The boring Life of Me

The boring Life of Me

Ulijifunza vipi Piano, guitor, dancing nataka nijifunze pia.

Ulinunua ukawa unapiga mwenyewe hadi ukajua au uliattend trainings?
 
Huwa unahisi ni sahihi ila sio.
Hii ni dawa sahihi, kupata the right person. Lakino shida hujitokeza. Mfano mimi siwezi kabisa attachments / commitments. Najia fika huyu ni mtu sahihi lakini ntampotezea tu after sometime
 
"Sidhani kama kuna mtu hapa JF ana Hobbies nyingi kuliko mimi,.. Nimesafiri na kufanya mambo mengi ambayo najua ni wachache sana hapa JF wame experience".

Sasa mkuu utajuaje kuhusu hili, hapa JF tupo members kibao wa kumwaga wenye hobbies tofauti.

Awali ya yoye "upende kujipenda", baada ya hapo wengine watakupenda na hata wasipokupenda hiyo ni juu yao.

Ridhika na wakati huo huo pambana na hali yako. Usijilinganishe na watu wengine.

Mshukuru Mungu kwa yote na kwamwe usiache kusali.
 
Wakati mwingine binadamu tunakuwa na machungu ndani ya mioyo yetu isiyoelezeka....hata uwe na hela kiasi gani, uwe na marafiki wengi, uwe na mwenza.....bado hatuwezi kukamilika.
Ukipita kwenye mitandao ya kijamii ukaona watu wanavyoteseka na magonjwa ya ajabu na yasiyotibika ndo utajiona kumbe unamjaribu Muumba.
Amani ya moyoni huipati kwa kupitia vitu au watu....inaanzia ndani yako hasa kwa kujipenda, kufurahi na kuridhika kwa kile ulichopewa na ulichonyimwa pia.
 
Hizo ni ujanja ujanja tu,sema tu unatafuta demu humu,kama unashindwa kutongoza unashindwa shauri yako.hakuna raha hapa duniani kama mwanamke.ukiwa na mwanamke hata kama huna ela unanrnepa mkuu.tafuta mtoto furaha utapata Ila siyo humu maana wengi wa humu ni wahuni tu.Ila ukiwa na pesa utawatafuna maana wanapenda pesa kama uhai
 
Kabla sijatianeno...
Kwanza nimesoma threads zako zote....
 
Mpoke yesu awe Bwana na mwokozi wako
Hiyo ni dalili ya kuishi maisha yasiyo kusudi la maisha yako
 
Back
Top Bottom