Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

15626461_10155023567297259_576577525307750061_o.jpg

Chelsea Football Club and Shanghai SIPG have agreed
terms for the permanent transfer of Oscar.
 
15626461_10155023567297259_576577525307750061_o.jpg

Chelsea Football Club and Shanghai SIPG have agreed
terms for the permanent transfer of Oscar.
Nimeumia sana oscar kuondoka ingawa kwa dau lile isingekuwa rahisi chelsea kulikataa, i wish him all the best.
Anaanza kula pensheni akiwa na umri mdogo tu wa miaka 25.
KTBFFH
 
Nimeumia sana oscar kuondoka ingawa kwa dau lile isingekuwa rahisi chelsea kulikataa, i wish him all the best.
Anaanza kula pensheni akiwa na umri mdogo tu wa miaka 25.
KTBFFH
Brazil wana ficha umri kama Afrika tu
Oscar ni zaidi ya 30 yule
Diego Costa ana 40+
 
Nimeumia sana oscar kuondoka ingawa kwa dau lile isingekuwa rahisi chelsea kulikataa, i wish him all the best.
Anaanza kula pensheni akiwa na umri mdogo tu wa miaka 25.
KTBFFH

Kusema ukweli Oscar alishakosa Nafasi pale ndani ya first 11, kocha alijitahidi sana kumpa nafasi lakini ameshindwa kuonyesha uwezo wake ni tofauti sana na Fabregas ambaye sasa anamchanganya kocha, kwani mwanzo kocha alisema Fabre haendani na mfumo wake, lakini alivyompa nafasi ameonyesha maajabu makubwa sana

Sijaumia kwa Oscar kuondoka
 
niwatakieni heri ya christmass na mwaka mpya fans wote wa chelsea pamoja na familia zenu katika jukwaa hili, ni jambo la kushangaa kwani msimu uliopita wa sikukuu tulikuwa tunaelekea kushuka daraja lakini kwa mapenzi ya mola msimu huu wa sikukuu tuko nafasi ya kwanza. Hivyo shukrani ziende kwa Maanani kwani aliona machungu tuliyokuwa nayo msimu uliopita na hasa msimu wa sikukuu hivyo msimu huu ameona nasi tufurahi kwa timu yetu kufanya vizuri tena kwa kushinda mechi 11 mfululizo ni jambo la kustaajabisha

Na wewe pia mkuu, tunakula xmass meno yote nje, na tarehe 26/12 tunapata zawadi ya goli nyingi mno
 
Naandika sana hapa mbona?
Nyie mmetangulia kwa baiskeli ya miti
MAJOGOO ndiyo mabingwa mwaka huu
hata Ntuzu na Mentor na kalou wanajua

Kaka mbona unajipa sononeko la moyo bila sababu za msingi?, kwa nini unajitesa? Nyie ndio kila siku mnabet na hamjawahi kupata chochote kwa sababu unabet kwa mahaba na sio uhalia

Pole kaka naona unakula, xmass kwa sononeko kuu
 
Kusema ukweli Oscar alishakosa Nafasi pale ndani ya first 11, kocha alijitahidi sana kumpa nafasi lakini ameshindwa kuonyesha uwezo wake ni tofauti sana na Fabregas ambaye sasa anamchanganya kocha, kwani mwanzo kocha alisema Fabre haendani na mfumo wake, lakini alivyompa nafasi ameonyesha maajabu makubwa sana

Sijaumia kwa Oscar kuondoka
Sahihi kabisa mkuu

Mkuu ata mimi sasaivi Faby ananichanganya kabisa maana japokua anapewa muda mdogo kucheza jamaa anafanya vitu vikubwa haswa

Alipewa full time siku Ile na Man City alifanya vitu vya ajabu sn huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom