The boss, nimekudondokea!

The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Kaazi kweli kweli...mwendo ni kudondokeana tu!!
Tangawizi nae... yani kaenda kupekua archives na kuifukua thread ya watu ya mwaka jana, alafu anajifanya kushangaa as if kaionna tu kwa bahati mbaya!
 
Hivi nania anaamsha haya maruhani jamani
Naomba shekhe aje achome ubani

I hate you Lizzy, with my very own sol.
 
Sometimes I wonder where all this lead us to! We are going somewhere but not so sure exactly...what I know it must be to a peaceful place, lol!
 
Hivi nania anaamsha haya maruhani jamani
Naomba shekhe aje achome ubani

I hate you Lizzy, with my very own sol.
Mbona hata sio Lizzy? ni Tangawizi! yeye ndie wa kwanza kupost jana!
 
Kongosho ulisomaga 'novel' ya salamu kutoka kuzimu by Jerry Kiango (if I'm correct, manake niliisoma nikiwa std 5,lol).
Itafute, murua sana
 
Huyu tangawizi nampikia chai sasa hivi, afu nampa Lizzy anywe

Lizzy, sorry kwa kuluuzia kesi. You know deep down, i like you a lot.
:hug:

Mbona hata sio Lizzy? ni Tangawizi! yeye ndie wa kwanza kupost jana!
 
natamani uweke kwa kiswahili hii aisee lol

Boss ningetamani ila lugha yangu ya kuungaunga sitaweza sana. Bahati mbaya sina lugha ninayoijua kwa ufasaha! Hata hivyo, Its awesome to read what people contribute in some of the threads here. Kuna watu wanaporomosha michango yao mizuri kweli ambayo inatufanya tunafurahi na kusahau inflation rate inayofikia 20% sasa hivi, bila kutuchokoza wala kutudharau au kututukana wale wanaotuhisi ndio sisi au hawatujui kabisa. Kaazi ipo sio mchezo.
 
Ndahani, nimewahi kukukosea?
Au kukuudhi?
Why all this?
Hizi tamathali za semi na nahau za nini?
All my friends are quite, and you should be one of them.
Sometimes I wonder where all this lead us to! We are going somewhere but not so sure exactly...what I know it must be to a peaceful place, lol!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom