndani yake .....
 
Mkuu ,mchawi anaweza kutumia chakula,kinywaji au kukudhuru?je,mchawi anaweza kutumia macho take kukudhuru?mfano wakati unakula au mama akiwa ananyonyesha mtoto.
Aisee ain hii ya uchawi uko sana kwa jamii za waluo wa Tanzania na Kenya. Kule iko too advanced yaani uchawi wa macho, jamaa akikuangalia tu wakati unakula,kunyw au unanyonyesha basi unalo. Kwasasa kuna maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Kenya maeneo ya panyakoo ( bugire) na maeneo ya Kenya kama ( kamasaga) wachawi wanatumia hadi mbwa kubeba huu uchawi. Yaani unakula kumbe mbwa anakuroga pembeni yako. Ni hatari kunoma
 
Je Unaelewa maana ya sayansi ?
Dude,u ll never understand the doctrine i wrote..ni sawa na usivyoelewa haya mambo ya uchaw na magic,.ther r pipo who prove hizo njia za kichaw scientifically..this is too big for u bro..jus drop it..or dont buy it.
 
Bank zinaibiwa sana na baadhi ya wachawi Lakini hawatangazi kwakuwa hakuna palipovunjwa na pia kuwaaminisha wateja kuwa pesa yao iko salama
Kwahiyo wanahakikisha vipi hawaibiwi tena??? Na nani atasimamia show ya ulinzi wa "kilozi" Bank? Mchango wake unakuwa recognized vipi?
 
Yani hapa nimekuelewa, yani ni kama vile nuclear inavopigwa vita.
Ni hatari lakini ni bonge la technology.
Wanatakiwa wachache tu ndio wawe nayo.
 
Nlisikia ili mtu aweze kufanya uchawi anahitaji kiota cha inzi,hirizi ya simba na ngekewa.Tafadhali unaweza elezea mambo haya kwa kifupi kazi zake?
 
Mkuu mshana ,kadri siku na miaka zinavyoenda ukijumuisha na masuala ya elimu na utandawazi inasemekana kuwa nguvu za uchawi na uganga zinapungua sana mfano waganga wa zamani walikuwa na nguvu sana but siku hizi wenye nguvu ni wakubahatisha ni yapi maoni yako kwenye hii hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…