Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Sawa hujafurahia ila matusi yake kwangu uliyafurahia. You better keep quiet
Ndo nachosema ujifunze. Usiwe mwepesi wa mtu kukutoa kwenye hata kwenye maisha ya kawaida. Tumia mitandao kujifunza kupuuza baadhi ya vitu na kudhibiti hasira zako hata kwenye maisha ya kawaaida uraiani. Sio kila kitu lazima ulipize, utashindwa kuishi kama binadamu
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole

..Polepole si alikuwa muhuni na dhalimu wa awamu ya 5 ya Magufuli?

..tubadilishe MFUMO badala ya kutegemea madhalimu kubadilishana nafasi.
 
Kwa kweli haiwezi kuwa awamu ya sita.hivi kaka mtu akifariki akaacha familia kwa mdogo wake hiyo familia inabadili ubini? Hapana tukatae wahuni!
 
Sasa walivyokuwa wanajinadi ni awamu ya sita, walikuwa awajui au mambumbu tuliwaamini?
 
Kama rais alikufa, kwanini atuitisha uchaguzi upya badala yake makamu akapanda juu?
Katiba ndio inavyosema rais akifariki au akishindwa kufanya kazi zake kwa sababu mbalimbali basi Makamu wake ndie anachukua kijiti
 
Mnatuchosha jamani. Yan wanaume wote mmeshindwa kufanya jambo mkapindua meza katiba Ikafwatwa?
 
In the middle of chaos, lies the opportunities.....Albert Einstein
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole
Ni kweli hii ni awamu ya tano kipindi cha pili.
Awamu ya 6 itakuwa baada ya uchaguzi wa kura za wananchi.
Haiwezekani awamu ipatikane kirahisi-rahisi hivyo!
Au ndiyo maana Chalamila alisema utaratibu wa Makamu kuwa Rais endapo Rais akifariki uondolewe ili isije tokea Makamu akatamani nafasi ya Rais akamroga ili achukue nafasi yake!
 
Back
Top Bottom