The boss, nimekudondokea!

The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
mkuu hongera yako ina umuhimu wa pekee lol
karibu sana

Ahsante sana Mkuu,

Ki ukweli nimelimiss sana hili jukwaa tukufu...Ni kama vile dunia yangu ilisimama kwa 2/52!!!!

Inafurahisha sana kuona kwamba bado wajukuu wanadunda na wanacheza kidari poa, ready, kuruka kamba na mengine!!

Pamoja sana,

Babu DC (1947)!!
 
Pole kwa uzee, ila usijali maini ya ng'ombe mzee hayatupwi, mazuri sana kwa supu ya alfajiri.

May be....And yes...May be,

Ngoja nisubiri siku ambayo ma Brother Rev Masa atauona mwezi...ndiyo nitaamini kuwa kweli kila shetani ana mbuyu wake!

Babu DC (1947)!!
 
Ahsante sana Mkuu,

Ki ukweli nimelimiss sana hili jukwaa tukufu...Ni kama vile dunia yangu ilisimama kwa 2/52!!!!

Inafurahisha sana kuona kwamba bado wajukuu wanadunda na wanacheza kidari poa, ready, kuruka kamba na mengine!!

Pamoja sana,

Babu DC (1947)!!

kidali po sio????lol.....
 
The Boss,

Nenda kalale basi, upate nafasi ya kuuota huu ujio....Naona toka nyota ikudondokee hujalala!

Ila ukiamka ukumbuke ku-declare kwa bibie mpya kwamba zile guidelines huziweki kwenye matendo!!!

Babu DC (1947)!
 
Avatar inakuja saa hii hii. Mambo ya jina la kiume mara la kike, jamani mbona mmaniundia zengwe? Mmetumwa na nani? Mko kambi ya nani? Mshanunuliwa mara hii? Time frame yetu ni 2015 au hadi TB atakapo-isainisha mkataba wa maridhiano kambi moja? Definitely yangu inaongoza hadi saa hii.
Mtaninyang'anya kadi bure, jamani magamba wabaya hadi kwenye Makopa

Wamenunuliwa na magazeti ya udaku hao,wewe kaza buti achana nao...lol
 
The Boss,

Nenda kalale basi, upate nafasi ya kuuota huu ujio....Naona toka nyota ikudondokee hujalala!

Ila ukiamka ukumbuke ku-declare kwa bibie mpya kwamba zile guidelines huziweki kwenye matendo!!!

Babu DC (1947)!

Lol....anapanga mkakati,usilale TB tukeshe wote. DC hiyo ni ngekewa ndugu yangu au na wewe unaiwinda?
Nakuombea bahati ya mtende ikudondokee......
 
Mi mzima ndugu yangu hofu kwako.....naona leo tutakesha wote:tongue:
 
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.

Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.
M-PM au uko kazini?
 
Lol....anapanga mkakati,usilale TB tukeshe wote. DC hiyo ni ngekewa ndugu yangu au na wewe unaiwinda?
Nakuombea bahati ya mtende ikudondokee......

Mama Tuli,

Muda ukishapita umepita ndugu yangu...Hata kama ningeipata hiyo ngekewa, sitaimudu...Nitakuwa naendekeza njaa ya macho tu!!

Mwenzio nilishakubali yaishe...Meno ndo hivyo, kwa hiyo ni zamu ya wenye meno...Kama sikushiba enzi hizo haitasaidia kitu kuhanja hanja na mvi hizi!!

Muendeleage tu ila msiumizane, sawa mama!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom