capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Moja ya sababu kwamimi kuwa member JF ilikuwa kupunguza upweke, nilitamani pia sana kuanza ku- socialize tena! Kuna wakati niliishi kama kisiwa, sikuwa na watu wa kuzungumza nao nikaukosa sana utani wa hapa na pale, tabasamu n.k.
Ikawa mimi na kazi, kazi na mimi!!
Ilinibidi kujifunza vitu vingi mbadala ilikupunguza upweke kama kucheza piano, guitar, online dancing classes na hobbies nyingine kadhaa ...
Sidhani kama kutakua na mtu hapa JF ako na hobbies niko nazo! Nimesafiri na kufanya mambo mengi ambayo najua ni wachache sana hapa JF wame experience in real life.
Nimejitahid saaana ila imefika hatua nashindwa kuelewa kwa nini nakosa furaha nayotaka. I have done every thing to make sure that I am not getting bored in life lakini wapi!
The thing is I don’t even recognize myself these days, or rather who I was back then. Kitu sijafanya ni ulevi (matumizi ya pombe, sigara na sampuri kama hii), Si utamaduni wangu na sitofanya.
Kiukweli napenda ninacho fanya hapa (kazi yangu) na pesa nzuri napata ila sifurahiii maisha yangu.
Ahsante kwa marafiki JF, na ile familia yangu ya UZI WA LIKES, nafurahia uwepo wenu na ninawapenda sana.
Nawatakieni weekend Njema!!