Kwa hiyo mlitaka kuchukua kila kombe Msimu ujao mnashuka daraja na conte wenu mtakuwa na transition mbaya sana kama leicister city.
Hahaha tatizo la Chelsea huwa wanaamini kuwa wao ni wakushinda kila game hawajui kuwa mpira ni dk 90, watulize vichwa mfumo wa conte ni mzuri na mpya kwa ligi ya uingereza anapaswa kuwa flexible saaanaaaaa, kuna UEFA ambayo unakutana na makocha bora wanaojua kubadilika (unpredictable). Kama Wenger anakusumbua ivi Sijui lakini huko tuendako anapaswa asajili baadhi ya wachezaji kukiongezea nguvu kikosi. Arsenal huyu alipigwa 5in 5out na Beyern tusijevunja rekodi yao!
 
Tusimlaumu wacheza wala kocha kwa upande wangu. Kombe halikuwa letu ,Basi. Kilichouma zaidi ni lile goli la pili, kwani wachezi ndo walikuwa wametoka kushangilia hawajasettle. Kombe la heshima tunalo, tusianze kupeana lawama. Muda kama huu wanabluuz tunatakiwa tuconcentrate ni jinsi gani tutachukuwa uefa.
 
Hahaha tatizo la Chelsea huwa wanaamini kuwa wao ni wakushinda kila game hawajui kuwa mpira ni dk 90, watulize vichwa mfumo wa conte ni mzuri na mpya kwa ligi ya uingereza anapaswa kuwa flexible saaanaaaaa, kuna UEFA ambayo unakutana na makocha bora wanaojua kubadilika (unpredictable). Kama Wenger anakusumbua ivi Sijui lakini huko tuendako anapaswa asajili baadhi ya wachezaji kukiongezea nguvu kikosi. Arsenal huyu alipigwa 5in 5out na Beyern tusijevunja rekodi yao!

Kwa mpira walioupiga jana Arsenal, hata Bayern angekaa. Jana washika bunduki walitakata bana, speed, pace, pass accuracy yaani hadi niliona kama mpira umechezwa nusu saa tu.
 
Nifah tumesajili mwanajangwani mpya toka Nairobi anaitwa MK254 na anasema anajiandaa kuja dar july 13 kucheki game ya mabingwa watarajiwa wa kombe la Sport Pesa yaan Yanga dhidi ya Everton toka liverpool england.
 
Namkaribisha sana mkuu, panapo uzima nami nitakuwemo uwanjani.
 
Mm sijaumia sana kama 2008 na 2009 champions league yaani sitasahau, maana tulicheza vizuri tukaambulia patupu seMbuse hiyo FA cup tuliyotia aibu!!!

Cha msingi ni usajili tuu basi no Any other way to be better next season
 
18768415_10155531194017259_9002100296931189168_o.jpg

hivi hamna award nyingine angalau akapewa Azpilicueta.
 
Ukimnyima zawadi hazard hata ya kwenye club wakati huu ndo ulikuwa miongoni mwa misimu bora kwake utakuwa unatafuta mengine, maana inasemekana hazard ana nyodo kinomaa

Nimesoma habari jana goal.com, lampard kwa mdomo wake anasema miongoni mwa vichwa vigumu ku-control ni hazard na akasema kipindi cha january kidogo wakosane na conte

Sasa jikute unamnyima zawadi yoyote kama hajasain madrid!!

Nikukumbushe tuu msimu uliopita, baada ya kuwafunga spurs lile goal la kuamua ubingwa weekend iliyofuata akapewa zawadi ya goal bora la mwaka la club wakati willian alikuwa na freekick ya soton na d'kieve zote zilistahili

So dont mess up with hazard!!! Ndo super star wetu lazima tubembeleze kama madrid kwa ronaldo au barca kwa messi though kwa mimi not only azip even pedro and luis did the best
 
Mambo kama haya huwezi kuyakuta Man Utd. Hakuna mchezaji mkubwa kuliko club.
 
Back
Top Bottom