The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Mkuu ukitaka wakuPM anzisha sredi ya "nyumba ndogo" tu watakumind kichizi. (na hii ndio siri ya mafanikio ya The Boss)
umefanya nicheke kama mwehu usiku huu lol
Mkuu ukitaka wakuPM anzisha sredi ya "nyumba ndogo" tu watakumind kichizi. (na hii ndio siri ya mafanikio ya The Boss)
Nitakuwa na kijembe foldable na gloves za Burberry maalum kwa kazi ile! Customized
umeona eeh! watu walijifanya kutoka kipovu, maadili yamevunjwa kumbe hakuna maadili wala mchumbaake maadili.Lawyer nimestukiaBoss mkali....yaani ile thread yote ilikuwa gear tu za kuinua soko lake.
Sasa anajifaidia
Mkuu ukitaka wakuPM anzisha sredi ya "nyumba ndogo" tu watakumind kichizi. (na hii ndio siri ya mafanikio ya The Boss)
umeona eeh! watu walijifanya kutoka kipovu, maadili yamevunjwa kumbe hakuna maadili wala mchumbaake maadili.Lawyer nimestukia
Boss alikuwa anawacheza watu shere, mimi nilistukia nikasepa fasta. Hata ushahidi skuutaka
Maana akina mama walikuja juu utasema Boss ndo anawapa kijio!
halafu 'lawyer 'unazembea kazi aisee
kuna member jumla wa nne sasa wamejaribu 'kuiiba' ile thread ya nyumba ndogo
bila paw sijui ningekuwaje....nashangaa lawyer huchukui hatua
leo mmoja anajiita Globu nae kaja nayo tena
tutapoteza pesa za 'copyrights 'aisee
ha ha ha wewe..
usije niweka ignore list tu lol
Mkuu ukitaka wakuPM anzisha sredi ya "nyumba ndogo" tu watakumind kichizi. (na hii ndio siri ya mafanikio ya The Boss)
halafu 'lawyer 'unazembea kazi aisee
kuna member jumla wa nne sasa wamejaribu 'kuiiba' ile thread ya nyumba ndogo
bila paw sijui ningekuwaje....nashangaa lawyer huchukui hatua
leo mmoja anajiita Globu nae kaja nayo tena
tutapoteza pesa za 'copyrights 'aisee
lawyer kakimbia naona....lol
huyu lawyer huyu.....anaweza fanya 'mapinduzi'.....simuoni lol
Fungukeni wanawake!
Yaani kongosho kaonyesha njia! Ngoja nikamfungukie mtu,manake nimegumumia hadi moyo una majipu sasa!
ninakukabidhi rasmi Kongosho
umfundishe mistari yenyewe lol
btw..uliona ile thread ya ujenzi?hukunijibu lol
Hahahahaha lol! Kumbe mko wengi mnaoumia mioyo yenu huku mmekula kobisi ....haya banaaa kila la heri King'asti ya nini kujitesa roho bure!!!!