>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

Utadhani namdesa NN lakini sijawahi kuangalia movies zake. May be Mr and Mrs Smith but it simply happened to be on the TV and there was nothing else interesting. Na sikujua performance yake ilikuwaje as nilikuwa nimejikita kuangalia only one thing kama nilivyoeleza hapo juu.

Kwa hio kwenye Screen alikua akija mwigizaji mwingine ndo wainama kula pop corn? lol

You guys are CRAZY... Siwezi walaumu na try your luck. Katika moja of the interview aliwahi sema anapenda sana sex to the extent angekua anaweza angetamani alale na kila mwanaume hapa duniani..... :peep:
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Mwee. Labda kwa wale wanaume walio tayari ku-experiment sex with knives. She has got a knife scar on her abdomen and thigh as a result of this. Cheza 6x6 na someone curious about vampires?
 
Mwee. Labda kwa wale wanaume walio tayari ku-experiment sex with knives. She has got a knife scar on her abdomen and thigh as a result of this. Cheza 6x6 na someone curious about vampires?

That makes me more curious... Why do you like the lips?

Alafu kumbe you are a misionery kind of guy katika anga izo eeh? lol
 
Leo Umenigusa Asha,na mpenda huyo demu paka na piya Movie zake zote nazipenda japo salt zaidi,Mx
 
The only thing I like about her is that she is 'open minded' :). But she is bipolar...
Nilipenda tomb rider video game. yeye kama yeye simpendi sana
 
The only thing I like about her is that she is 'open minded' :). But she is bipolar...

Jamani Alter so no movies of her you like? Uzuri wa the word bipolar it does not sound so repulsive as if when applied to a guy.... :lock1:
 
That makes me more curious... Why do you like the lips?
Her lips are 100% natural. I just don't really find her to be a breathtaking actress, however. Julia Roberts is muuuuuch better

Alafu kumbe you are a misionery kind of guy katika anga izo eeh? lol
How could a man avoid the lips? If many women would give their right arm to have lips like hers ndio sumbuse mwanaume kuwa nae missionary?
 
salt, the tourist, ila am curious to knw hyo "ørignal sin". Ina husu nn? Nimeishia kuona cover tu.,

hahaha.... Nahisi umenitega... ila tu naomba nitegue mtego wako. lol

Ok. Original sin ni movie ambayo inahusu tajiri mmoja wa Mexico kuchumbia binti wa mbali ambae alijulikana mpole na amelelewa katika malezi ya dini katika kituo kimoja cha ma sister huko Marekani. Wakati yule binti anasafiri kuja kwa huyo tajiri ili kua mke bahati mbaya anauawa na majangili then mmoja wao anachukua hio nafasi (Angeline) na ku pose kama huyo binti kwa nia ya kuenda kuolewa na kumtapeli Utajiri wote huyo Tajiri wa Mexico (Antonio Banderas);

Huo ni mwanzo... ni story nzuri, it is about Love, Lust, Sex, Usaliti, Loyality na mengine mengi saana.
 
Her lips are 100% natural. I just don't really find her to be a breathtaking actress, however. Julia Roberts is muuuuuch better
How could a man avoid the lips? If many women would give their right arm to have lips like hers ndio sumbuse mwanaume kuwa nae missionary?

C'mon!! I love Julia Roberts but I think Jolie is way above her! Ingawa sio sana....lol

Commented on the missionery thingy bada ya kuona post yako ina insinuate kua waogopa her creativity katika sector hiyo...
 
Jamani Alter so no movies of her you like? Uzuri wa the word bipolar it does not sound so repulsive as if when applied to a guy.... :lock1:
You are a fan, hata nikisema she is schizophrenic bado utampenda tu. A movie I like? not really. I am more interested in her as Angelina Jolie than her acting history. Wewe unapenda ipi (I can't see the first page)?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom