The boss, nimekudondokea!

The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Kuna vitu viwili huwa najiuliza sana nikifa ntaviachaje!!! moja ni JF na pili mpira wa miguu kumbe sijawahi kukosea..ntavimiss sana siku mauti yakinifika...
 
Kwa wadada, kama kuna niliyemkwaza pole, mlikuwa naye humu humu siku zote, mie nimeshindwa kabisa kujizuia. Kama kuna aliyekuwa anampimia teh teh teh, ajifunze kusema mapema.

na wale walokuwa wanakuzengea wewe kongosho vipi sasa?
Utawafikiria tena, au ndo basi unaondoka na the boss?
 
The Boss bwana dah! unazunguuuka! toa majibu mtoto afurahi.
kudadeki wengine hatuna bahati, ningekuwa mimi hapo........
sipati picha.
 
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.

Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.

Mmmh!! Haya TB kazi kwako...
 
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.

Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.

Wewe umempenda the boss au avatar yake?
 
Hahahahahahahahah,

Nisije ambia mimi ni babu mkuda....Hongera sana mdogo wangu...Usimuangushe mjukuu wangu labda kama utakuta hakuna njia...Naamini hutasikia vijineno vya akina David (Cameron)!!
david cameron - Tafuta na Google

Heri yetu ambao meno yote yalishapukutika!!

Babu DC (1947)!
 
mkuu hongera yako ina umuhimu wa pekee lol
karibu sana
 
Hahahahahahahahah,

Nisije ambia mimi ni babu mkuda....Hongera sana mdogo wangu...Usimuangushe mjukuu wangu labda kama utakuta hakuna njia...Naamini hutasikia vijineno vya akina David (Cameron)!!
david cameron - Tafuta na Google

Heri yetu ambao meno yote yalishapukutika!!

Babu DC (1947)!
Pole kwa uzee, ila usijali maini ya ng'ombe mzee hayatupwi, mazuri sana kwa supu ya alfajiri.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom