>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

Of course I appreciate the movie... na nilimkubali sana kwenye hiyo.

Niambie EMT?? Apart from Erin Brockovich na the Pelican Brief... Which other movie is she hard arse? I believe she has more than 50 movies na labda zaweza kua 5 kama hio if not less....lol

Mie nadhani ni bora ukawa na movie moja bomba sana ambayo watu watakukumbuka nayo than kuwa na movies kibao ambazo hata hazifahamiki. For her she will be remembered for Erin Brockovich. It is quality than quantity which matters to me. If it was not her looks especially the lips na uhusiano wake Pitt unadhani Angelina angejulikanana movies zake kama ilivyo sasa?
 
Sijawahi kuiona Manyema FC ikicheza mpira lakini ukweli ni kwamba haitandazi kabumbu kama Simba FC.

Hapa nina wasiwasi hata kukusindikiza sasa.

Naona nikupe siri..... Ukinipa mfano wowote unaendana na soccer hua sielewi kabisaaa.....lol

Wasi wasi wa kunisindikiza wapi pal?
 
Jolie has got crazy boy who runs her crazy! Lazima acheze movie zile ili mambo yaende. Otherwise music unachezea chumbani kama mimi nini maana utu uzima dawa. Watoto wasinione,lol

Ndahani she is a good wife and Great mom... hata mimi sikutegemea kua she would be that good.... Ingekua sio efforts zake in the marriage as a woman is supposed to be kweli ile ndoa isingekuwepo....lol

Hata watoto wasipokuwepo upo tu na mupenzi muzik lazima chumbani? lol
 
Naona nikupe siri..... Ukinipa mfano wowote unaendana na soccer hua sielewi kabisaaa.....lol
Haya mtu anaweza kuwa hajawashi kufika London lakini hatakataa kuwa Paris is more romantic japokuwa London inajifanya iko juu zaidi.

Wasi wasi wa kunisindikiza wapi pal?
Kama kusindikiza kwenyewe kutaishia private room na Angelina
 
Mie nadhani ni bora ukawa na movie moja bomba sana ambayo watu watakukumbuka nayo than kuwa na movies kibao ambazo hata hazifahamiki. For her she will be remembered for Erin Brockovich. It is quality than quantity which matters to me. If it was not her looks especially the lips na uhusiano wake Pitt unadhani Angelina angejulikanana movies zake kama ilivyo sasa?

Well if you remember well we compared the actresses on their dynamitism on acting different roles kitu ambacho kilinipelekea kuzungumzia kua Roberts is sweet... Hio movie ya Erin is one of her Best; but of coz the other movies role zake hua kama ziko the same... Pretty woman, American Sweat hearts, My Best friends wedding, Something to talk about, The runnaway bride... to mention but a few... ni roles ambazo ziko the same.

Nikija Jolie unapotaja kila movie... roles zake zinabadilika saana. Huwezi fananisha alivocheza kwenye Alexander, Salt, Beyong boders, Tomb Rider, Brave Heart, Challenging, Mr & Mrs Smith na nyingine nyiingi kama roles zake zimefanana. When we talk about Great movies... this dada has Great movies too... na movie zake alizo act ni chache kuliko Roberts....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ok ngoja leo nicheki vzr kabisa,ila mtt wakike mule naona kaji achiya sana kwa mchizi the way anavyotafunwa na mchizi dah!Mx

Kwa nini useme anatafunwa na hali wana tafunana? Alafu unajua the Original Sin ambayo ipo Tz imkua edited na sio Original? Original yenyewe kua sehemu zingine za sex scene utadhani unaangalia porn....
 
Haya mtu anaweza kuwa hajawashi kufika London lakini hatakataa kuwa Paris is more romantic japokuwa London inajifanya iko juu zaidi.

Kama kusindikiza kwenyewe kutaishia private room na Angelina

hahaha.... Sasa nimekupata aisee... Wafaransa wana haki ya kua na a Romantic city... after all smooch is originally a French kiss...lol... and all lovers love smooch.

Me I like watching... naweza basi nikakusindikiza wewe:wink2:
 
Kwa nini useme anatafunwa na hali wana tafunana? Alafu unajua the Original Sin ambayo ipo Tz imkua edited na sio Original? Original yenyewe kua sehemu zingine za sex scene utadhani unaangalia porn....
me nime cheki yenyewe kabisa ambayo awajachakachuwa yani ni noma jama spatucus hahahahahaha katisha,Mx
 
Well if you remember well we compared the actresses on their dynamitism on acting different roles kitu ambacho kilinipelekea kuzungumzia kua Roberts is sweet... Hio movie ya Erin is one of her Best; but of coz the other movies role zake hua kama ziko the same... Pretty woman, American Sweat hearts, My Best friends wedding, Something to talk about, The runnaway bride... to mention but a few... ni roles ambazo ziko the same.

Nikija Jolie unapotaja kila movie... roles zake zinabadilika saana. Huwezi fananisha alivocheza kwenye Alexander, Salt, Beyong boders, Tomb Rider, Brave Heart, Challenging, Mr & Mrs Smith na nyingine nyiingi kama roles zake zimefanana. When we talk about Great movies... this dada has Great movies too... na movie zake alizo act ni chache kuliko Roberts....

Leo nipo na wewe. Angie is the best.
AD am curious to know your top 10 actors and actress separately.....Hollywood of course not Bolywood
 
Ndahani she is a good wife and Great mom... hata mimi sikutegemea kua she would be that good.... Ingekua sio efforts zake in the marriage as a woman is supposed to be kweli ile ndoa isingekuwepo....lol

Hata watoto wasipokuwepo upo tu na mupenzi muzik lazima chumbani? lol

That is very true about how strong Jolie is as a mother. Namkubali sana pamoja na Salt yake,lol! Aaah ukicheza kweupe wataiga na kukuzidi halafu wataleta kesi. Watoto wenyewe hawa dakika kadhaa mbele!
 
Well if you remember well we compared the actresses on their dynamitism on acting different roles kitu ambacho kilinipelekea kuzungumzia kua Roberts is sweet... Hio movie ya Erin is one of her Best; but of coz the other movies role zake hua kama ziko the same... Pretty woman, American Sweat hearts, My Best friends wedding, Something to talk about, The runnaway bride... to mention but a few... ni roles ambazo ziko the same.

Nikija Jolie unapotaja kila movie... roles zake zinabadilika saana. Huwezi fananisha alivocheza kwenye Alexander, Salt, Beyong boders, Tomb Rider, Brave Heart, Challenging, Mr & Mrs Smith na nyingine nyiingi kama roles zake zimefanana. When we talk about Great movies... this dada has Great movies too... na movie zake alizo act ni chache kuliko Roberts....

&#8203;Bado hujani-convince kuwa Angelina is a great actress rather than just a pretty face. Wakati mwingine huwa nadhani anakuwa picked sio kutokana na her talents but her beauty really. Kitu kingine kinchomsadia Angelina ni kwamba she is very aware na na matatizo ya dunia na akiwa nje ya kazi zake ni ambassadors mzuri in international relations. I give her credit for that. I have heard she has a great personality as well. Ukiwa na hayo lazima yatakuongezea plus kwenye kazi zako.

Nakubali kweli movies zake haja-stick kwenye one area. Lakini kumbuka yeye sio actress kama baadhi ya wengine. Amesomea hayo mambo. Ana right gens for it pia. Nasikia hata wazazi wake walikuwa wana act as well. Sasa unapokuwa kwenye mazingira kama hayo na ukiyatumia effectively watu wata-appreciate but that would not necessarily mean that you're the best in the game. Naamini hata yeye hatasema she is the best.
 
Leo nipo na wewe. Angie is the best.
AD am curious to know your top 10 actors and actress separately.....Hollywood of course not Bolywood

Zion D... I am impressed dear.. haki tena usingesema ningekuchanganyia na wahindi humo...lol

Nimeshindwa wa grade tokana na ninavowapenda... Nimeweka woote niwapendao kwa list ya 15, na hapo namba usizingatie....

Men

  1. Bruce Willis
  2. Sean Connery
  3. John Travolta
  4. Denzel Washington
  5. Tom Cruize
  6. Johnny Deep
  7. Leonardo Decaprio
  8. Gerald Burtler
  9. George Clooney
  10. Slyvester Stallone
  11. Pierce Bronsman
  12. Nicholas cage
  13. Alpacino
  14. Antonio Banderas
  15. Brad Pitt.

Women

  1. Angelina Jolie
  2. Penelope Cruz
  3. Sharone Stone
  4. Helle Berry
  5. Tharndie Newton
  6. Julia Roberts
  7. Urma Thurman
  8. Salma Hyke
  9. Meg Ryan
  10. Reese Witherspoon
  11. Catherine Zeta Jones
  12. Cameron Diaz
  13. Kate Winslet
  14. Eva Mendes
  15. Yule mama mtu mzima kacheza ile "The Devil wears Prada"
 
That is very true about how strong Jolie is as a mother. Namkubali sana pamoja na Salt yake,lol! Aaah ukicheza kweupe wataiga na kukuzidi halafu wataleta kesi. Watoto wenyewe hawa dakika kadhaa mbele!

hahaha.... inaelekea wewe ni baba muoga na huweki risks kabisaa kwa wanao....lol
 
&#8203;Bado hujani-convince kuwa Angelina is a great actress rather than just a pretty face. Wakati mwingine huwa nadhani anakuwa picked sio kutokana na her talents but her beauty really. Kitu kingine kinchomsadia Angelina ni kwamba she is very aware na na matatizo ya dunia na akiwa nje ya kazi zake ni ambassadors mzuri in international relations. I give her credit for that. I have heard she has a great personality as well. Ukiwa na hayo lazima yatakuongezea plus kwenye kazi zako..

You know why I can not convince you? It is because hapa hatujajibishana kwa facts... tungeweza bishana kama tungebisha picha kwa picha fact by fact. I am quiet of surprised wam describe hivo Jolie na usha sema hujawahi angalia movie yake. nisiende mbali niende movie ya hapa karibuni Salt... Do me a favor... Watch that movie then urudi tubishane hapa... then I can convice you... else hapa lazima usinielewe....

Nakubali kweli movies zake haja-stick kwenye one area. Lakini kumbuka yeye sio actress kama baadhi ya wengine. Amesomea hayo mambo. Ana right gens for it pia. Nasikia hata wazazi wake walikuwa wana act as well. Sasa unapokuwa kwenye mazingira kama hayo na ukiyatumia effectively watu wata-appreciate but that would not necessarily mean that you're the best in the game. Naamini hata yeye hatasema she is the best.

Baba yake hadi leo ana act toka ujana wake... na ni one of the highly paid actor to Present... Anaitwa Jon Voight... If you watch his movies... He is one Great actor and you would love him.... Kama umeangalia "Transformers" ka act kama Secretary of Defense. Hata sema she is the best kwa sababu ya Diplomacy but deep down she knows she is the best....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Zion D... I am impressed dear.. haki tena usingesema ningekuchanganyia na wahindi humo...lol

Nimeshindwa wa grade tokana na ninavowapenda... Nimeweka woote niwapendao kwa list ya 15, na hapo namba usizingatie....

Men

  1. Bruce Willis
  2. Sean Connery
  3. John Travolta
  4. Denzel Washington
  5. Tom Cruize
  6. Johnny Deep
  7. Leonardo Decaprio
  8. Gerald Burtler
  9. George Clooney
  10. Slyvester Stallone
  11. Pierce Bronsman
  12. Nicholas cage
  13. Alpacino
  14. Antonio Banderas
  15. Brad Pitt.

Women

  1. Angelina Jolie
  2. Penelope Cruz
  3. Sharone Stone
  4. Helle Berry
  5. Tharndie Newton
  6. Julia Roberts
  7. Urma Thurman
  8. Salma Hyke
  9. Meg Ryan
  10. Reese Witherspoon
  11. Catherine Zeta Jones
  12. Cameron Diaz
  13. Kate Winslet
  14. Eva Mendes
  15. Yule mama mtu mzima kacheza ile "The Devil wears Prada"

Mhhh ..nice.Nakukubali kwa muvi.Mie nimeona wachache kati ya hao.Ni vile napenda sana black American movies.Pia nimeshangaa umeamuacha Willy Smith na Queen Latifa..I like them.
 
Nilimkumbuka Will Smith... ila simpendi kivile kwa kweli.... Movie zake ninazopenda ni Hitch, Enemy of the State, Seven Pounds na Independence day... Nampenda Queen, ila movie nilizo angalia nyingi ni msindikizaji... nilizoangalia yeye anahusika moja kwa moja ni "Wright", Set it Off na Dirty Money... sasa sababu naangalia sana movie hao nilotaja kila moja nimeangalia movie sio chini ya 10 ambazo anahusika mwenyewe wengine hadi to 40 movies....
 
You know why I can not convince you? It is because hapa hatujajibishana kwa facts... tungeweza bishana kama tungebisha picha kwa picha fact by fact. I am quiet of surprised wam describe hivo Jolie na usha sema hujawahi angalia movie yake. nisiende mbali niende movie ya hapa karibuni Salt... Do me a favor... Watch that movie then urudi tubishane hapa... then I can convice you... else hapa lazima usinielewe....

Baba yake hadi leo ana act toka ujana wake... na ni one of the highly paid actor to Present... Anaitwa Jon Voight... If you watch his movies... He is one Great actor and you would love him.... Kama umeangalia "Transformers" ka act kama Secretary of Defense. Hata sema she is the best kwa sababu ya Diplomacy but deep down she knows she is the best....

Nitarudi baadae. Football is on.
 
Nilimkumbuka Will Smith... ila simpendi kivile kwa kweli.... Movie zake ninazopenda ni Hitch, Enemy of the State, Seven Pounds na Independence day... Nampenda Queen, ila movie nilizo angalia nyingi ni msindikizaji... nilizoangalia yeye anahusika moja kwa moja ni "Wright", Set it Off na Dirty Money... sasa sababu naangalia sana movie hao nilotaja kila moja nimeangalia movie sio chini ya 10 ambazo anahusika mwenyewe wengine hadi to 40 movies....

Bila shaka una collection kubwa sana katika library yako.Na utakuwa ulianza kuangalia labda ukiwa mdogo sana(Sijui sahizi una age gani....kwani huwa nakuhisi kama mdada fulani kama Rita Paulsen wa BSS)....
Mim napenda muvi ila sijaanza kuangalia muda mrefu hizi za hollywood..Mie zangu zilikuwa za kinaijeria tu (mapenzi,uchawi na kanisani).
Sasa swali lingine......hizo movie zote unazipata hapa Dar? Duka gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom