Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Unaleta hadithi katika mambo muhimu acha Ujinga ujuaji ukizidi sana unakuwa zuzu

Wewe ulitaka slow slow ataje Aliopo nao what if kati ya hao wahusika ni Kwa Upande mwingine ni washirika wa kuu nmwa head of state hauoni kuwa itawafanya maadui wa pole pole wapate kuwabaini maadui zao mapema !?
Acha ufala wewe. Unawezaje kupigania haki, usawa, demokrasia na utawala Bora kwa kujificha. Mwanaume ni yule anayejitokeza hadhalani kukataa maovu.
 
huyo kaandika bila kutumia akili
 
Acha ufala wewe. Unawezaje kupigania haki, usawa, demokrasia na utawala Bora kwa kujificha. Mwanaume ni yule anayejitokeza hadhalani kukataa maovu.
Mkuu sijapenda unavyomtukana na kumuongelea lugha isiyofaa hearly . Jallibu kujenga hoja na kubishana bila kumvunjia mtu heshima.

Tumia uhuru wako vizuri kwa kuongea kilicho kichwani mwako. Bado unayo nafasi kujitengeneza, usikate tamaa
 
Sawa hujafurahia ila matusi yake kwangu uliyafurahia. You better keep quiet
 
Mkuu sijapenda unavyomtukana na kumuongelea lugha isiyofaa hearly . Jallibu kujenga hoja na kubishana bila kumvunjia mtu heshima.

Tumia uhuru wako vizuri kwa kuongea kilicho kichwani mwako. Bado unayo nafasi kujitengeneza, usikate tamaa
🙏🙏
 
Acha ufala wewe. Unawezaje kupigania haki, usawa, demokrasia na utawala Bora kwa kujificha. Mwanaume ni yule anayejitokeza hadhalani kukataa maovu.
You have a lot to learn
 
Acha ufala wewe. Unawezaje kupigania haki, usawa, demokrasia na utawala Bora kwa kujificha. Mwanaume ni yule anayejitokeza hadhalani kukataa maovu.
Kasome Biblia hata Yesu alijificha.

Yohana 8:59 au Soma Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha ; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia."
 
Back
Top Bottom