Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unakumbuka kuna game moja tulikwenda Kwa LFC mabeki wazoefu kina terry Na baadhi ya viungo Wa kati walikua majeruhi ikabidi acheze dogo mmoja anaitwa Thomas Kalas? Unakumbumbuka vzr Suarez alivyowekwa mfukoni Na huyo dogo? Dogo alicheza vzr sn mpk kesho ninamlaumu Jose Mourinho kwanini alimtoa Kwa mkopo?

Kwa kawaida first 11 hua ni selection ya kocha tu lkn team km team lazima ijengwe Na wachezaji Zaidi ya 20. Na hao ambao hawapangwi Mara Kwa Mara siku wakipata nafasi kucheza lazima wathibigishe ubora wao kwamba kwanini wako hapo km team Na wanapokea mshahara.....

Ktk mabeki chelsea wako Na Luiz, Cahill, Azpilicueta, Alonso, Moses, Ivanovic, Zouma, Ola Aina Na babu Terry. Tuna mabeki 9. Na kuna wageni wanaweza kucheza karibu sehemu zote za hapo nyuma.

Kwa mfano Azpilicueta, huyu anacheza beki za pembeni zote. Km Alonso anaumia Basi huyu ni kuswitch tu. Km Azpilicueta anaumia Basi Ivanovic atasimama sehemu Yake ya kati au Kurt Zouma Na Moses atabaki full back right. Kumbuka huyu Zouma ni full back right mzuri sn. Pia tuko Na ola Aina huyu ni CB Na full back right. Kwa muktadha huu hakuna shaka kabisa ata tukipata majeruhi
Hofu yangu ni kama kazi kubwa anayoifanya aspilicueta itafanywa sawasawa na wengine watakaochukua nafasi
Hivyo hivyo kwa davd luiz
Ni kama ambavyo siamini mtu atakaechukua nafasi ya costa atafanya kwa ufasaha kazi ile ile anayoifanya diego costa
Katika sehemu ambayo sina shaka napo ni kwenye kiungo lakini sehemu zingine zinanitia mashaka
 
Mkuu akija james itakua afadhari maana washambuliaji wetu wengi wanatumia mguu wa kulia mara nyingi lakini james ni kushoto so ataongeza vitu fulani hasa cross sahihi pamoja na magoli ya kuzungusha kwa mashoto ninamsubiri sana kiukweli
Mkuu unapokuwa na timu yenye costa, james na hazard kwa pamoja wala usijali unajua piga ua timu lazima ishinde maana huyu james ana udambwidambwi wa kufunga magoli fulani yale magoli oscar aliyowafunga juventus kwake ni jambo la kawaida.Huyu ni mchezaji ambaye chelsea tulikuwa tunamkosa hasa ktk ufungaji, timu yetu inawategemea sana costa na hazard ktk ufungaji tukimpata na huyu basi next UEFA champion tutakuwa title contender
 
Karibu mkuu, ulipotea sana kwenye hili jukwaa. Ulikua unaonekana tu kwenye mada za "zanzibar". Welcome back we're at the top of EPL.
kwa nini umechagua mada za "zanzibar" tu?
Hii inaonesha kwamba husomi michango yangu yote, kwenye majukwaa mengine na mada zisizo za "Zanzibar".
Nilichangia kama wadau wengine walivyofanya kulaani ubakaji wa demokrasia uliofanywa na CCM kwenye uchaguzi mkuu wa oktoba 2015 kule zanzibar. Wewe ulifurahia na bado unafurahia ubakaji wa demokrasia sio kwa zanzibar tu, vilevile unafurahia upinzani kutumbuliwa hapa Danganyika. Elewa Mungu anaweka "kitabu/ (kumbukumbu za)" cha kila mmoja wetu na siku ikifika utakabidhiwa ili ukisome, ujisomee kile ulichotenda na kusema.

Aliye juu, ............ chini. Kama upo at the top of EPL.

Mkiwa juu mnataka tuje, mkipewa kipigo mtatufukuza na kututaka twende "kwenye majukwaa yetu".

Vizuri furahi na cheka leo wakati huo huo weka akiba ya hasira na machozi utayahitaji karibuni.
 
Nonda anaogopa ushabiki wa Yokohama kama ukoma.
Ni wewe uliniomba nimpunguzie dose ya "mkaanga sumu" na nimpe mapumziko. Siku hizi nimempa muda afurahi, ajipe matumaini ya ubingwa lakini Yokohama atachezea vipigo mfululizo baada ya X-mas.
Hapo Ntuzu atanitafuta nimpatie uchambuzi wa kitaalamu wa tik tak, one touch, goal.
Nakuaminia hahaha atafurahiii!! Ntuzu usikimbie jukwaa tu...
 
hapo umepuyanga mkuu........... mi james namwona wakawaida sanaaa, kw griezmann yenyewe anaingia mara 10" ndio useme hazard!!!!
James hajapewa nafasi acheze pale madrid hivyo kutokana nakutocheza ni sahihi ulivyosema ila kama umenisoma between line nimesema hivi huyo kijana akiendana na ligi ya epl muda si mrefu tutamsahau hazard hili sina shaka nalo
 
niwatakieni heri ya christmass na mwaka mpya fans wote wa chelsea pamoja na familia zenu katika jukwaa hili, ni jambo la kushangaa kwani msimu uliopita wa sikukuu tulikuwa tunaelekea kushuka daraja lakini kwa mapenzi ya mola msimu huu wa sikukuu tuko nafasi ya kwanza. Hivyo shukrani ziende kwa Maanani kwani aliona machungu tuliyokuwa nayo msimu uliopita na hasa msimu wa sikukuu hivyo msimu huu ameona nasi tufurahi kwa timu yetu kufanya vizuri tena kwa kushinda mechi 11 mfululizo ni jambo la kustaajabisha
 
niwatakieni heri ya christmass na mwaka mpya fans wote wa chelsea pamoja na familia zenu katika jukwaa hili, ni jambo la kushangaa kwani msimu uliopita wa sikukuu tulikuwa tunaelekea kushuka daraja lakini kwa mapenzi ya mola msimu huu wa sikukuu tuko nafasi ya kwanza. Hivyo shukrani ziende kwa Maanani kwani aliona machungu tuliyokuwa nayo msimu uliopita na hasa msimu wa sikukuu hivyo msimu huu ameona nasi tufurahi kwa timu yetu kufanya vizuri tena kwa kushinda mechi 11 mfululizo ni jambo la kustaajabisha
Na kwako pia mkuu. Mim tayari nimeishaandaa mbuzi wawili kabisa moja ya kukompasate machungu ya mwaka jana.
 
Wana blues jioni ikojee....mi nipo naburudika na Mr ibu and his son ...anapenda Chelsea mpaka bhasiiiiii....'chelseafc movie'
 
James hajapewa nafasi acheze pale madrid hivyo kutokana nakutocheza ni sahihi ulivyosema ila kama umenisoma between line nimesema hivi huyo kijana akiendana na ligi ya epl muda si mrefu tutamsahau hazard hili sina shaka nalo
ngoja tuone" ila hapo kw kumsahau hazard hapo...... ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom