Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
MmmhhhPole mkuu.. Wapo wengi design yako humu ikiwemo mimi
MmmhhhPole mkuu.. Wapo wengi design yako humu ikiwemo mimi
Aitheee notedPole sana mkuu.. nadhani kwangu ndio mbaya zaidi.
But binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya wenzake hata kama yake yamemfika shingoni
Sasa kaka naona tusaidiane kujadili vipi tunaipata hiyo amani ya ndani ndani huko,ni njia zipi za kutumia kuhakikisha tunapata amani hiyo mkuu?
Teh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590][emoji3590]Wewe ukimpata mwanamke sahihi basi kwisha kazi, hicho naona ndicho ulichokosa.
Umeniongelea mimi mkuu, honestly niko hivyo usoni naonekana mwenye furaha sana kiasi kwamba jamii ya watu wanaonizunguka hutamani wakati mwingine kua kama mimi ila ndani yangu ni mwenye huzuni isiyo kawaida, wiki iliyopita nilikutana na binti mmoja mdogo kwangu ki umri akaniambia dada Karena natamani kua mwenye furaha na amani kama wewe nikikuangalia nakuona kama huna stress yani una furaha mpaka natamani... nilicheka tu ndani yangu nikasema laiti angejua asingetamani kuvaa viatu vyanguIt reach a time you have everything and you are succesful and soaciety figure they are proud of.But deep inside you are lonely person ever! I know this kind of life.
Pole sanaUmeniongelea mimi mkuu, honestly niko hivyo usoni naonekana mwenye furaha sana kiasi kwamba jamii ya watu wanaonizunguka hutamani wakati mwingine kua kama mimi ila ndani yangu ni mwenye huzuni isiyo kawaida, wiki iliyopita nilikutana na binti mmoja mdogo kwangu ki umri akaniambia dada Karena natamani kua mwenye furaha na amani kama wewe nikikuangalia nakuona kama huna stress yani una furaha mpaka natamani... nilicheka tu ndani yangu nikasema laiti angejua asingetamani kuvaa viatu vyangu
Asante sana mkuuPole sana
Baba bulebendi naona ujumbe umekugusa[emoji23][emoji23]Teh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590][emoji3590]
Ahsante DizayaNi kweli kabisa
Pole pia