Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
nime miss kumuona Luiz akishangilia goli alilofunga mwenyewe
Wakuu Mimi sina hofu yoyote kwasababu mchezaji yoyote ambae yuko hapo Kwa chelsea ni silaha ya maangamizi so tulieni muone hao Bournemouth wanavyopigwa on boxing day.....ila kwa sasa mkuu ngoja imani tumpe bashuai hakuna jinsi ili mchukue ubingwa ni lazima uvuke mabonde na milima kumbuka msimu huu huu tuliwahi shika nafasi ya 8 hapo anayeongoza akitushinda point 8 hivyo uvumilivu unahitajika sana
Kiukweli kuna baadhi ya wachezaji wakiumia au kuwa na kadi itatugarimu
Wachezaji hao ni aspilicueta huyu sijui mbadala atakuwa nani maana hatuna mtu mwenye uzoefu pale kama ilivyo aspilicueta
Mwingine ni alonso huyu jamaa ana uwezo mkubwa mno wa kupanda na kushuka sijui akiumia au akapata kadi ni yupi mzoefu atakaechukua nafasi yake ndio maana nilisema team inahitaji beki mmoja mshambuliaji wa kiwango cha juu na kiungo wa kati mmoja ili team isiyumbe hii ni kazi ya conte january
Mzee wa mind the gap umekuja kwa speed .....hiii nimeiingiza kwenye hansard za jukwaa hili la sport.Hatunaga tabia ya kutoka pale juu tukikaaga..
KTBFFH
Sio hivi sasa, ni siku zote. Sema wewe hukujua tu. "Habari unazo dada".Hivi sasahivi umekuwa Chelsea aiseeeee!!! sikulijua hili.... Ntuzu mbona hujaniambia hizi habari?
EPL ina team mbili ambazo zikikaa kileleni na harufu ya ubingwa ikinukia hata kwa Bomu hawatoki Nazo ni Chelsea & man uHatunaga tabia ya kutoka pale juu tukikaaga..
KTBFFH
james ni habari nyingine mdaukiwango cha james na oscar vinafanana mimi hapo sijaelewa hataaaa
Nonda hawezi kuwa na mahaba na mafiaso. Mafiaso wa kirusi ,amekutana na mafiaso wa kitaliano.huyu mdau hapo mwanzo nami alanichanganya nadhani umechanganya nonda na nando ni member wawili tofauti
Nonda anaogopa ushabiki wa Yokohama kama ukoma.Aiseeeee kweli nimemix madesaaa!!!.... yule ni Nonda!!!
haha,vipi lakini ligi unaionaje top four unaipangaje?Nonda hawezi kuwa na mahaba na mafiaso. Mafiaso wa kirusi ,amekutana na mafiaso wa kitaliano.
Nando alikuja kubabaisha wadau ,alianza na michango kwenye jukwaa la siasa na alipoona nilikuwa namsalimu sana bandugu Ntuzu (muuza sandarusi) ndio alijileta huku kama Mdau wa daraja bovu.
sina tatizo na kukataa kwako na sio kosa lako,yule james hajapewa nafasi pale madrid ndiyo maana hujapata nafasi ya kumuona. Chelsea tunakosa mtu kama yule ktk kufunga magoli nje ya 18 na goli alilofunga pedro juzi hapa likashinda goli la mwezi kwa jems yale magoli ni ya kawaida. Maombi yangu kila siku dili lake litimienitakataa mpakanife
Mkuu linakarbia kutimia, saizi yupo nchini kwao-colombia kuhangaikia UK VISA, soon utamuona stamford bridge. Na atauza sana jazz+ubunifu aliokuwa nao. Tutatisha zaidi next year.sina tatizo na kukataa kwako na sio kosa lako,yule james hajapewa nafasi pale madrid ndiyo maana hujapata nafasi ya kumuona. Chelsea tunakosa mtu kama yule ktk kufunga magoli nje ya 18 na goli alilofunga pedro juzi hapa likashinda goli la mwezi kwa jems yale magoli ni ya kawaida. Maombi yangu kila siku dili lake litimie