eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Hofu yangu ni kama kazi kubwa anayoifanya aspilicueta itafanywa sawasawa na wengine watakaochukua nafasiUnakumbuka kuna game moja tulikwenda Kwa LFC mabeki wazoefu kina terry Na baadhi ya viungo Wa kati walikua majeruhi ikabidi acheze dogo mmoja anaitwa Thomas Kalas? Unakumbumbuka vzr Suarez alivyowekwa mfukoni Na huyo dogo? Dogo alicheza vzr sn mpk kesho ninamlaumu Jose Mourinho kwanini alimtoa Kwa mkopo?
Kwa kawaida first 11 hua ni selection ya kocha tu lkn team km team lazima ijengwe Na wachezaji Zaidi ya 20. Na hao ambao hawapangwi Mara Kwa Mara siku wakipata nafasi kucheza lazima wathibigishe ubora wao kwamba kwanini wako hapo km team Na wanapokea mshahara.....
Ktk mabeki chelsea wako Na Luiz, Cahill, Azpilicueta, Alonso, Moses, Ivanovic, Zouma, Ola Aina Na babu Terry. Tuna mabeki 9. Na kuna wageni wanaweza kucheza karibu sehemu zote za hapo nyuma.
Kwa mfano Azpilicueta, huyu anacheza beki za pembeni zote. Km Alonso anaumia Basi huyu ni kuswitch tu. Km Azpilicueta anaumia Basi Ivanovic atasimama sehemu Yake ya kati au Kurt Zouma Na Moses atabaki full back right. Kumbuka huyu Zouma ni full back right mzuri sn. Pia tuko Na ola Aina huyu ni CB Na full back right. Kwa muktadha huu hakuna shaka kabisa ata tukipata majeruhi
Hivyo hivyo kwa davd luiz
Ni kama ambavyo siamini mtu atakaechukua nafasi ya costa atafanya kwa ufasaha kazi ile ile anayoifanya diego costa
Katika sehemu ambayo sina shaka napo ni kwenye kiungo lakini sehemu zingine zinanitia mashaka