hahaha.... Nahisi umenitega... ila tu naomba nitegue mtego wako. lol
Ok. Original sin ni movie ambayo inahusu tajiri mmoja wa Mexico kuchumbia binti wa mbali ambae alijulikana mpole na amelelewa katika malezi ya dini katika kituo kimoja cha ma sister huko Marekani. Wakati yule binti anasafiri kuja kwa huyo tajiri ili kua mke bahati mbaya anauawa na majangili then mmoja wao anachukua hio nafasi (Angeline) na ku pose kama huyo binti kwa nia ya kuenda kuolewa na kumtapeli Utajiri wote huyo Tajiri wa Mexico (Antonio Banderas);
Huo ni mwanzo... ni story nzuri, it is about Love, Lust, Sex, Usaliti, Loyality na mengine mengi saana.