The Interview: mshana Jr.

Ni kweli ila sio wachawi tu huona vingi vya kuogofya
Tunasikia tangu utoton kwamba utajiri wa fulani ni wa majini.
Lkn mpk sasa zaidi ya miaka 20. hatuoni akifilisika kutikana na mashart.

Je kuna utajiri wa majini kweli? unamwisho wake?

mechanism ipojee?
 
Vitu vingine ni habari za kizushi utajiri wa majini nk hauna maisha marefu
 
Ndugu Mshana ,je wachawi wanapomloga mtu na kufanikiwa kumuua (ktk macho ya kawaida tunaona mtu amefariki )je,wao humfanyaje na je,huyo mtu hufariki tena?
 
Wengi hubaki kwenye himaya zao mpaka wanapokufa kiuhalisia
 
Mkuu ,kuna siku huwa mtu anaamka asubuhi akiwa amechoka sana na baadhi ya viungo vya mwili kuwa na maimivu,je mchawi anaweza kukufanyisha kazi bila ya wewe kujielewa na kukurudisha kwenye hali ya kawaida?
 
Ndio lakini pia kuna michezo ya wanga
Kuna baadhi ya maeneo hapa nchini utakuta shamba linastawi na mazao mengi lakini kila siku unamuona mwenye shamba tu huoni vibarua ....kumbe usiku kuna watu wanahudumu
 
Je Unaelewa maana ya sayansi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…