It is half time. Now where were we? Right. Asha Dii sihitaji kuangalia movies zake ili niweze kum-describe Angelina. Nenda hata kwenye Google type What makes Angelina Jolie kabla hata hujamalizia Google inakumalia beautiful, so beautiful so attractive etc. Not a great actress.
Anyway, watu wengi watakubali kuwa she is gorgeous. Hilo halina mjadala. Pia tunajua makes a lot of money. Lakini swali ambalo limekuwa likiulizwa na watu wengi (sio mimi tuu), does she really deserve all the movies she gets? Au ni anazipata kwa sababu of her looks? Or because she is married to what many describe as the most handsome man on the planet?
Sisemi kuwa hana talents. Anaweza kuwa nazo. Afterall kasomea hayo mambo so ni anga zake haswa. Lakini utakubaliana na mimi kuwa kuna watu wengi in the film industry who only work on that because they are beautiful and not because they are talented. After all haya makampuni ya filamu, their major aim is to maximise profit. Definitely, watatafuta mtu ambaye ni attractive kwenye screen. Hata ingekuwa mie ningefanya hivyo. usicheze na fwedha. The one who will attract many viewers tena from both sexes the better. I don't want you to like my film but to pay for it whatever the reason.
In fact hili sasa limeanza kuwa tatizo. Filamu zinazotolewa hizi sio nzuri kama za zamani probably because makampuni yanaangalia zaidi attraction ya wacheza filamu kuliko talents. Ni sawa na kwenye fani ya muziki.
Nitasema she is average actress. She is always has her looks to fall back on. That being the case, hajawahi kuji-challenge mwenyewe with a role. May be I am being too mean on her because kwenye action movies dialogue ni kama hakuna na movie ina-rely zaidi kwenye action to get it through. Hata hivyo, she needs to ugly it up so that she will not really on her looks to sell her to the audience.
Back to footie.