Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tusilalamike. Mara nyingi comments ambazo hazina uhalisia (unrealistic) zikipingwa anayepinga anaonekana mbishi. Ushabiki na mahaba yaliyopindukia hupelekea mtu kubeza timu pinzani pasipo kuzingatia kwamba matokeo ya mpira ni dakika 90+ na yeyote anaweza kufungwa. Comments nyingi humu kuhusu game ya leo ziliipa Chel nafasi ya kuifunga Ars eti kwa vile hawana beki (sababu nyepesi)! Hata kama tukishinda game hii haitakuwa rahisi kivile kama baadhi walivyodhani.

NARUDIA KUSEMA TENA:

Ninaheshimu sana London derbies. Pia ni mara chache sana Chelsea hushinda kirahisi London derbies hata kama angekuwa anacheza na QPR, Fulham, etc!

Mkuu ni kweli kabisa, kila mtu aliipa Chelsea ushindi, hata mimi mmoja wao. Ila nashangaa Chelsick wamekula maharage ya wapi sijui. Wenger lazima alimpigia simu Mourinho kumuomba u.
 
Hakuna siku tumecheza ujinga kama leo
Kipa bure
Costa bure
Kati kati ndo kabisaaaaa
Moses ujinga tupu
Alonso hakuonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom