The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Ndahani, nimewahi kukukosea?
Au kukuudhi?
Why all this?
Hizi tamathali za semi na nahau za nini?
All my friends are quite, and you should be one of them.

With due respect, hujawahi kunikosea...ila nimeipenda hii thread kweli sijui kwanini! Usihofu kupenda au kumdondokea mtu sio kosa la jinai. Limekaa kimahusiano zaidi
 
Ntaisoma, as long as daughter of a gun kapropose, itafanyiwa kazi.
Niazime bunduki, i want to shoot, in the air.
Kongosho ulisomaga 'novel' ya salamu kutoka kuzimu by Jerry Kiango (if I'm correct, manake niliisoma nikiwa std 5,lol).
Itafute, murua sana
 
Tangawizi nae... yani kaenda kupekua archives na kuifukua thread ya watu ya mwaka jana, alafu anajifanya kushangaa as if kaionna tu kwa bahati mbaya!

Mwali, we bado hujajua ya kale dhahabu? Mi nimefundishwa kujari yaliyopita ili kujipanga na yale yanayokuja. I like this Dude anayedondokewa kama hana akili nzuri, lol!
 
Tangawizi, I hate you with all my being.
Ungekuwa karibu ningeshakutwanga na kukupikia chai
Na hiyo chai ningeigawa kwenye ngoma ya binti kuchezwa.

Watch out, will shoot you anytime soon.
Mwali, we bado hujajua ya kale dhahabu? Mi nimefundishwa kujari yaliyopita ili kujipanga na yale yanayokuja. I like this Dude anayedondokewa kama hana akili nzuri, lol!
 
Mwali, we bado hujajua ya kale dhahabu? Mi nimefundishwa kujari yaliyopita ili kujipanga na yale yanayokuja. I like this Dude anayedondokewa kama hana akili nzuri, lol!
Umetumia neno la busara kutetea ujinga. Mambo ya The Boss na Kongosho yanakusaidiaje wewe kujipanga?
Kwa kweli hukufanya vizuri. Kama wenyewe hawasemi mi nasema (in the absence of Klorokwin my deskmate, I improvise myself JF lawyer)!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom