Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,542
- 692
Naunga mkono hoja 🤝🤝Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
Naunga mkono hoja 🤝🤝Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
KATIBA IFUATE MKONDO KAMA ILIVYOFUATA WAKATI ULE JOHN ALIPOKATA MOTONi kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
Namshukuru Kassim Majaliwa kwa kujitenga na Wahuni.. Abdul Mtu mdogo.. Hela za Watanzania zote zinarudi.. Abdul aliwahada CHAUMA kuwapa hela na hiki kinaweza kuwa kifo cha chauma. Siwezi sema kifo balli itarudi ilipokuwa. Abdul hana access tenaNimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Mma sya soni Tata!Hatutaki kutawaliwa na ka nchi kadogo kama kata ya Mchafukoge
Daahh 🤣KATIBA IFUATE MKONDO KAMA ILIVYOFUATA WAKATI ULE JOHN ALIPOKATA MOTO
Ila huyo naye mmmh!Nchimbi ana sifa zote kwa bara
Sasa hapo Slopole katajwa wapi?Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Sasa hivi naiandika kimoyo moyo sababu iieleweka na kukubalika..Hiyo Mia alikuwa anaandika sana mwaka 2011,2013 😂😂😂
Hao hao akina the unknown?Nchimbi ana sifa zote kwa bara
NALOLI KANGI, UBHU BHO TUKUTI UBHULOSI. ISYA SONI ISYIMma sya soni Tata!
Kaka Choice naona kipindi chako cha kunemeka kinaelekea ukingoni. Kama hunaridhika basiKuna kesi mahakamani,unajisahaulisha? Kwamba Chadomo mnataka kurudi Kwa kina Mwendazake au muendelee na Samia?
Pili hayo mengine ya uongo yataje twende Kwa mifano na takwimu nikutoe knockout maana haya ndio mambo Huwa nataka tujadili.
SSH mtamshinda Kwa fitina na sio kwenye ground
Jifunze kuwa na akiba ya maneno. Kwanini unamwaga Mchele kwenye kuku.. SijapendaNchimbi ana sifa zote kwa bara
Sindio 🤣🤣Mkuu hili mbona tulipinga sana kipindi yeye analazimisha ila wajinga ''wakashinda''? Kumbe alikuwa na maana yake
Ngukalala fijo ukuti abhene bhajege nkwibhona nu kulambika Ku Kila kandu Ka kisu.. umwee!NALOLI KANGI, UBHU BHO TUKUTI UBHULOSI. ISYA SONI ISYI
Sasa Hayati Papa fransis anaingiaje hapa..Ngoja tuyaite makatoliki kuliko Papa Francisco labda hayajasikia:
Unaleta hadithi katika mambo muhimu acha Ujinga ujuaji ukizidi sana unakuwa zuzuNitakupa mfano unaoufahamu vizuri sana. Russia na Ukraine kila leo washirika (Allies) wanatangaza kuwa Ukraine tutampa Silaha hizi. Na yeye Russia anatangaza mimi nina nukes hatari na intercontinental balaa. Kwa hiyo hoja yako ya kuficha silaha haina mashiko kama unatumia scenario ya vita.
Kinachokufanya ushinde vita ni "tactical" siyo wingi wa silaha. Mfano mzuri ni Russia ana silaha kibao na wanajeshi wengi lakini kashinda vita???
Hoja ya pili nilitaka asemaje?. Nilitaka aseme kuwa nina wenzangu nyuma yangu hatutaruhusu wahuni blablablaaaa. Sasa yeye kasema yuko pekee yake na kasema yeye ni mtu wa mungu hataki uongo anataka kwenda mbinguni. Kwa hiyo sisi tunaamini aliyosema Polepole siyo ya kwako.
Hizo ni sheria za msituni mbona, yaani chama kikongwe kama CCM kilichonyumbulika kutoka TANU na sisi wengine tumeshuhudia kuzaliwa na makuzi yake, leo kinakuja kufundishwa Demokracji na CHADEMA? 😲Wanadai Rais akifa na awamu.yake inaisha kwa hiyo awamu ya tano haipo tena