ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Timu aliiharibu domo-kaya Mou. Aliwasifia uhuni wao kwenye media na kusema ndivyo inavyotakiwa wacheze.link 1. Jose Mourinho leaps to Diego Costa's defence after Chelsea win
2. Eden Hazard sidelined until defending improves, says Jose Mourinho
3. Fabregas not one of the Chelsea players trying to get Mourinho sacked
Kilichoharibu Yokohama ni mbinu za ku-park bus za Mou na kufanya mpira wa miguu kuwa ni mieleka, rugby na karate. Mou pia aliamua kufanya ze comedy na majisifu kwenye media ya UK. hizo kitu 2 ndio ziliivurunda Chelsea. Upepo ulipogeuka Media nazo zikaamua kumyonga bila kumvisha kitambaa cheusi machoni.
Costa ni mfungaji wa uhakika, apunguze ubabe na uhuni tu.
Fabregas ni mtoa pasi za uhakika.
Hazard ni confidence issue tu, ataibuka tena.
Pole kwa kipigo cha mbwa mwizi kutoka Watford.